Melch 5.0 retweeted
๐ฅ Nasdaq imefunga kwa rekodi nzuri siku mbili mfululizo.
Je, BTC ndio inayofuata?
BTC imepanda 13% ndani ya siku nne (Sep 17 - Sep 21) hadi $87K โ karibu ATH ya miezi 8, lakini bado iko kama 30% chini ya ATH ya wakati wote.
Melch 5.0 retweeted
Wekeza kwenye hisa za USA.
Performance yake ni kubwa sana.
Ntakupa mifano.
Mwezi huu tu:
AMD iko up 35%
Meta iko up 34%
CRWD iko up 34%
SNDK iko up 22%
Hizi % kwa hisa za bongo unasubiri kwa mwaka au zaidi.
Melch 5.0 retweeted
GET PAID $12/hr TANZANIA
GO ON THIS LINK ๐
surl.li/jdwnxi
TO APPLY HILA VPN WALA PROXY
WEKA SKILLS ATA UKIFAIL THEN NJOO NA 10k tzs CHAP NIKUFANYIE ASSESSMENT (wachache tu)
ACCOUNT ZILIZO READY ZIKO CHEAP PIA
Melch 5.0 retweeted
Watu wengi wamekuwa wakiuliza jinsi ya kuanza kufundisha English online na kupata pesa remotely ๐ป๐ฐ
So nimeandaa thread rahisi kabisa kwa beginners ๐
Ina-cover:
โข Jinsi ya kupata TEFL certificate ๐
โข Best platforms za kuanza kufundisha ๐
โข Jinsi ya kusetup profile yako vizuri ๐งโ๐ซ
โข Na namna ya kupata students wako wa kwanza ๐ฅ
Kama ulikuwa unasubiri sign ya kuanzaโฆ hii ndio hiyo ๐๐
๐ฅ๐ฅฑ drop reactionโฆ
Wenye wasiwasi proof hii hapa! Withdraw zote ni instant, hamna kuchelewa! ๐ซต๐ผ
Baada ya kusikia PayPal linked with Vodacom, nkasema nifungue account nione inakuaje!
Positive feedback, Paypal ya bongo hatimae inaweza kupokea mkwanja!
Client wangu wa UK ๐ฌ๐ง ame deposit imefika! $300 imeingia bila shida!
Note:๐จ
Kuna vile vizuizi vya kwanza vya Paypal vipo, ni swala la kua na ID na ku submit, maelezo ya muamala ulikotoka basi! Hamna mambo mengi!
Evidence๐๐ฝ
Nina experience na paypal kwa miaka mingi! Hyo ishu sio ngeni! Ziliwah nikuta nikiwa natumia paypal ya Kenya, I well solved it na hela ikatumwa Bank!
Nimetumia Paypal US, UK pia all those issues nime solve sijawahi poteza hela!
Replying to @meetmelch
Mkuu, nakusaidia kubookmark hii post ili siku PayPal wakikuonyesha why they aren't worth it, nitakukumbusha. Don't trust PayPal at all utakuja kulia machozi na hamna msaada utapata. Watahold pesa for 180 days na kukwambia "we can no longer do business with you" na pesa hutoipata
Baada ya kusikia PayPal linked with Vodacom, nkasema nifungue account nione inakuaje!
Positive feedback, Paypal ya bongo hatimae inaweza kupokea mkwanja!
Client wangu wa UK ๐ฌ๐ง ame deposit imefika! $300 imeingia bila shida!
Note:๐จ
Kuna vile vizuizi vya kwanza vya Paypal vipo, ni swala la kua na ID na ku submit, maelezo ya muamala ulikotoka basi! Hamna mambo mengi!
Evidence๐๐ฝ
Kuna mwana kanipigia simu, ananiambia
โKaka, kumbe watu wanachangamotoโ
nkamuuliza kwanini!?
โDaaah, yani nimemsikiliza @ThisIsMagnetics nimetamani kuliaโ
Nkamwambia, wewe una daiwa kodi ya laki 5 tu unaongea peke yako barabarani๐๐
Melch 5.0 retweeted
Siku utakayogundua kuna Pesa imejificha mitandaoni kamwe hutalala njaa.
Sehemu Saba Pesa imejificha Online
PS: Repost na wengine waweze kujifunza...
Melch 5.0 retweeted
Moja ya kitu huwa nikiona inaniuma sana ni hii crypto coin inaitwa SHIBA INU.
Kuna muda huwa nasema sasa hivi hata nisingekuwa nahangaika na shida ndogo ndogo za hela.
Nakumbuka nilitaka kuweka kama $15 hivi ile December 2020.
Jamaa angu mmoja nifiche jina lake akanishauri sana kwamba hamna kitu kwenye hiyo coin.
Kipindi hicho bado nipo chuo.
Maisha nagumu ukitoa hiyo $15 unaweza kuishi wiki mbili tatu kwa shida mno ๐๐.
Nikamsikiliza.
Shiba INU ilikuja fika ATH msimu wa Graduation. Kila nikiangalia naona ningekuwa na kama $25 million nikawa navurugwa ๐๐.
Hata ningeacha mpaka leo pamoja na kushuka bei kwa crypto bado ingekuwa kama USD 890,000 hivi.
Ile kitu ndo ilikuwa sababu ya mimi mpaka kesho na kesho kutwa sijawahi fuata tena mtu kumuomba ushauri wa kuwekeza.
Nafanya analysis mimi mwenyewe alafu naingia tu. Nikipata sawa nikikosa sawa.
Mpaka leo huwa nimeiweka Shiba Inu kwenye watchlist. Huwa inanikumbusha kwamba kwenye uwekezaji unahitaji kwanza INTUITION & GUTS zako mwenyewe kisha ndo mengine yanafuata.
Sema 2018 mpaka 2022 were the best times in CRYPTO
Hizi ndio Accounts 10 za TikTok & IG unaweza fatilia
Mimi zimenisaidia for Yrs
โ Zitakusaidia kupata idea ya product ua kuiMport
โ Utapata inspiration jinsi ya kupost,kuedit na kupromote
โ
Nyingi ni za waKenya na wanigeria & wazungu
1. DENNIS MENEZ (my fav)
๐๐พ instagram.com/dennismenez?igโฆ
2. SIDE HUSTLE KIBAO
๐๐พ tiktok.com/@sidehustleskibaoโฆ
3. Keith Import
๐๐พtiktok.com/@keith_imports?_rโฆ
4. Tradelle ( naitumia sana kujua trendy products natembelea chaki)
๐๐พ instagram.com/tradelle?igsh=โฆ
5. SHIQUO
๐๐พ tiktok.com/@shiquo4?_r=1&_t=โฆ
6. JUSTICE BUYS
๐๐พ tiktok.com/@justicebuys?_r=1โฆ
7. RISSA
๐๐พ tiktok.com/@rissasidehustle?โฆ
8. Patrick
๐๐พ tiktok.com/@patrick.yiwu?_r=โฆ
9. Goods from China
๐๐พ tiktok.com/@wholesale.masterโฆ
10. Mnunuzi Online ya mwanangu @eddygotya
๐๐พ tiktok.com/@mnunuzionline?_rโฆ
BONUS: Legit grinder
๐๐พ tiktok.com/@legitgrinderimpoโฆ
Nilienda Dubai na karibu milioni tano tu na plan ya kuuza laptops. Miezi michache baadaye nimepata ๐จ๐๐ ๐ฟ๐ฒ๐๐ถ๐ฑ๐ฒ๐ป๐ฐ๐ ya miaka miwili. Hii ndio reality ya Dubai ambayo watu wengi hawakwambii.
Acha nishee hii story hapa baada ya hapa utakua na majibu ya kila kitu kuhusu DUBAI
๐๐๐๐๐ฎ๐ ๐ฃ๐ ๐ข๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ ๐ช๐๐ช๐จ๐ช ๐ฟ๐ช๐๐๐ ๐๐ฌ๐ ๐๐ญ๐ฅ๐๐ง๐๐๐ฃ๐๐ ๐ฎ๐๐ฃ๐๐ช
-Utakuwa umefika Dubai
-Umejua kila kona ya Dubai
-sehemu za kulala, sehemu za kutalii,Biashara nk
๐๐ผ๐ผ๐ธ๐บ๐ฎ๐ฟ๐ธ, Chukua kahawa,Popcorn tuendelee๐
Kiukweli hayajawahi kuwa maamuzi ya siku moja ni RECIPE ya maamuzi na vitu vingi nimekua nikipitia
Chachu ilitoka wapi?
โ๐ ๐ผ๐ก๐ฌ๐๐ฎ๐จ ๐๐๐ค๐ค๐จ๐ ๐ง๐๐จ๐ ๐ฎ ๐๐ง๐๐๐๐ค๐ข ๐ค๐ซ๐๐ง ๐๐ค๐ข๐๐ค๐ง๐ฉ๐๐๐ก๐ ๐จ๐ก๐๐ซ๐๐ง๐ฎ. ๐ผ๐ก๐ฌ๐๐ฎ๐จ.โ
Mwaka 2022/2023 me whatsapp nilikutana na mwanangu @eddygotya akawa ananiambia ashawai agizia watu vitu kibao China na nini.
Mimi nilikua Nairobi wakati huo. Kwa Nairobi ni kitu cha kawaida sana watu wajanja wa mtandao kuOrder aliexpress nk na logistics zimenyooka tu chaap unaletewa mzigo.
Sasa fast forward nilivogeuka bongo tukaanzisha kampuni inaitwa ๐๐๐ฆ๐๐ฆ๐ซ๐๐ ๐๐๐๐๐ tulikua na office SINZA afrika sana pale sokoni junction ya kwenda mabatini. Ilikua inakua ila challenge hazikosekani me nikamwambia mchizi nabwaga akaendelea ila me nikachana nayo
Sasa yeye akaanza kwenda ๐ฟ๐ช๐๐๐ next ikawa China
Kuna siku nikamuuliza kati ya Dubai na China wapi naweza enda nikiwa hata na 5m nikatoboa. Akanyoosha akasema Dubai.
(Usije ukawa na 5m ukadhani pia utatoboa, kwangu ilikua rahisi maana tayari nina wateja plus najua kufanya marketing ONLINE)
Me nikiwaza lifestyle ninaloona mtandaoni la Dubai nitaweza afford kweli nikaona uongo
Mwaka juzi mwanangu @thisiscollins1 alikua Chuo Cyprus akahamia China basi tukaanza kupush tena ecommerce kama kawaida ila logistics ikawa mzozo sana.
(Btw tushaiwafunza watu 1000+ jinsi ya kuOrder vitu china na kuuza๐๐พ youtu.be/lLfA4B5zQpg?si=Tuwdโฆ)
Mwanangu akanambia me niko shule omba VISA njoo hapa.
Sasa me kama wewe na wengi mnaopenda uhakika nikaanza kumuuliza kila move oya usafiri, hotel ngapi bei nk
Huku nauliza @eddygotya kuhusu Dubai pia
NikiCompare hivi nikaona maisha ya China ndo kitonga nitamudu.
Mimi huyo chaap kwenda kuApply VISA ya China
Agent waliniletea miyeyusho ofcoz kama hujui hii sio mara zote watu wamenyooka. Me ni mkorofi niliumana nao haswa hadi nikapata VISA ya China. Hehe
Sasa kubabake ikawa wakati wa Canton fair nauli ziko juu mlima. Yaani nikienda ni kuwa nimalize hela yote nauli afu nibet kupambana ama nisiende
Nikabwaga nikamcheki mwanangu tena @eddygotya nataka kwenda Dubai
Akanambia nenda Dubai focus sana lakini kuuza LAPTOPS. LAPTOPS zina hela miezi nne tu gharama zako zitarudi
Uzuri mambo ya kumarket kwangu sio issue nna watu 1200+ daily wanaangalia whatsapp yangu
Kukosa mteja labda nirogwe.
Siku hiyohiyo nikamuomba mtu wa VISA nikalipia.
Hapo sikuwa na dusko nimetoka kupata mtoto costs kibao bima tu Kenya namlipia ka 2m, dogo mapassport nini mambo buku sielewi.
Nikachek line zangu mbili wakanipa Dusko niAfford bills za hapa na pale.
Mungu hatoki twitter aisee week ya kwanza mauzo bampa to bampa hapo ni whatsapp tu.
Offcourse challenges hazikosekani kama hii niliibiwa hapa๐ (xitter.cf/gabyconscious/status/1โฆ)
Hadi leo me hizi X sijui insta napost tu for visibility ila nauzia ๐ฌ๐๐๐ฉ๐จ๐๐ฅ๐ฅ.
(Learn Whatsapp marketing๐๐พ youtu.be/1ER2REhfhMM?si=uLjmโฆ)
Mwezi wa kwanza nikaishi Nikarudi afu after few weeks nikarudi sasa nipambanie ๐๐ผ๐ ๐๐ฟ ili nisisumbuke kuomba VISA kila mara
Maana trip hii plan ni nipate ghetto(bedsitter) kwa ajili ya kukaa ila pia iwe office kwa maContent yangu.
Hii haikuwa ngumu maana tayari watu wangu wa karibu washaona mzigo nnaopiga, sales nafanya. Wakatia mzigo.
Bana Mungu sio Mark Zuckerberg๐
. Round hii mambo ikajipa
Process ikaanza
๐๐
Tar 21 Feb 2026 nilikua nachagiza Maada za Forex nikasema huwezi kupata 100% kwa mwezi ukitrade consistently
@richardkalipeni akasema anaweza pata hata 200% atatoa $50-$150
Sikuwa na hiyana nikamuekea mzigo
Nikaongea na bro @ray_heriel ana platform yake inaitwa fundedpayout.com
Atengeneze a temporary account ambayo kila mtu anaweza track
Hii hapa (fundedpayouts.com/account-deโฆ)
$50 ni hela kidogo ila nilitaka vijana wengi wanaoingia kupambana Online wajifunze suali ambalo wananiulizaga sana โNianzie wapi?, Nianzaje?, Nifanye nini?โ
Huwaga nawajibu kuwa : ๐ญ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐
๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐
๐๐
๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐,๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐,๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐. ๐ฉ๐๐, ๐๐๐๐๐โ๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐ ๐
๐ ๐๐ โ๐๐๐๐ ๐๐.โ ๐ฐ๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐
, ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐.
Leo nimechek fundedpayout.com mchizi target niliomuekea ya 100% keshaifikia in Two weeks.
Congrats @richardkalipeni Umetisha sana
Nadhani kuanzia leo hii ndo njia pekee ya kupushiana vijana story pekee hazitoshi tutaleta Challenge kila week.
Mshindi atapata faida:
1. Kuaminika
2. Inspiration kwa wengine kuwa inawezekana
3. Wengine watajifunza kupitia yeye
Nitajaribu nikipata muda tuwe tunafanya nao Calls za hapa na pale.
NEXT CHALLENGE ni ya MATANGAZO (ADS)
-Nitampa hela mtu yeyote mimi au mdau atajitolea
- Nitawapa page wataalamu wawili wa ADS na hawana Pesa ya Ads
-Mtu atakayeweza kuuza kwa Faida yaani Hela ya Ads irudi na FAIDA within a week Kwa Budget ya $25-50 (Akiongezeka mtu mwingine wa support fresh)
-Mshindi Atapewa kiasi mara mbili ya kilichotumika kwenye ADS
Tuma Proof of work (Matangazo umewahi fanya) kwa whatsapp yangu๐๐พ shorturl.at/WY66D
NB: Watu wawili wa kwanza walioonesha Proof of work(sio story tupu) Kuwa wanajua META ADS vizuri ndio watapewa kazi.
Kila kitu kitakuwa Public
Mauzo yatafanyika kwa snippe.sh so tutaona wote
Faida itakayopatikana itarudi HapaHapa X kwa ajiri ya Challenge ingine๐ซก
#GabyDigitalHustlerChallenge
Melch 5.0 retweeted
Addiction nyingine ni kushindwa kutambua online unataka nini, Kila sehemu ukisikia kuna hela na wewe upo
Kwenye fx upo, betting upo, CPA upo,remote jobs upo,shitcoin upo, network marketing upo
Mwisho wa mwaka unakuja kutambua sehemu zote hizo hujapata hata sh 100
Melch 5.0 retweeted
Habari MTanzania ๐น๐ฟ
Tarehe 21/03/2026 kwa mara ya kwanza kabisa timu ya OKX itafanya Meet Up rasmi hapa Dar es Salaam. Hii ni fursa adhimu kwa vijana, wafanyabiashara na wanafunzi wanaotaka kuelewa kwa kina namna ya kutumia OKX Exchange na kuchangamkia fursa zilizopo kwenye soko la crypto.
Katika mkutano huu, beginner watajifunza mambo muhimu yafuatayo:
1. Jinsi ya kufungua akaunti ya OKX hatua kwa hatua.
2. Mchakato wa KYC verification kwa usahihi.
3. Mbinu za kulinda akaunti (2FA na security settings).
4. Namna salama ya kufanya deposit na withdrawal.
5. Uelewa wa Spot trading na misingi yake.
6. Jinsi P2P trading inavyofanya kazi.
7. Matumizi ya Convert feature kwa urahisi.
8. Trading Bots na namna ya kuzitumia.
9. Earn products na jinsi ya kupata faida.
10. Jinsi ya kusoma na kuchambua Markets kitaalamu.
11. Networking na wadau wa teknolojia ili kujenga community imara ya OKX Tanzania ๐น๐ฟ
Kama upo Dar es Salaam, jisajili mapema kwani nafasi ni 100 tu ๐ Location itatangazwa baada ya kuthibitishwa ๐ข
Jisajili hapa ๐ luma.com/423u9awj
Jiunge na WhatsApp Group ya OKX Tanzania kwa taarifa zaidi ๐ chat.whatsapp.com/LOqV7pfPL1โฆ
Sharing is winning ๐ฅ
@okx
Kuna watu wana IQ ndogo sana๐
Kama kuna mtu smart wa kufanya nae Business, basi ni Mwaisa.
Huyu naweza mtumia 15M nkaenda kulala, huna wasi wasi ana deliver.
Pole sana mzee! Keep moving.
This quoted post is unavailable.
Melch 5.0 retweeted
Sahizi watu wana tengeneza content za AI (Reels) na kuweka Facebook na wana earn mpaka $5,000+ per month.
Ila ukiambiwa ni possible ku earn Tsh 100M / Year unaona haiwezekani.
Africa tuko nyuma sana kifikra na tume jaa Negativity zaidi kuliko knowledge.
Exposure ni muhimu.






























