Ngaso retweeted
#BajabirAt6.
Miaka 6 ya kitoa huduma za usafirishaji wa mizigo,kuanzia mizigo midogo hadi mikubwa.
#BajabirLogistics
Ngaso retweeted
Hivi Mani yuu ni timu ya mpira kweli? Isijekuwa ni wavuvi wanalazimishwa kucheza mpira 😂🚮🚮
Ngaso retweeted
Yes, shuleni kwa sasa it's hard kuwasimamia watoto nidhamu....as mwalimu FUNDISHA uendelee na 50 zako
Replying to @bajabiri
Tunaweza walaumu watoto ila shida ipo kwenye malezi. Kuanzia ngazi ya familia mpaka huko mashuleni, nidhamu ipo chini sana.
Ngaso retweeted
Sehemu kubwa ya watanzania hawataki kuwajibika kwenye malezi ya watoto.
Lawama zao huwa kwa walimu.
Shule sio kituo cha kubadili tabia ya mtoto, shule ni sehemu ya kumfundisha mtoto maarifa ya kitaaluma,ndio maana mitihani haipimi tabia Bali walichosoma
Replying to @bajabiri
Mambo mengi au tabia nyingi kwenye jamii zetu ni matokeo ya malezi kuanzia nyumbani (ngazi za familia) mengine ni kutafuta wakuwatupia lawama tu
Ngaso retweeted
#TajiriLaKihaya
Wakuu KWA hio mm ndio nafaham Dau za wadada wote Tanzania 🇹🇿😅🤣🙌🏽🙌🏾
Ngaso retweeted
Weekends.
We put on these.
95,000/= tu.
#JustFitMasaki
#JustFitKunduchiMall
#JustFitKijitonyama
#JustFitMbeziBeach
#JustFitAIMMall.
Branch ya Mlimani City bado imefungwa,ipo kwenye matengenezo,
Ngaso retweeted
Yanga wamechelewa sanaaa...
Uongozi wa Klabu ya Young Africans (Yanga SC) umetangaza kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu ya kwanza, Manqoba Mngqithi, huku ukisitisha pia mkataba wa Kocha wa Viungo, Chyna Mokaila.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na klabu hiyo Oktoba 24, 2026, uamuzi huo unahusu makocha hao wawili ambao walikuwa sehemu ya benchi la ufundi la timu ya kwanza.
Katika taarifa hiyo, Yanga imewashukuru makocha hao kwa mchango wao ndani ya klabu na kuwatakia kila la heri katika majukumu yao mapya.
Aidha, klabu hiyo imesema tayari imeanza mchakato wa haraka wa kumpata Kocha Mkuu mpya, ambao inatarajia kuukamilisha hivi karibuni.
#KitengeSports
Ngaso retweeted
Wito ni kufundisha.
Wito ni kumsadia mtoto afaulu.
Wito sio kukimbizana na watoto maporini kisa wanatega shule.
Wito sio kuhangaika kumzuia mtoto asivute bangi ,wakati kwao hasemwi.
Mwalimu ana watoto 200 unaanzaje kumlaumu hamuangalii mwanao na wewe unao watatu HOME?
Replying to @bajabiri
The so called "Uwalimu ni Wito" haupo tena, na bahati mbaya zaidi Wazazi tumekuwa bize na utaftaji kiasi kwamba tumesahau jukumu muhimu la malezi. Tumejikita kuhakikisha mtoto anapata huduma zote za msingi na tumesahau kabisa kuhusu Malezi.
Ngaso retweeted
Watoto wanapaswa kupewa majina mazuri na wazazi, majina kama Neema, Faraja, Bahati, Juhudi, Ushindi nk. Lakini mtoto usimpe jina kama Matatizo, Shida, Junior, Yuda, Havijawa nk.
Jina limebeba unabii wake utakaomjia kama jina lake lilivyo.
Kwanini sa mnaenda kuishi ugenini si mje tu nyumbani wanetu Sasa kama ametekwa Kenya mtamlaumu nani?
‼️MWAIPAYA AMETEKWA‼️
Kamanda Twaha Mwaipaya ametekwa na Watu wasiojulikana muda mchache uliopita akiwa maeneo ya Kamulu road - Nairobi.
Watekaji walikuwa wamevaa kiraia na usoni walivaa Musk, walikuwa na gari tatu ambapo waliblock gari ambayo alikuwa amepanda Mwaipaya, Kisha wakamshusha na kuondoka nae.
Kwa mujibu wa mashuhuda wanasema mfumo uliotumika ni kama ilikuwa Operation, kuna wasiwasi wa simu kufatiliwa ( Tracking ) suala ambalo linaibuwa maswali makubwa sana kuhusu usalama wa Wageni wanapokuwa Nairobi.
#FreeTwahaMwaipaya




































