Ukiona mpaka acc kuu ya klabu imekuja kujiliza namna hii ujue kisu kimegusa mfupa. Yanga wana set ajenda halafu nyinyi ndio mtaamua kusuka au kunyoa. ๐๐๐ฝ
#TBT | Kiongozi wa juu zaidi duniani wa mpira wa miguu na Rais wa FIFA, Gianni Infantino katika NGUVU MOJA. Haya mambo tulinza zamani jamani. #NguvuMoja
Ulizindua jezi 2019 ukampa Bambo na Mwijaku kupiga promo. 2020 ukapata nafasi ya kwenda Camp Nou kutazama mechi ukabeba na jezi ya kumpa Pique. Baada ya Fabrizio kwenda hewani unarudi kutoa milio kwamba ulishawahi kufanya promo na watu wazito. Masaa 48 bado mnaongea wenyewe. ๐๐๐ฝ
Mara ya mwisho kuona Makolo wakitoa milio namna hii ilikua ni kwenye kile kipigo cha 5-1 pale Estadio de Lupaso. Yamepita masaa 24 ila bado wanajisemesha mpaka muda huu. ๐๐๐ฝ
Sina hakika ila kwa standards walizoleta Arafat & Eng Hersi kwenye mpira wetu itachukua miaka mingi kidogo kuja kuzifikia ama kuzivunja. Tukiweka utani na ushabiki pembeni hawa jamaa watawasumbua sana Makolo kwa visukari mpaka watoke pale Salamander.
Nilikua porini ndio napata mtandao Ngorongoro hapa. Namna Yanga wanavyojaribu kupambana kupenya kwenye mpira wa Afrika na kusimika mizizi yao wanahitaji kupewa maua yao. Halafu kuna wengine wapo busy na marathon, katiba, mara wahamtaki yule, mara wajisaidie Jangwani. LEVELS. ๐๐ฝ๐
Kutoka nafasi ya 1 mpaka 2 tofauti ni kubwa sana (ardhi na Mbingu) kitengo cha habari na maudhui pale Yanga wanaishi Dunia yao kwa sasa. Wanastahili kila aina ya pongezi na maua yao.
Afrika kila Rais anaeingia madarakani ile miezi 6 ya mwanzo huwa wanaupiga mwingi sana mpaka Dunia inasema Afrika ingepata kama hawa tungekuwa mbali. Baada ya mwaka habari huwa ni tofauti kabisa. Hufuata misiba, vilema, damu, kupotezana, jela, raia kukimbia nchi. Afrika ngumu. ๐
5 bora yangu kwa waliofanya vizuri baada ya mzunguko wa 5 mpaka sasa kwenye NBC PL.
1. Onesmo
2. Yao
3. Maxi
4. Gueye
5. Shalulile
Napenda kuona namna Manqoba anavyowapa wachezaji nafasi, ananikumbusha kipindi cha Nabi. Ukishindwa kucheza kwa aina hii ya kocha wewe utakua na matatizo. Mlisema Shalulile amekuja NBC akiwa mzee? Sidhani kama mpo tayari kwa ujio wa Masta Ki pale 10. Watasumbua sana.
80% ya nguo ninazovaa ni kits za Yanga. Huu mtoko unavaa ukweni mpaka kwenye harusi zetu Uswahilini. Msimu huu nitavaa kits zote za Yanga. ๐๐
Doumbia anachekesha kama hachezi kwenye timu yako. Mimi ni muumini wa kumpa mchaezaji muda tangu mara ya mwisho Msuva aliponiumbua akiwa Yanga. ๐
Presha ya mashabiki wa Makolo ikiendelea hivi hata wachezaji wao watazidi kupoteana kwa kuogopa kufanya makosa. Ni suala la muda kabla ya Mnyama kudondosha alama na wala hiyo siku haipo mbali sana kutoka sasa. Mnakosea sana kulazimisha timu yenu ifanane na Yanga.
Huwa mna gubu sana, kwamba Yanga hana kikosi cha kumfunga Pamba ila ana kikosi cha kumfunga Simba? Si mlicheza na Yanga juzi hapa? Mliuza mechi? Mnaenda kubeba wachezaji wa $50k halafu mnataka kushindana na Yanga? Mfungeni kwanza Yanga ili mpate sababu za kutusema.
Mkiendelea kuzidananisha timu zenu na hii Yanga ipo siku mtaanza kutembea uchi mitaani. Yanga haifananishwi hata na Yanga yenyewe. Ukitaka kujua mpira ni mchezo mwepesi sana basi wewe subiri kutazama mechi siku Yanga akicheza. Beauty beauty. Simply the best. ๐๐
Yangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mdogo wangu @FKihamu unamuona Mwalimu yupo benchi leo? Haya tuambie kimebadilisha nini kwenye mpira wa Tanzania? Mimi ni shabiki yako mkubwa ila kuna muda unaniangusha mpaka kukutetea nashindwa.






