Huu uandishi wa copy hii mbona kaMa niko faMiliar nao 😁😁
*Nimemsaidia kuweza kukuza mtaji wake kutoka 2M mpaka 8M ndani ya siku nne tu*
.
.
Iba siri hizi ili na wewe uanze kutengeneza pesa via shitcoin
.
Najua unajiuliza SHITCOIN ninin?.. Ndio usijal ntakuleza apa soma mpaka mwisho
.
Week moja ilio pita niliwatangazia kuhusu ile course ya shitcoin ya week mbili tu.., Good news ni kwamba sio tu kila alie lipia kutengeneza faida Habari njema ni kuwa watu watano wameacha ajira zao na kuanza kuishi bila manyanyaso ya boss sasa ni shitcoin trade lifetime
.
%90 walikuwa hawajui chochote kuhusu shitcoin ila sasa ni wataalam na wanaendlea kutengeneza faida kila siku
Hakuna raha kama kutengeneza pesa ukiwa ndani tu umelala kujumla inchi yetu ilivo chafuka
Anyway..
Duniani Kuna Aina 2 Tu za Watu...
.
-Wale wanaotafuta Sababu ya Kutokufanya Chochote na kukaa Pale Pale Miaka nenda Rudi
.
NA...
.
-Wale wanaotafuta Njia ya Kufanya Chochote Ili Wafanikiwe na Kuzifikia ndoto zao
.
Je Wewe Upo Kundi Gani?...
.
Kama Wewe ni MPAMBANAJI na Upo Kundi la Pili...basi wewe V.I.P BLUE PRINT ni program sahihi kwajili yako
“V.I.P Blueprint 2.0” —ni Private Program Maalumu yenye lengo la kumsimamia Mtu Mmoja mmoja mpaka pale Atakapotimiza Malengo yake kama:
-Kutengeneza zaidi ya Tshs 20M+ Ndani ya mwaka 2025
-Kupata Ada ya Chuo/shule
-Kupata Pesa ya Kulipa Kodi
-Kupata Mtaji wa Biashara
-Kununua Gari la ndoto yako
-Kupata Pesa ya Matibabu
Na:
…Hizi ni Nusu Tu Ya Siri Unazoenda Kuzigundua Ndani ya Private Program Ya “V.I.P BLUEPRINT 2.0”:
Ni Nini hasa maana ya Shitcoin & Meme?—na jinsi ya kukuza Mtaji wako X10 Zaidi kupitia Biashara hii ndani ya masaa machache Tu
Jinsi ya Ku-trade Shitcoin kwa usahihi zaidi bila kupoteza Pesa kwa kutumia Application ya Siri na iliyothibitishwa—(hata kama hujawahi ku-trade Coin yoyote kabla)
Jinsi ya Ku-Trade Shitcoin kwa Kutumia Setting Moja tu ya BOT hata kama umelala utakuta FAIDA tu kwenye Wallet yako
Jinsi ya Kugundua Shitcoin itakayokupa FAIDA X10 Zaidi bila kutumia Site yoyote ndani ya Sekunde 30 Tu Kwa Kutumia Siri inayoitwa “PRIVET K.O SKILLS”
Jinsi ya Kugeuza Hasara zote ulizowahi kupata kuwa FAIDA na kutoa Pesa zako zote ndani ya sekunde 60 Tu–(DCA)
Jinsi ya kugundua Siri zilizofichwa ndani ya Dexscreener zitazokusaidia kukagua Token sahihi na kujua ni kwanini kuna Token hutakiwi kuzigusa kabisa
Mbinu 9 na Vigezo Shortcut vya Ku-Trade Shitcoin ili upate FAIDA ya Uhakika
Jinsi ya Kuset na kutumia SIGNAL za Shitcoin ili uweze kukopi na kupesti tu then Boom Voila
…Pamoja na SIRI Zingine Kibao utazikuta ndani ya Program!
Program hii ni Tofauti na Zingine zote…
Kwani:
“Hii unafundishwa Peke yako Hatua kwa hatua tena kwa Mifano mpaka pale utapoanza kutengeneza FAIDA–(Bila Kuharibu ratiba zako za kawaida)”
Ukweli ni kwamba:
Imenichukua zaidi ya Miaka 3 Kujifunza, Kufanya Majaribio na utafiti wa Siri hizi nilizokuwekea ndani ya Program hii
…Pamoja na kutumia zaidi ya Tshs 21.7M+ kulipia Courses, Coaching, Mentors & Masterminds za Shitcoin!
Kwahiyo:
…Ni sawa Kama Nitaiuza Program Hii Kwa Tshs 2,000,000?...
Ila nimeamua kupunguza kwajili ya wale wanainchi wa hali ya chini
Vipi kuhusu Tshs 1,800,000?––Hiyo bado itakuwa Kubwa sana kwa baadhi ya watu
Vipi Kuhusu Tshs 1,700,000 Je?––.Hiyo ipo Sawa kabisa ila bado nataka nishuke chini zaidi kwa ajili ya wale ambao Bado Hawana kazi wala kipato kwa sasa
Mpaka Tshs 1,500,000?––HAPANA!
Mpaka Tshs 1,300,000?––HAPANA!
Badala yake:
…Leo Utaweza Kupata Access ya “V.I.P BLUEPRINT 2.0” Program kwa Malipo Kidogo ya:
“Tshs 499,999 Tu”
(~2,000,000~)
(Utaokoa Tshs 1,500,000)
…Kama utakuwa Miongoni mwa watu 50 wa kwanza Kulipia “V.I.P BLUEPRINT 2.0” Program—Basi Nitakupa Hizi BONUSESS Hapa Chini BURE Kabisa:
BONASI #1: Nitakupa BURE Kitabu cha Shitcoin & Crypto—(Huwa Nakiuza Tshs 50,000)
BONASI #2:Nitakupa BURE Access ya RECORDED Masterclass zangu zote Mbili za Shitcoin & Crypto—(Zenye Thamani ya Tshs 2,000,000)
68
hey @grok according to your analysis, name 10 accounts in sequence who frequently visit my profile. Don't mention the person, just @.username and the rate of number of times a week visit the profile,
1
1
135
kosseytz retweeted
Our new Division Presidents have been elected at the General Conference of Seventh-day Adventists during the 62nd General Conference Session.
Comment 🙏 if you will be praying for your Division.
Kuna yule mwamba mtaalam sana wa mambo ya cyber security alikuwaga humu , nowadays simuoni sijui alipotea wapi @99Zaburi
3
5
550
kosseytz retweeted
Unajua elimu inapaswa kukusaidiaje?
–Kuchochea hamu ya kujifunza
–Kuamsha udadisi
–Kuhamasisha ubunifu
–Kukusaidia kugundua ndoto & shauku yako
–Kukujengea ujuzi wa maisha
–Kukufundisha jinsi ya kufikiri, sio nini cha kufikiri
Ila VILAZA wanadhani elimu ni ufaulu wa makaratasi
Sema NMB wanazingua sana tofauti na CRDB. CRDB Hela ikiingia Ina reflect Moja kwa Moja kwenye Salio halisi lakini NMB nimetumiwa Hela since saa 2 mpaka sasa saa 4 bado Hela huwezi kuitoa wala kufanya chochote haijakaa kwenye Salio halisi. Ufala flan hivi 🙌🙌 😁
4
363
Daah sijui Kuna hii swala Gani hapa near makumbusho wanaswali ndugu zetu sijui wanaimba sijui ni Mimi aise inakata usingizi aise imekuwa kama kelele. An ni disturbance aise 😮💨. Sijui logic behind this why kuwasha speaker usiku hvo na kudisturb wengine 🙌
2
213
Kama umesoma ifunda tech elimu ya secondary I mean technical education Kuna huu mwandiko huwezi kuusahau, wa ticha mmoja hvi alikuwa anaandika kama umechapishwa 😂😂
1
246
Leo ndio akili zimenikaa sawa ndio natambua kuwa @NjiwaFLow tumepiga wote class ATC 😁😁😂😂. Ni baada ya kumsikia akiongea TikTok ndio akili ikasema huyu mwamba nimesoma nae. Big up mwanangu 💪




































