Babuja Containers ™ retweeted
#RodneyReed is on death row since 1996 for a CRIME HE DID NOT COMMIT, a crime that A WHITE COP REPEATEDLY CONFESSED TO IT.Texas has scheduled an execution date on NOVEMBER 20TH. He could’ve been your brother, father, uncle! PLEASE SIGN THE PETITION IN MY BIO AND RETWEET PLEASE
Babuja Containers ™ retweeted
"Lazima tuhajikishe amani inapatikana nchi zote jirani. Amani yao ni nguzo muhimu kwetu, jirani yako akipigana wewe huwezi kuwa salama' JK Nyerere, 1997.
"Ni lazima pesa zinazokuja kuwasaidia wenzetu wakimbizi sisi tupate kufaidika nazo.Wao wapigane sisi tupate hela" JPM, 2019
Babuja Containers ™ retweeted
#bongo5Updates : Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mhe Jokate Mwegelo amefika kwenye ofisi yake kwa mara ya kwanza na kupokewa na kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya hiyo.
Babuja Containers ™ retweeted
Dangote anaulizwa “How is your relationship with Magufuli?” Anasema “You really know how to put someone in the spot”. Wengi tu wako kwenye SPOT. 🤣🤣🤣
Babuja Containers ™ retweeted
Waraka wa EidFitr murua kabisa na umejaa hekima na Ushauri mzuri sana. Nimemaliza kuusoma na kuuelewa. Jisomee pia.
==============
JUMUIYA NA TAASISIZA KIISLAMUTANZANIA
WARAKA WA EID EL FITR 1439H | 2018... facebook.com/100000321189166…
Babuja Containers ™ retweeted
Naomba unisaidie kushare na watanzania wenzangu.Anaitwa Majaliwa Rashid Ramadhan.Mkazi wa mwanza... Ni taxi driver Nyakato mwanza... Ametekwa nawatu wasio julikana toka tarehe 5/6 .... Tumetoa taarifa kila kituo hakuna Msaada.... Tunaomba watanzania wenzetu mtusaidiee
Babuja Containers ™ retweeted
Angalau nyakati zile 'UMOJA WA KITAIFA' ulimea kwa kiwango ridhishi.
Wanasiasa wakikinzana masuala walikimbilia mezani, SASA majibu yaliyojaa kejeli na vitisho utayakuta kwenye uzinduzi.
Kuna wanaosema hizi ni zama zingine, tuache mazoea.Nasema hizi ni zama HASI zisizofaa kuigwa!
Babuja Containers ™ retweeted
jamiiforums.com/index.php?th…
RC Gambo Arusha apokea kichapo kwenye Mkutano wa CCM
Babuja Containers ™ retweeted
Ndugu @kitilamkumbo ni Associate Prof na Sio Full Prof. Na Uprofesa wenyewe ni wa mimba za Wanafunzi ambao naamini leo hii ukienda kumuuliza ataukana Kama Mwakyembe alivyowahi kukana maandishi ya tasnifu yake Mwenyewe ya udaktari wa falsafa..
Babuja Containers ™ retweeted
ZAMBIA: Makamu wa Rais Mstaafu, Nevers Mumba amehukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela pamoja na kufanyishwa kazi ngumu kwa makosa mawili ikiwemo, kutoa taarifa za uongo kwa mtumishi wa umma na kuvamia kituo cha utangazaji cha ZNBC mwaka 2016, kupinga taarifa iliyorushwa.
Babuja Containers ™ retweeted
Askofu Mstaafu, Dkt. Martin F. Shao amesema kuwa, tamko la Pasaka la Maaskofu wa KKKT ni neno la Mungu ambalo limekuja kwa ajili ya #Tanzania kwa wakati wake. Asisitiza kuwa, kikitokea chochote hata cha kutisha uhai wao, hawataogopa bali watamtegemea Mungu.
Babuja Containers ™ retweeted
Tanzanian opposition MP Joseph Mbilinyi, also known as ' #Sugu ', handed a five-months jail term for 'defaming #Magufuli '. He's the last in a growing list of individuals turned in for criticising the government or the president.
▶️ bbc.in/2HOTOWE
Babuja Containers ™ retweeted
Kuendesha SIASA kunatakiwa kuwa managed vizuri ili tusigharamie SIASA na wanaSIASA kitoto na wakati mwingine kijinga. South Africa tayari wanaye Rais mpya huku wakisubiri uchaguzi mkuu wao mwakani. Ndivyo ilivyofanyika Zimbabwe pia. Sisi hapa hata DIWANI tu tunachaguana upya.
Babuja Containers ™ retweeted
Replying to @MbarawaM
Babuja Containers ™ retweeted
Shall we begin? 😂😂
#DarVsMikoani
Babuja Containers ™ retweeted
Mwandishi wa kujitegemea wa @MwananchiNews, Azory Gwanda atoweka kwa takribani siku 10
> Mkewe adai mara ya mwisho alichukuliwa na watu wanne kwenye Land Cruiser nyeupe
Soma goo.gl/9wGeZ8
#JFLeo



























