Cheusi Bonge (@Cheucibonge) profile picture

Mogue attendant

Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2014
Photo by Cheusi Bonge (@Cheucibonge)Photo by Cheusi Bonge (@Cheucibonge)Photo by Cheusi Bonge (@Cheucibonge)Photo by Cheusi Bonge (@Cheucibonge)Photo by Cheusi Bonge (@Cheucibonge)Photo by Cheusi Bonge (@Cheucibonge)Photo by Cheusi Bonge (@Cheucibonge)Photo by Cheusi Bonge (@Cheucibonge)Photo by Cheusi Bonge (@Cheucibonge)Photo by Cheusi Bonge (@Cheucibonge)
Hongereni Nyamagana,Mwanza Hii ndiyo sababu CCM hawataki uchaguzi huru na haki.
32
217
5
1,488
56,004
Mhe @TunduALissu Nimefika Tarime kwasababu kuna viji-neno neno vinasema hivii,, Kwamba Tarime bado kuna CCM. WANANCHI: Hapana huku Tarime hamna hio kitu. #PeoplesPower
3
49
237
9,547
Kimeumana
24
135
7
787
54,206
Cheusi Bonge retweeted
CHUMA KIMEWASILI TARIME MJINI MUDA HUU:- Baada ya kuhitimisha mikutano ya hadhara jimbo la Tarime vijijini. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe. @TunduALissu amewasili muda huu jimbo la Tarime Mjini kwaajili ya kuhitimisha mikutano ya hadhara kwa siku hii ya leo.
5
61
263
9,645
Mhe @TunduALissu Nimefika Tarime kwasababu kuna viji-neno neno vinasema hivii,, Kwamba Tarime bado kuna CCM. WANANCHI: Hapana huku Tarime hamna hio kitu. #PeoplesPower
3
75
1
285
5,982
Cheusi Bonge retweeted
‼️ APPRECIATION ‼️ Kwa heshima na kutambua mchango wa alie record video ya tukio hili sisi kama wana X tunatuma salamu nyingi na shukrani kwa mtu huyu ni shujaa kwetu na tuna hamasisha watu wa record matukio haya ili dunia na watu waone Tumpe retweet 500 alie record hili tukio
35
238
7
839
29,662
📌Bookmark this! ‼️🚨 MAHALA SOKA NA WENZAKE WANADAI KUSHIKILIWA🚨‼️ Mdau anasisitiza akina @DEUSDEDITHSOKA wapo hai na anadai wameshikiliwa na TISS na wako huko Kigamboni baada ya kuwatoa mikononi mwa Mafwele Tatizo ni ule mpango aliodai wa kuwaondoa duniani siku ya uchaguzi 🙄 Nyie madhulmat kama hii ni kweli mpango huu achaneni nao! Waachieni tu hawa vijana! Kuna majina pia kanisukumia mdau anadai wanahusika na utekaji wa akina Soka pia ule wa Mzee Ali Kibao Mdau anasema Bashite na genge lake waseme SU kama wanabisha 😃 Haya mjumbe hauwawi 👊🏽 mi nimeweka ujumbe! Hawa watekaji wasiojulikana tutawajua tu na #TutaelewanaTu #FreeDeusdetithSoka #FreeJacobMlay #FreeFrankMbise #FreeAllPoliticalPrisoners #JusticeForAliKibao
70
253
7
999
120,568
1.Unamteka mtoto wa kike kwa mtutu wa bunduki 2.Kundi la wanaume saba wakatili mnakubali kwenda kumteka, kumdalilisha, kumnyanyasa na kutweza utu wa mwanamke kwa ujira wa fedha? 3.Mnafunga kitambaa usoni mwanamke kisha mnamtoa nyumbani kwake Kibiti mnamsafirisha hadi mapori ya Kisarawe kwenda kumnyanyasa na kumfanyia ukatili 4.Mnajitambulisha kuwa ni maafisa wa chombo cha dola kisha mnatumia gari la kodi za wananchi, pingu na bunduki zilizonunuliwa kwa kodi zetu. 5.Mnachana nguo za mwanamke aliyefunzwa kujistiri kwa dini yake safi ya kiislamu tangu utotoni na kumuacha utupu. 6.Mwanamke mmoja anashirikiana na wanaume saba kumshambulia na kumdhalilisha mwanamke mwenzake kwa ujira wa pesa tu 7.Mmemaliza kumfanyia ukatili Mwanamke mnamtekeleza maporini mnaondoka na kujiona wajanja... mnajiona mmeyapatia maisha kweli. 8.Nawakumbusha yupo Mungu juu anayeona kila kitu muda wote na sehemu zote. Ipo siku kabla hamjazikwa na kufukiwa na udongo huu mnaotumia kumwaga damu, mtakumbushwa kila tukio moja mlilotenda. 9.Nawaonea huruma ninyi watekaji na wauaji, kwa kuwa najua hamjui watu makatili kama ninyi mwisho wenu unakuwaga vipi. 10.Lakini niwahakikishie akili za upinzani na harakati hazizimwi kwa mtutu wa bunduki na kufuli la Jela tulifikiri mmejifunza kwa Hayati Magufuli Hamtoweza kuua watu wote,wapo watakaobaki nyuma yetu,wao watatulipia visasi vyetu.hilo mnatakiwa kulielewa siku zote. Hakunaga Jambo linafanywa na watu zaidi ya wawili likabakia kuwa siri.
202
343
8
1,874
133,595
🚨🚨TURN 🔛NOTIFICATIONS 🚨🚨 SHARE, REPOST,LIKE posts zangu za nyuma na zinazokuja maana kuna taarifa kemkem 🔥 Naleta taarifa za kumwaga kuhusu CCM na mbinu zao za kuiba kura Ila hakikisheni taarifa na picha na message mnasambaza Tuache woga! Wengi mnaingia mnasoma mnaondoka! Why? Yaani hata ku SHARE!? Juzi nimeweka hapa kuhusu media kufungiwa kama sehemu ya mikakati ya Mr Mapete mkaogopa hata kuLIKE 😂 Acheni hizo! Tubadilike. Tuwaanike #TutaelewanaTu
47
321
11
1,244
45,195
Cheusi Bonge retweeted
Wananchi, siku nyingine rais au kiongozi yeyote wa Serikali au chama cha siasa akiwaambia kwamba CHADEMA ni chama cha FUJO, muombeni awape USHAHIDI ni lini CHADEMA ilifanya fujo na wapi. Atoe ushahidi katika mikutano yote zaidi ya 200 iliyofanyika hivi karibuni, nchi nzima, ni wapi fujo ilitokea & ni wanachama wangapi walichukuliwa hatua! Halafu, muulizeni huyu mama (maana anarudia rudia sana hii kauli), aulizwe ni siku gani raia hata mmoja aliwahi kufungulia CHADEMA kesi mahakamani kwa sababu ya hizo FUJO! Endapo atashindwa kuwapa majibu ya kweli, basi aambiwe AACHE kuchafua hiki chama. Ndugu zangu, hiki ndicho chama PEKEE kimebaki kuleta UKOMBOZI wa Taifa hili. Tunatakiwa TUKILINDE kwa nguvu zote. Waache PROPAGANDA, watupe #KatibaMpya. Tunaelekea kufika mwisho. Msikate tamaa. #LetUsUnite 🤝🏼
35
214
9
1,217
51,396
🙏🏽 Thank you God Almighty Alhamdulillah Today we managed to submit @DEUSDEDITHSOKA ‘s #EnforcedDisappearance to @UN Kesi ya mpendwa wetu imetua @UmojaWaMataifa Nawashukuru WOTE mliosaidia kufanikisha Tutaendelea kuwajuza ila mwambieni Abdul na Mama yake kuwa #TutaelewanaTu #FreeDeusdedithSoka
190
650
33
2,580
173,213
Eleweni, SSH kaendelea na kesi dhidi yangu. Kapeleka application ya kuomba muda wa kupeleka rufaa ili kuchukuwa leseni yangu MILELE. Anataka nisiingia Mahakamani Milele! Sijamtetea kwa sababu nataka LESENI. Hatonipa MILELE! Niliamini ni mtu mwema. That’s all. I was wrong.
299
402
40
3,032
119,077
Enyi Wakathoric Wenzangu Mtu kama huyu Faustine Mafwele, anawezaje kua Kiongozi katika kamati za utendaji za jumuiya!? na Parokia!?.. Hata Mungu anatushangaa, Tunaomba aondolewe Mara Moja hafai kabisa nikulichafua Kanisa letu... Faustune Jackson Mafwele atengwe na Ulimwengu...
7
16
1
55
1,494
Nimetafakari sana na nimefikia hii conclusion: Tatizo ulifikiri watanganyika kama Wamaasai ni PRIMITIVE! Umetudharau sana! Unauza rasilimali, unatuteka na kutuua, umetuita mbwa wapumbavu ! ALAFU unatarajia tukae kimya tukunyenyekee? Mbona huko Kizimkazi unakuwa tofauti? Eniwei upole wetu usichukulie poa! Nadhani wamaasai walishakuonjesha what happens when people are pushed against the wall! #TutaelewanaTu
143
268
13
2,089
215,826
BREAKING: Tumepokea taarifa za uhakika kwamba wachunguzi wa mahakama ya kimataifa ICC wamewasili nchini Tanzania, siku chache kabla ya maandamano yaliyotangazwa na Chadema. Rais Samia na Jopo lake wajiandae, hasa kama Polisi watafanya mauaji ya raia wasiokuwa na hatia.
258
441
15
2,629
120,554
Msimkingie kifua Mafwele @tanpol Kama hamtaki kumchunguza - mtuache tuseme anachowafanyia watanzania ndugu zetu! Kama anaamini kasingiziwa afungue kesi ya madai kama mtu binafsi - tupambane naye mahakamani! Hatuwezi kukaa kimya na kutishiwa! Mlimficha na kumtumia sana - ila siku zake zimetimia! #TutaelewanaTu
107
379
16
1,577
157,344
Cheusi Bonge retweeted
Nakumbusha tu, mahakama ikitoa AMRI kwamba u-LOGIN kwenye akaunti yako ya mtandano, log in mara kadhaa kwa 'password' ya uongo halafu usema UMESAHAU 'password'. Kisheria, kama DPP atasema mtuhumiwa UNAKUMBUKA password, basi yeye (DPP) atatakiwa KUTHIBITISHA hilo, la sivyo itabaki kuwa TUHUMA tu dhidi yako. Hakimu naye, hana MAMLAKA kisheria & hawezi kukulazimisha ukumbuke jambo fulani kichwani mwako kwa sababu FAHAMU ni jambo la Muumba. Kesi inakuwa imefia hapo. Good Night.
143
238
13
1,091
51,037
Cheusi Bonge retweeted
UPEKUZI kisheria unatakiwa ufanyike pale jua LINAPOCHOMOZA (alfajiri) mpaka jua LINAPOZAMA (jioni); s40 ya CPA. Upekuzi nje ya muda huu unahitaji KIBALI MAALUM cha mahakama. Kama askari anakuja kwako kufanya upekuzi USIKU bila ruhusa ya maandishi ya Hakimu, mtimue kabisa. #Law
37
283
8
1,310
32,296
Free Boniface Jacob
58
430
8
1,644
44,454