Eng.Nickson Gadau retweeted
💙🇧🇷 Éderson with a beautiful assist for McAtee making it 7 assists in his Premier League career…
…more than any other goalkeeper ever.
Eng.Nickson Gadau retweeted
⚪️ Carlo Ancelotti: “We must believe and try to make something magic happen in the second leg”.
“In football everything can happen, for example Declan Rice who scores two free kicks as he never did in his career”.
Eng.Nickson Gadau retweeted
Replying to @bajabiri
Kwani mfumo wa UDOM ndio mfumo wa kwanza kudukuliwa?
Eng.Nickson Gadau retweeted
🚨 Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh 100 milioni kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho.
Eng.Nickson Gadau retweeted
Mali ndo nchi ya kwanza Afrika kulipa deni lote la Taifa. Wao hawadaiwi hata hamsini 🙌
Eng.Nickson Gadau retweeted
Upo unaanza kula unapigiwa simu mama yako anaumwa kalazwa
Utaendelea au utaacha?
Eng.Nickson Gadau retweeted
Kama wikendi yako mpaka mda huu haieleweki-Hakikisha unaangalia hizi video 20 nimekuwekea uchangamshe mbavu 😂
Usifungue hizi video kama hupendi kucheka 😎
Twende kazi .
Eng.Nickson Gadau retweeted
Replying to @perfectmachine5
Ndugu mteja pole sana kwa changamoto, tumepokea changamoto yako na tumefanikiwa kukutumia ujumbe inbox tafadhali rejea kwa msaada zaidi. Ahsante ^AM
Eng.Nickson Gadau retweeted
Replying to @Abro_Tips
Hello dear customer how can i assist you please? Thank you ^AM
Eng.Nickson Gadau retweeted
Kwenye viwango vya timu bora barani Afrika chini ya CAF, Yanga wana alama 34 mpaka sasa na ikitokea Yanga wamefuzu kwenda robo fainali watafikisha alama 39 na kuzishusha timu 2 kwenye top 10 ya CAF. Na ikitokea Yanga wamefika nusu basi wataingia 5 bora ya CAF. Misimu 3 ya KIBABE.
Eng.Nickson Gadau retweeted
Hii tabia yangu ya kuongea mwenyewe njiani inasababishwa na nini maana Kama inazidi 🤔
Eng.Nickson Gadau retweeted
GHARAMA YA KUTOKA NA MCHEPUKO
1. Usafiri wa Kuja - 10k
2. Chumba Lodge - 30k
3. Chakula + Vinywaji - 30k
4. Asante kwa Kuja - 50k
Jumla - 120k
NB: Huu ni mtoko wa mara moja, mkikutana mara mbili kwa mwezi ni 200k+, na ni kwa starehe ya nusu saa tu.
Lakini👇🏽
Eng.Nickson Gadau retweeted
Mwenendo wa ufungaji mpaka sasa barani Ulaya msimu 2023-24 ⚽😎 kwenye michuano yote.
●Bellingham (Madrid mechi 13, goli 13)
●Mbappe (PSG mechi 12, goli 12)
●Harry kane (Bayern mechi 13, goli 14.)
●Halaand Man (City mechi 15, goli 13)
Eng.Nickson Gadau retweeted
Kidude cha like na retweet zimeingiliana function. Yan ukilike ina retweet na ukiretweet inalike😥🙌































