#MagufuliLegacy retweeted
Replying to @Sativa255
The only witnesses passed away , what a coincidence ๐
#MagufuliLegacy retweeted
Replying to @Sativa255 @MnunguSaid99197
Samia MUUAJI mbio ameenda Uganda kuomba ushauri.๐๐๐๐๐
Ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga.
#MagufuliLegacy retweeted
Rest in Peace Angel๐๐๏ธ
Ntamani Mama Yale asipotezwe wala kupata tatizo.
This is too bad ๐
#MagufuliLegacy retweeted
Mzee wetu Mhe @TunduALissu kila moment yake hua inafurahisha,
Ni mzee ambae muda wote yupo happy Mwenyezi Mungu amlinde sana na kumpa moyo wa kuto kukata tamaa๐
#MagufuliLegacy retweeted
Replying to @PMadeleka @Sativa255
CCM MATAPELI sana, hongera sana mkuu umewapelekea moto sana wiki hii.
#MagufuliLegacy retweeted
Replying to @PMadeleka
Mawakili naomba mtusaidie, Je! Tundu Lissu kukata rufaa, haitakiwi tena kuijadili hii hukumu? @Advocate_Jebra @omari_manyama @PMadeleka
#MagufuliLegacy retweeted
Replying to @PMadeleka
Nimeusubiri kwa hamu kubwa sana huu mdahalo.
Wakoloni weusi ๐ฎ
#MagufuliLegacy retweeted
Replying to @PMadeleka
Shule muhimu sana hivi vyeo vya kugaiana kama biscuit ni vibaya sana
#MagufuliLegacy retweeted
Watanzania, JOHARI asie na degree ya sheria alikuwa serious kuhusu mimi kurudishwa TZ.
#MagufuliLegacy retweeted
Replying to @mangekimambi
TOP SECRET ya MUUAJI Samia na WAHUNI wenzake VIBAKA na akili zao takataka mavi. @HecheJohn yupo sahihi.
NCHI yetu haitaji TOP SECRET ya KUTEKA KUTESA KUUA watu wake.
#SamiaMuuajiMustGo #CcmMustGo
#FreeAllPoliticalPrisoners #JusticeForMO29
#MagufuliLegacy retweeted
Replying to @mangekimambi
Uzuri marekani wakimtaka mtu hapa,wanakuja kumchukua na hakuna kitu watafanya,kwa jeshi hili la wapasua matofali kwa ugoko๐๐๐
#MagufuliLegacy retweeted
Replying to @mangekimambi
Samia the Butcher should stop wasting US, EU and Tanzania tax payer's money to attack people who expose her corrupt Govenment.
Peaceful protest is not a crime.
Tell us who shot the unarmed protestors on election day October 29, 2025 and who is abducting people.๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
#SaveTanzania #TanzaniaMassacre #KatibaMpyaNiSasa #SamiaMuuajiMustGo #CcmMustGo
#JusticeForMO29 #FreeAllPoliticalPrisoner
@EUparliament @GovOfUSA @IntlCrimCourt @usembassytz @SwedeninTZ @UNHumanRights @UN_HRC @hrw @amnesty
#MagufuliLegacy retweeted
"Funzo ambalo ametuachia Mzee Alute ni misimamo na kusimamia haki." Mhe. Joseph Mbilinyi (Sugu)
#MagufuliLegacy retweeted
Hawa jamaa ni matapeli sana, waongo mpaka sheteni anaogopa.
Sikiliza mwenyewe.
#MagufuliLegacy retweeted
Tuendelee kujifunza kutoka kwa mwl. wa sheria kwa muda mrefu Wakili Kilatu.
VIDEO:
Wakili Peter Kibatala @PKibatala_ alipoulizwa mtazamo wake kufuatia hukumu ya miaka minne gerezani kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kutokana na kosa la uchochezi na juu ya rufaa dhidi ya hukumu hiyo amesema kuwa yeye binafsi anaona yapo mambo lukuki ya kujadiliwa katika Mahakama ya Rufani juu ya hukumu hiyo.
"Mimi kama Wakili kama nitapata nafasi ya kuchakata rufaa kuna mambo 1,000 ya kusema lakini kuna mahali pake pa kuyasemea lakini hata niseme nini sasa hivi haitabadilisha kile ambacho tayari kimeamuliwa"
Amesema Wakili Kibatala jana Novemba 10, 2026 Mahambe, Wilaya ya Ikungi mkoani Singida aliposhiriki mazishi ya kaka wa Lissu Marehemu Alute Mughwai Lissu.
Hata hivyo ameongeza kuwa mwenye uamuzi wa nani atakuwa kwenye jopo la Mawakili watakaochakata rufaa hiyo ni Lissu pamoja na chama chake cha @ChademaTZ2 na kama akiwepo kwenye timu hiyo basi atashiriki.
#MagufuliLegacy retweeted
Replying to @D54onSeT
Shida Kuna watu wako ofisini wanajifanya wao ndo kilakitu





















