Numbers Don’t lie retweeted
#KURASA Hakika kuisikia sauti ya Angel kipindi hiki ni zaidi maumivu kwa wanafamilia na wale walio na moyo safi
Malaika,.. kama lilivyo jina lake ni miongoni mwa waathirika wa matukio ya vurugu za wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka 2025 nchini Tanzania
Hivi karibuni binti huyu alionekana kwenye vyombo vya habari akieleza masahibu yake mwaka mmoja tangu apigwe risasi, simulizi iliyowagusa walio wema na kujitokeza Kugharamia matibabu yake
#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
Numbers Don’t lie retweeted
MwanaCCM au chama shikizi anayelia lia kuhusu rambirambi na Chadema au wanaharakati mwekee picha za Nchimbi
Hata usiongeze neno
Utaona atakavyoyeyuka 🤣
Numbers Don’t lie retweeted
“Nipo Gerezani zaidi ya mwaka sasa na Sijachoka, nikisia mnalilia huko nje tutagombana, Pambaneni” TUNDU LISSU
Numbers Don’t lie retweeted
This is too much! #FreeKizzaBesigye immediately
Hivi mzee Kaguta nini kimemkumba? Hadi amtese hivi mwenzake? Shida nini madaraka?
Inatisha tumekuwa bara la hovyo lenye watawala katili namna hii!
Numbers Don’t lie retweeted
“Walitaka kuniteka ili nifichue siri za @TunduALissu ….”-; @daviddjumbe
Katibu wa Mhe. Lissu
VIDEO:
Kufuatia kusambaa kwa picha mjongeo zikimuonesha kijana mmoja akiwa amenasa kwenye kibanda cha biashara katika eneo la Chadulu jijini Dodoma, Jambo TV imefika eneo la tukio na kuzungumza na baadhi ya mashuhuda ili kupata undani wa tukio hilo.
Kijana huyo anayetambulika kwa jina la Festo, anadaiwa kunasa kwenye kibanda hicho kwa tuhuma za kujaribu kufanya wizi.
Mama mwenye nyumba, anayefahamika kwa jina la Jesca Hennry, amesema baada ya kupata taarifa za tukio hilo alimpigia simu mpangaji wake na kumueleza kuhusu kijana huyo, ambapo alijibiwa kuwa huenda mtuhumiwa huyo alikuwa mwizi na kumshauri asihusike naye.
Jesca amesema baadaye waliwasiliana na polisi ili mtuhumiwa huyo aweze kutolewa katika kibanda hicho, lakini juhudi hizo zilishindikana hadi pale mmiliki wa kibanda hicho alipomtuma mdogo wake kufika eneo la tukio na kumtoa kijana huyo, ambaye baadaye aliondoka akiwa ameambatana na jeshi la polisi.
Aidha, Jesca amewataka vijana kuachana na vitendo vya wizi na badala yake kufanya kazi halali zitakazowasaidia kujikwamua kiuchumi na kujenga maisha yao.
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Mtaa huo, Nobert Pangaselo, amesema mtuhumiwa huyo amepelekwa kituo cha polisi kwa ajili ya hatua zaidi za kisheria, huku akiwataka vijana kuachana na tabia za udokozi na vitendo vingine vya uhalifu.
Mbunge wa Tunduru Kaskazini ambaye pia ni Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema madai kuhusu vitisho vya kiusalama yanapaswa kuthibitishwa kwa ushahidi badala ya kutolewa kwa matamko.
Ametoa kauli hiyo jijini Dodoma wakati wa hafla ya kuwapokea wanachama wapya kutoka vyuo vikuu mbalimbali waliojiunga na chama hicho.
Ado amesema tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, la kuzuia mikutano ya siasa ni kinyume na Katiba, sheria na taratibu zinazotumika nchini.
"Amri halali ni lazima iwe halali kisheria na itolewe kwenye jukwaa halali kwa utaratibu halali. Katambi anasema IGP asitoe vibali vya mikutano ya hadhara, wakati Tanzania hatuna mfumo wa vibali vya mikutano ya hadhara. Sisi tunatoa taarifa ya kufanya mikutano ya hadhara kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD), na si vinginevyo, ndivyo sheria inavyosema," amesema Ado.
Aidha, amesema madai kuhusu mipango ya kupanga milipuko au kufanya vitendo vya uhalifu katika mikutano ya kisiasa yanapaswa kuthibitishwa kwa ushahidi badala ya kutolewa kama matamko na viongozi.
Numbers Don’t lie retweeted
Kuna habari nimeipata ila kwa vile sina evidence ya 100% basi sitotaja majina directly ila issue iko hivi, JK has come up with a plan ya kuitawanya Chadema kama alivyofanya kwenye Urais wake kwa kuanzisha ACT Wazalendo na kimama kaanza kuitekeleza plan hii.
Abdul na mama yake kwa sasa wanafanya big financial investment kwa viongozi wa Chadema kupitia business mpya.
Nimeambiwa Kuna Bank inaitwa Bank M itatangaza kufilisika kisha watainunua wao kina Abdul kama taasisi ya pesa yenye leseni, watainunua kwa bei ndogo sana na kuiendesha kama Bank binafsi- yenye udhamini wa BoT.
Wanajipanga kufungua bank ya kifisadi ambayo itatumika kupitisha pesa zao za wizi endapo USA wanaweka sanctions kwenye mfumo wa fedha, inorder to by pass possible coming sanctions. Wanatengeneza hiyo shadow banking network and some viongozi wa Chadema wamepewa shares kwenye huu uharamia ili kusaliti wananchi……
Bank M iko chini ya mfilisi ila soon Bank M itakuwa activated with “foreign owners” na itakuwa foreign bank yenye wateja TZ. Hao “foreign owners” ndio mpaka some viongozi ndani ya Chadema wako. Kuna kiongozi mmoja ndani ya Chadema huyu mpaka katoa maelekezo kuwa hii bank iwe na HQ nchi flani.
Nimeambiwa Mbowe keshaanza kujenga majengo Dodoma ambayo atawakodishia hii bank.
Yani its a network made up of some viongozi wa Chadema wakishirikiana na wauwaji wa October 29. Yani CCM wamekubali kula na viongozi ndani ya Chadema ili mradi haki isipatikane Tanzania.
Naomba kila mtu asave hii posti coz kuna siku nitarudi ku refer to this post. Please save this post.
Numbers Don’t lie retweeted
Yanatumwa na maCCM kuja kushawishi diaspora wawekeze Tanzania kupitia projects za serikali.
Hiki ndio inabidi yawe yanakutana nacho hadi yaanze kukataa yakitumwa.
Ni kuyapiga Maswali magumu tu. Hapa tena bado hayajapigwa maswali ya mauaji ya October 2025.
Hiki ndio kinatakiwa kufanywa na diaspora kila haya mauaji yanapo kuja diaspora
#SamiaMustGo #FreeTunduLissu #TanzaniaMassacre #CcmMustGo
Numbers Don’t lie retweeted
swali ni je, unadhani ni sawa kwa serikali, siyo chombo cha kitaaluma, kuwa na uwezo wa kuamua nani anaweza na nani hawezi kuwa mwandishi wa habari? mimi nadhani serikali HAIPASWI kuwa na hayo mamlaka.
🎥: @kiratyofficial
Numbers Don’t lie retweeted
Kila mahojiano ya Hassan Mwakinyo huwa kuna shule kubwa sana inapigwa kutokana na majibu yake. Ni miongoni mwa Watanzania wachache ambao wamejaaliwa uelewa wa vitu na uwezo mkubwa sana wa kuwasilisha fikra zao.
Numbers Don’t lie retweeted
Imagine:
Mtoto wako UKAMU- DUNGA hii elimu.
Istead ya kumlazimisha
Kwenda kwenye hizo DINI...
Ambazo wanamwambia Akifa
Ndio ataishi Maisha Mazuri!
Numbers Don’t lie retweeted
Tangazo la muhimu.
Kama kuna mtu ali save post yoyote niliyoposti instagram ambayo ilikuwa ni ya kudai haki, mfano posti yoyote kuhusu Lissu, au kuhusu utekaji wa Mzee Kibao au posti kuhusu wanaharakati wa Kenya na kilichowapa Tz.
Yani posti yoyote ambayo ilikuwa ni ya kudai haki.
Naomba nitumie whatsapp +1 424 537 3057.
also mta some of you mtaposti hilo Tangazo instagram.
Please please ni muhimu. In a few weeks mtaelewa ni kwanini natafuta hizi post.
Numbers Don’t lie retweeted
Eti Mdau, makonda wa daladala za kwenu wana muonekano gani?
Mjadala unaendelea jamii.app/MakondaktaMavazi
#JamiiForums #Maisha
Numbers Don’t lie retweeted
Roho imeniuma 😭😭
Huyu mzee amenifanya nimetokwa na machozi!
Sometimes the voice of courage comes from a frail old man who has the heart of a lion!
Huyu mzee anatuhimiza SOTE si @HecheJohn - tupiganie nchi!
Alafu kuna midume yenye vitambi na matako makubwa kuliko sisi wanawake wanawaza kuua na kuteka ndo wanaona ushujaa! Tukishajikomboa hii mianaume tutashughulika nao na watawajibika! Na huyo kijana anayebwia unga na kutoa amri kama vile nchi ya mamaake ndo kabisaaa!
Mzee huyu Mungu amtunze aje kuona Ukombozi wa Pili wa Taifa 🙏🏽
Sisi tupambane jamani hakuna kurudi nyuma - tumeshashinda sema mafedhuli wamekaza fuvu
#TutaelewanaTu





















