Sir-Mbosa retweeted
Level ya defending ya MC Algers ndio huwa nazitakiwa sasa.
Timu zetu zijifunze ku defend at least kwa namna hii, kimsingi Yanga kwenye hii game hawapo karibu kupata goli wanazuga tu humo ndani
These fellas know how to defend 🤝
Sir-Mbosa retweeted
Familia ya Idrissa Rajabu (38) Mkazi wa Mbezi Msakuzi Mtaa wa Utulivu, inatangaza kumtafuta Ndugu yao huyo ambaye inadaiwa amepotea tangu Novemba 24, 2026.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Rajabu ambaye anakabiliwa na changamoto za kiafya aliwahi kuwa Mchezaji wa Mtibwa Sugar, Taifa Stars na Sofapaka FC ya Kenya ambapo taarifa ya kupotea kwake imeripotiwa na kupewa namba MKB/ RB/673/2026.
Aidha Familia inaomba yoyote atakayemuona au kuwa na taarifa zinaweza kusaidia kupatikana kwake awasiliane kuipitia namba za simu 0654508801 au 0799545035.
#MillardAyoUPDATES
Sir-Mbosa retweeted
Kwenye STAMP za TRA, kampuni ya sigara ilikuwa inalipa $4 kwa kila stamps 1000, Waswizi wa Mkwe wa JK(SICPA) wakapaisha bei kwa 500% hadi $20! Wanakusanya bilioni 120 kila mwaka za kwao kwa kuwekeza bilioni 27! Nchi hii imejaa vituko! Tangu 2018 wamekusanya 960b mtaji wa 27b!
Sir-Mbosa retweeted
Mwamuzi wa zamani wa kimataifa kutoka Chile, Carlos Chandía, amewahi kukiri hadharani kuwa alimpendelea Lionel Messi kwa kutompa kadi ya njano wakati wa mechi ya nusu fainali ya Copa América mwaka 2007, tukio lililotokea katika dakika za mwisho za mchezo kati ya Argentina na Mexico, ambapo Argentina ilikuwa ikiongoza kwa mabao 3-0.
Zikiwa zimesalia dakika mbili na nusu mpira kumalizika, Messi alishika mpira katikati ya uwanja katika mazingira ambayo hayakuwa na hatari yoyote ya goli kwa Mexico lakini mwamuzi huyo alifanya uamuzi ambao amekiri kuwa ulimgharimu katika kazi yake ya uamuzi kwani alikosa nafasi ya kuchezesha mechi ya fainali ya mashindano hayo.
Katika mahojiano na kituo cha runinga cha ESPN FShow nchini Chile mnamo Septemba 2024, mwamuzi huyo alieleza kuwa wakati huo Messi tayari alikuwa na kadi moja ya njano aliyopata kwenye mechi za awali, hivyo, kadi nyingine ingemfanya akose mechi ya fainali dhidi ya Brazil.
Chandía alieleza kuwa alimfuata Messi na kumwambia, “Hili ni kosa la kadi ya njano, lakini litakugharimu jezi yako,” kisha hakumpa kadi hiyo na baada ya mechi kumalizika, Messi alitimiza ahadi yake kwa kupeleka jezi yake kwenye chumba cha kubadilishia nguo cha waamuzi. Hata hivyo, Argentina ilipoteza 3-0 dhidi ya Brazil kwenye fainali iliyofanyika nchini Venezuela.
Tukio hili linagusa moja kwa moja msingi wa weledi na uadilifu kazini hasa katika nafasi nyeti ya usimamizi wa sheria za michezo na linaonesha dhahiri jinsi uamuzi mmoja unaotoka nje ya mstari wa weledi unavyoweza kuacha doa la kudumu katika tasnia inayopaswa kuongozwa na usawa na sheria zinazofanana kwa kila mmoja.
#KitengeSports
Sir-Mbosa retweeted
Bro went bar to bar with Jamhuri, defended himself with no access to his lawyers and witnesses and the Cort didn't find him guilty of TREASON. He didn't lose his mind and kept smiling in every appearance he made despite foul play, Tundu Antipas Lissu is GOATED 🙌
Sir-Mbosa retweeted
Kufa kwa Marekani kunaumiza kwa sababu ukiangalisha na Empire zinazoibuka ni mbaya zaidi kuliko Marekani.
China the upcoming biggest global economy haiwezi hata ku-handle Mbappe kucheka kwenye Meme yenye sura ya Mao. Hajaongea chochote, amecheka tu. Beijing imetoa official statement. Makampuni ya China kutishia kuvunja mikataba na Mbappe.
Je ukija kusema Xi is a bad leader and their in the position of US??
Imagine, how supersensitive China is, can not handle even simple criticism. It will be worse on Earth.
This post is from a suspended account. Learn more
Sir-Mbosa retweeted
🔴 Manqoba Mngqithi exposes "unprofessionalism" at Yanga SC following his surprise exit.
"I cannot accept a player not coming to work and it's normal. This transition needs strength and power from management."
Full story. #sabcsport411
sabcsport.com/soccer/news/ex…
Sir-Mbosa retweeted
If Argentina had won the wc, none of what Kane has achieved would matter. They’d shamelessly hand over the ballon dor to Chibuzo. But somehow WC didn’t favor yamal, while Olise ends up below football’s tinubu.
Ronaldo winning 5 off these guys is insane.
Sir-Mbosa retweeted
🚨 Nashville SC Manager BJ Callaghan:
"Its sad how football works, no media pages or so called 'neutral journalists' have posted about us winning. When Miami won, even Fifa President came to congratulate them. Looks like football is only for certain players."
Sir-Mbosa retweeted
Sio tu nafurahi kuona Uto wanapitia magumu ila nafurahi mnoo wanapitia magumu na Zimbwe akiwa sehemu ya kikosi chao.
Captain alitusaliti vibaya sana.
Sir-Mbosa retweeted
Replying to @Blessing_Olivi
Bro won UCL
EPL
FA CUP
EPL GOLDEN BOOT
EUROPEAN GOLDEN BOOT
UEFA SUPER CUP
CLUB WORLD CUP
PLAYER OF THE YEAR
EPL PLAYER OF THE YEAR
But Messi winning ligue 1 and league cup without even being highest goal scorer or player of the season
Messi fans you people are delusional
Sir-Mbosa retweeted
Ronaldo has scored against Juventus the most in Champions league
Messi has scored against Shakhtar Donetsk the most in CL
Ronaldo has scored against Atletico Madrid the most in Laliga
Messi has scored against Eibar the most in Laliga
Ronaldo has scored against Germany the most
Messi has scored against Bolivia the most
Ronaldo=big game player=🐐
























