Hardin retweeted
Kijana wa karne hii,
Jifunze kutafuta vifuatavyo;-
➯ Skills.
➯ Knowledge.
➯ Data & Information.
The future won't be fair kwako, ukibaki kusubiri mambo yatokee yenyewe.
This is a friendly reminder. Fanyia kazi, Thank me later.
Hardin retweeted
Kuna mtu ana Unyonge sana baada ya kuona amefungua ofisi, tangu alipie Kodi mpaka Leo anaelekea kulipa Kodi nyingine anaona Hana faida aliyoingiza.
Nataka nikuoneshe CHANGAMOTO ambazo hutokea wakati wa founding pamoja na SOLUTIONS za kukusaidia kutoka hapo!
Itunze post hii 🧵👇🏾
Hardin retweeted
Wabongo wabongo haswa vijana......
Nawakumbusha hii sio dunia ya ujamaa na kujitegemea, hii ni dunia ya mwenye nguvu ndio anapata capitalism world.
Usipende ukpewa knowledge bure bure ambazo ukipata baadae utapata pesa.
lazima uwe tayari kuumia, there is no free lunch
Hardin retweeted
Today, it was a pleasure for our team to welcome the Pesa Tech Accelerator team from UNCDF and Anza Business at @SwahiliesPay . This meeting presented an exceptional opportunity to not only share our journey and vision but also to emphasize our commitment to building
Hardin retweeted
TID kasema alikua anasikiliza wasanii wa siku hizi wakiimba "Nipigie simu wakati unakataka Gogo" akamziba mwanae masikio😂😂😂😂😂
Video kwa comments👇🏾👇🏾
Hardin retweeted
7 PRINCIPLES ZA KUTOBOA ONLINE
.
.
Ukiingia Online sasahv, uka search *"How to Make Money Online"*, Yatatokea majibu mengi sana na mwisho wa siku utashindwa kuelewa ufanye lipi, uache lipi!
.
.
Hata mimi nlifanya hivyo hvyo, na nlikuta mambo mengi sana, na moja ya kosa nlifanya,
Hardin retweeted
Niko Nje uje unipake Make up sasa 😂
#Malkiawanguvu2024
Hardin retweeted
Day 5
I created a checkout process for an e-commerce App (Anonymous 😅)
Here are some of the few screens I created...
#doreensuxuichallenge2024
Enjoy your weekend🚀🚀
Day 5 of #30
Design Checkout process for an e-commerce App
#doreensuxuichallenge2024
Hardin retweeted
Day 5 of #30
Design Checkout process for an e-commerce App
#doreensuxuichallenge2024
Hardin retweeted
Day 4
Created onboarding screens for a Healthcare App.
Let me know your thoughts on the design!!
#doreensuxuichallenge2024
Day 4 of #30
Design Onboarding screens for a Healthcare App
#doreensuxuichallenge2024




































