DeezyMe (@BwaloniTz) header
DeezyMe (@BwaloniTz) profile picture
Kittery, ME
Joined September 2011
Photo by DeezyMe (@BwaloniTz)Photo by DeezyMe (@BwaloniTz)Photo by DeezyMe (@BwaloniTz)Photo by DeezyMe (@BwaloniTz)Photo by DeezyMe (@BwaloniTz)Photo by DeezyMe (@BwaloniTz)Photo by DeezyMe (@BwaloniTz)Photo by DeezyMe (@BwaloniTz)Photo by DeezyMe (@BwaloniTz)Photo by DeezyMe (@BwaloniTz)
DeezyMe retweeted
Replying to @FrankEra_
Should have deleted it asap mate, instead you decided to put out a “this is legal” message. Needs to be arrested honestly. Otherwise other people will do it
1
1
121
Replying to @FrankEra_
He’s a clown, he was defending himself in the comments of the video and now he has been rightfully called out by everyone he has gone to this. 🤡
1
4
314
Replying to @FrankEra_
he’s very stupid. and who the fuck is he to want to show us our coach in the kit? did we ask him to? isn’t that the job of the club’s media team?? is he tapped in the head?? i really hope he gets punished seriously
1
3
740
Replying to @FrankEra_
Hope he gets a bail condition to stay away from old Trafford and carrington
1
2
441
DeezyMe retweeted
Replying to @FrankEra_
He is sorry because of the backlash, he is not genuinely sorry
2
176
6,406
‼️🚨 Uharamu wa Tume BATILI ya Lila‼️ Tumepata ushahidi usiokuwa na shaka wa picha, sauti na maandishi toka kwenye vyanzo vilivyopo ndani ya tume BATILI ya uchunguzi inayoongozwa na Jaji Mstaafu Gaidi Shaban Ally Lila pamoja na VIKARAGOSI wenzake. Taarifa hizo ambazo tumeshaziwasilisha kwa vyombo husika duniani, zinaonyesha mipango inayosukwa ya kuwatia hatiani wanaharakati, wanasiasa wa CCM na viongozi wa Chama Kikuu cha Siasa - Chadema ambao wamekataa kuwa sehemu ya ukatili wa dola kwa raia wa Tanganyika. Katika mashitaka yanayotengenezwa na Gaidi Lila ni kuonyesha uhusika wa raia wema wa Tanganyika kwenye kudhulumu uhai wa raia wenzao wa Tanganyika. Vibaraka hawa pamoja na kutumia vibaya madaraka yao, kuruhusu ofisi zao kutumika kwa ajili ya uhalifu na kuyafumbia macho matendo ya kihaini yaliyofanyıka kinyume na katiba na Sheria za nchi, wamesababisha kupinduliwa na kunajisiwa kwa Katiba na Utawala wa Sheria, jambo ambalo kimsingi ni uhaini. Tunasisitiza kwamba tume hii batili ya Gaidi Lila na vikaragosi wenzie imekosa uhalali wa kikatiba kwani uundwaji wake umetokana na mapendekezo ya tume
HARAMU ya Gaidi Mohamed Chande Othman ambayo nayo ilikuwa tume feki iliyokiuka Ibara ya 27(1)(2) ya Katiba ya Tanzania. Ndugu Mtanganyika usiishi kinyonge kwenye nchi yako. Ni wakati sasa wa kusimama kutetea nchi yako na taifa la Tanganyika. Tafadhali toa taarifa popote pale utakapowaona WASALITI hawa au familia zao. Tusiogope! Tutashinda! A luta continua, vitória é certa! Mapambano yanaendelea, ushindi ni hakika! #FreeTunduLissu #KatibaMpya #SamiaMustGo
7
90
2
313
18,205
Baada ya Uchaguzi wa ndani ya Chama chetu nilikuwa nafahamu kwamba Freeman Mbowe alikuwa na kinyongo na Mhe. Lissu ila sikuwahi kuwaza kwamba anaweza kuwa na kinyongo kiasi kwamba akafika hatua ya kushirikiana na Wauaji kumkandamiza Mhe. Lissu. Unaambiwa wakati wa kesi ya mchongo ya uhaini dhidi ya Mhe. Lissu Mbowe alikuwa miongoni mwa watu ambao walikuwa wanashinikiza sana Mhe. Lissu atiwe hatiani kwa makosa ya uhaini, yani hata hiyo miaka minne ambayo Mhe. Lissu kahukumiwa yeye anaona bado ni michache sana. Halafu nakumbuka kipindi kile Mbowe alipotoka jela na kuibukia Ikulu kwa Nduli Idd Amin Mama ambae alimuweka jela miezi 8 kwa kesi ya mchongo ya Ugaidi , wakati watu wanahoji imekuaje kaibukia kwa mtu aliyemfunga? wengine tulikuwa tunamtetea kwa kusema Mbowe moyo wake hautunzi vinyongo, Anaroho safi kumbee bado tulikuwa hatumjui vizuri ila baada ya Mhe. Lissu kushinda Uenyekiti ndo tukajua rangi zake zote.🤧 Mpaka sasa Mbowe amefanya na anaendelea kufanya vikao na Nduli Idd Amin Mama pamoja na vibaraka wake kupanga njama za kuiangamiza CHADEMA, kamwambia Nduli Idd Amin Mama kwamba ili kuiua CHADEMA mazima ni lazima Viongozi wote wa juu wawekwe ndani ndo kazi ya kuteka Chama itakuwa rahisi kibaya zaidi bado yupo kwenye group la Kamati Kuu so unaambiwa Nduli anajua kila ambacho kinajadiliwa kwenye hilo group na anajua msimamo wa kila member wa hilo group. Ndo maana Nduli Idd Amin Mama kwenye team yake ya Maridhiano, amemuweka Mbowe kwenye kundi la Wazee Wastaafu aliowabatiza jina la “Reference group” lengo ni aendelee kuwasaidia kufanikisha mipango yao kubadilika baadhi ya vifungu vya Katiba ili Nduli aendelee kubaki madarakani hadi 2035 bila kuwepo na kizizuizi chochote.
73
147
9
866
65,448
Replying to @HildaNewton21
Namchukia huyu MACHO KUMCHUZI @freemanmbowetz the same way ninavyomchukia @SuluhuSamia na shetani. Ubaya waliomtendea @TunduALissu umenifanya nizidi kuwachukia kutoka moyoni. And I will live long enough to see the day that I gets to Piss on their Graves
6
14
73
3,748
Tunaweza jikomboa kwa sasa Tunatakiwa wapelekea wana CCM wote vikwazo vya kiuchumi, tusitumie wala kugusa bidhaa zao. Kila siku CCM wanaibuka na ukatili mpya , nguvu wanapata kwenye fedha tunazowapatia kwa kununua bidhaa zao
12
20
226
Susia bidhaa za washirika wa CCM na Samia Acha kuwezesha ukatili
5
33
2
83
3,161
Mgomo wa bidhaa/huduma unaanza rasmi kwa wale viongozi wote wa ccm/machawa/na wauwaji wanaouza bidhaa au kutoa huduma kupitia biashara zao.Kama wewe ni Mtanganyika unaependa haki anza kugomea hizo bidhaa ambao zina . Mfano mimi kuanzia leo nyumbani kwangu ni marufuku kununua Mtungi wa Taifa gesi na Sitopanda basi la Abood @MariaSTsehai @lifeofmshaba @AdvocateMaria92 @EliasariaII @SautiWatanzania @Liberatus80 @Nuruvazi01 @Tanzaiite @CuteMaria26 @2twelve4
2
32
3
61
5,616
Hivi nani anashauri huyu mtu? au kweli ni mzee wa kilalacha!!! mbona ni suala la kipuuzi kabisa mpaka machoni kwa wenzie kuna mtu anazamisha huu bibi kwa kasi sana
3
11
43
4,424
🤩 LOVE THIS from Poch! #mufc
33
173
5
3,448
271,598
Guys hii tume ya mara ya pili iliyoundwa imeundwa kwa mkakati wa kukusanya taarifa za mashahidi wote wa okt 29, 2025 na kuwauwa. Kaa chonjo, hakikisheni hamna mtu anayeenda kutoa ushahidi au malalamiko. Huu ni mkakati wa Serikali haramu
3
36
82
1,364
Tuanze hapa
Mgomo wa bidhaa/huduma unaanza rasmi kwa wale viongozi wote wa ccm/machawa/na wauwaji wanaouza bidhaa au kutoa huduma kupitia biashara zao.Kama wewe ni Mtanganyika unaependa haki anza kugomea hizo bidhaa ambao zina . Mfano mimi kuanzia leo nyumbani kwangu ni marufuku kununua Mtungi wa Taifa gesi na Sitopanda basi la Abood @MariaSTsehai @lifeofmshaba @AdvocateMaria92 @EliasariaII @SautiWatanzania @Liberatus80 @Nuruvazi01 @Tanzaiite @CuteMaria26 @2twelve4
12
49
2
127
4,581
Replying to @lifeofmshaba
#SamiaMuuaji is a killer. Huyu mwanamke analaana nakwambia.
3
3
74
Halafu kuna watu wanataka shikana mikono na wauaji waliofanya haya mambo, wameumiza watu wamegoma hata kuwapa fidia
VIDEO: MATUMAINI YA ANGEL WARIAELI KUFIKA MUHIMBILI YAGEUKA KUMBUKUMBU Video ikimuonyesha Angel Wariaeli akiwa na matumaini ya kufika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya matibabu, kabla ya safari yake ya maisha kufikia mwisho akiwa hospitalini hapo.
4
23
119
4,309
DeezyMe retweeted
Mtoto wa miaka 13. Ndoto zake alikua anataka kuwa daktari. Angel alipigwa risasi na watu wenye uchu wa madaraka na kiu ya damu za watu. Watu hawa wanaoendelea kuteka kila anaekosoa mfumo wao, wanaua, wanafunga jela kwa kesi za uongo. Familia nyingi kama ilivyo familia ya Angel wanabaki na majonzi na maumivu yasiyokwisha. Chuki inaongezeka, uhasama unajengeka wannabe wanafikiri wataua kila Mtanzania anaekemea huu uovu Mpaka wabaki ambao wataogopa kabisa na kukaa kimya wote.. Nafikiri wanajidanganya sana, kila uovu unaofanyika unaongeza chuki, unawapa watu ujasiri wa kupinga mabaya na wengi zaidi watazaliwa kukataa huu mfumo wa kidkteta wa sisi kuishi kama mateka. Tunakulilia Angela kama wengine wote ambao maisha yao yamekatishwa na yanaendelea kukatishwa bila sababu. Tunajua uovu wao huu wanataka kutubambikizia sisi, tunajua kesi wanaoandaa dhidi yetu ili kuficha wauaji halisi na kukamata watu wema. Vyovyote watakavyofanya, tutaendelea kupigania haki ya kila mtu na lazima itapatikana na waliohusika watawajibika. Pole sana familia ya Angel. Pumzika kwa Amani Malaika.
49
363
5
1,319
32,364
Replying to @Advocate_Jebra
Na akampeleka Muhimbili, ambako baadhi ya maiti zilizotoroka mortuary.
1
7
1,277
Replying to @Advocate_Jebra
Swali la kujiuliza ni kwamba, ni 'mfadhili' gani anayeweza kuituma hospitali ya taifa? Hospitali kazi yao ni kupokea malipo, kumpokea mgonjwa na kumtibu. Hii ya kwenda nyumbani kwa kutumwa na 'mfadhili' siyo ya kawaida.
1
6
744