Kagongo retweeted
You should join us nov 14 at 8:00pm for "Uchambuzi wa Kina wa Kisheria Dhidi Tundu Lissu (Comprehensive Legal Analysis)". Procedural Legality, Judicial Discretion.clubhouse.com/i/uchambuzi-wa… clubhouse.com/i/uchambuzi-wa…
hey - you should join us for this live room happening now "Hukumu ya lissu". clubhouse.com/i/hukumu-ya-li…
3
139
Hizi POINTS tulizopoteza ATALIPA ARSENAL. Mbio za ubingwa ZIPO WAZI BADO.
#epl #manutd #ggmu #football
#tutakuwepo🫵🏾😎
hey - you should join us for this live room happening now "BAJETI KUU YA SERIKALI KWA MWAKA 2026/2027. #Specialroom". clubhouse.com/i/bajeti-kuu-y…
1
25
Kagongo retweeted
Kudadeki walahi, hata swali kashindwa kuelewa. Dah!
Hakuulizwa kama Tanzania iko kwenye vikwazo, alichoulizwa ni kwamba, Russia iko vikwazo je Tanzania inatafaya vipi biashara na Russia ambayo iko kwenye vikwazo? Je Tanzania itafanikiwa vipi kuzunguka vikwazo hivyo vya Russia na kufanya biashara?
Alichojibu form 4 failure alieiba Urais kwa kuua wananchi zaidi ya elfu 10, Tanzania haiko kwenyw vikwazo. Dah!!!!!
Aisee, umemaliza yote, nimeongea sana hili kwenye mijadala na jamaa zangu, ila ni kama kumpigia mbuzi gitaa. Mpaka pale tutakapoelewa hiki kitu @EduTalkTz ameandika, ndio siasa zetu zitaondoka kwenye uhuni.
BARUA YA WAZI KWA CHADEMA
Chama cha siasa ni ideology; uanachama wa chama cha siasa ni values.
Chama cha siasa kinajipambanua kwa vile kinavyoamini kuhusu sera ya umma na namna jamii inavyopaswa kuenenda.
Uanachama na ufuasi wa chama cha siasa unatokea pale ambapo values za mtu binafsi zinalandana na ideology ya chama cha siasa.
Ideology ya chama cha siasa ni kama sumaku, inavuta values zinazolandana nacho.
Katika tafsiri hii, haiwezekani mtu leo akawa CHADEMA kesho akawa CCM halafu keshokutwa akawa CHADEMA.
Haiwezekani leo ukawa progressive kesho ukawa conservative halafu keshokutwa ukawa tena progressive.
Haiwezekani leo ukawa mjamaa kesho ukawa mbepari halafu keshokutwa ukawa tena mjamaa.
Hata ikitokea kwamba mwanachama wa chama cha siasa hakubaliani na mambo fulani ndani ya chama chake kiasi cha kutaka kujiondoa, ni vigumu kwa mwanachama huyu kujiunga na chama cha siasa chenye ideology tofauti kabisa na ile ya chama chake.
Ni vigumu kwa sababu values zake zilizomvuta na kujikuta amekuwa mwanachama wa chama chenye ideology A hazilandani na chama chenye ideology B.
Ikifika hatua mtu akawa na uwezo wa kuhama vyama vya siasa atakavyo, tena vyama ambavyo ni two extremes sawa na mashariki na magharibi, kuna vitu vikubwa viwili:
1. Huyu mtu sio mwanachama wala mwanasiasa, ni opportunist. Ni ile aina ya wanasiasa ambao Mwalimu Nyerere aliwaita “wanasiasa malaya malaya.”
Ni malaya malaya kwa sababu hawana values; hawavutwi na ideology. Kama hauna values maana yake ni kwamba unafit popote, ni mercenary kwa lugha ya Mwalimu. All you care about is money, fame, and material rewards. That’s all.
2. Chama kinachomruhusu yeyote kutoka na kuingia atakavyo sio chama cha siasa, ni version ya chama dola.
CCM ni mfano mzuri wa chama dola kwa sababu hakina ideology wala wanachama wake hawana values. Kinachowaleta pamoja ni kitu kimoja tu, MADARAKA; ni MASLAHI BINAFSI.
Yeyote anaweza kusajiliwa CCM, muhimu awe tu na uwezo wa kupata madaraka. Pesa na fame ndio values za CCM, yeyote mwenye haya anaweza kusajiliwa.
Hii inamaanisha pia chama cha siasa kama CHADEMA kikianza kuwa na tabia hizi za chama dola nacho kinageuka kuwa version ya chama dola.
Yani kinakuwa chama dola kisichokuwa na dola. Which means kama kikipata dola nacho kitabehave vile vile kama chama dola.
Kwa mantiki hiyo kitafit kabisa ile tafsiri ya “CCM B.”
Na ukitaka kuupima ukweli wa hili, sikiliza ile kauli ya “CHADEMA NI CHAMA CHA SIASA, MALENGO YAKE MAKUU NI KUSHIKA DOLA.”
Hii ni kauli inayoweza kutolewa na watu wasiokuwa na values ndani ya chama dola. Yes, malengo makuu ya CHADEMA KUSHIKA DOLA kama wasemavyo watu hawa hayatofautiani kivyovyote vile na malengo makuu ya CCM KUENDELEA KUBAKI KWENYE DOLA kwa njia yoyote ile.
Wote wana through line moja, DOLA KWANZA UMMA BAADAE. Hii inamaanisha pia watu hawa hawajali matatizo halisi ya umma, isipokuwa wanayatumia instrumentally kufikia malengo yao (I TRULLY HOPE THIS IS NOT THE CASE).
Hata hivyo changamoto kubwa hapa ni kwamba CHADEMA ikiamua kuwa na tabia za chama dola, kamwe haiwezi kuwa mbadala wa chama dola kwa sababu kitabia na yenyewe inakuwa chama dola.
Ikifikia hatua hiyo, CHADEMA inabadilika na kuwa mtaji mzuri sana wa kuhalalisha matendo ya chama dola na malengo yake ya kuendelea kubaki kwenye dola.
Kazi ya chama dola itakuwa kusema tu, “si mnawaona hata wao? Kuna chochote cha tofauti mnachokiona kwao?”
Matokeo yake ni kuukatisha umma tamaa kwa kuufanya ufikie hitimisho kuwa “wote ni walewale.”
Natamani CHADEMA ingejipambanua kama CHAMA CHA SIASA CHENYE IDEOLOGY NA WANACHAMA WENYE VALUES badala ya version ya chama dola inayorudufisha umalaya wa kisiasa.
Ideology inatengeneza integrity, na matokeo ya integrity ni imani ya umma.
Natumaini CHADEMA haitawafikisha watanzania kwenye ile Orwellian state ambapo wanyama waliwaangalia wanadamu kisha wakajiangalia wenyewe kisha wakawaangalia tena wanadamu na kushindwa kuelewa wapi ni wanyama na wapi ni wanadamu.
Ahsante!
52
Kagongo retweeted
Watu wanasepa kwa mi-press kibao ya kuibagaza taasisi huko vichochoroni, haitoshi wanakwenda wanatumika kuusafisha mfumo unaowaumiza raia na viongozi wenzetu/wetu. Anaporejea anapewa umuhimu mpaka na viongozi wakuu.!! Kwanini asiitishe press zake kama alivyoondoka? Mnazingua.!
Kagongo retweeted
Ukiangalia ile post ya Peter msigwa kurejea CHADEMA pale wanaofuarahishwa na urejeo wake ni wale watu wa CHADEMA haswa ambao tunawaamini kwenye haya mapambano.
90% ya watu wanaopinga urejeo wake MSIGWA na wengine kusema “akirudi awe mwanachama wa kawaida” ni wale wapenda haki wasio na vyeo wala kitu ndani ya CHADEMA zaidi ya kupenda harakati za MAPAMBANO.
Hii inakupa picha gani?
Watanzania sio WAJINGA-msigwa ni sehemu ya watu waliolifikisha TAIFA kwenye MO29. Matusi na kejeli alizotumia dhidi ya CHADEMA (TUMAINI LAO) kwenye majukwaa mbali mbali watu hawajayasahau.
Ndani ya CHADEMA kuna mengi ambayo yanaendelea SIRINI wao kwa wao wanayajua ila sio watanzania wote wanayajua. Ila kwa yale ambayo yanatoka duniani na wanayaona kama ya hawa WAKINA MSIGWA nafikiri mnaona majibu yake.
Kizazi hiki cha GEN-Z hakiwezi kuyumbishwa na SANAA ZENU za “siasa” mlizokuwa mnazifanya zama za GIZA. Na hawa GEN Z ukiwasikiliza na kusoma misimamo yao kiukweli kweli hawapo kwenye VYAMA wao wanaamini kupitia HAKI.
Sasa kama mnahisi hiki kizazi mtaweza kukiendesha mnavyotaka hilo sahauuni watu sio WAJINGA.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
hey - you should join us for this live room happening now "Makavazi Behind the Scenes".@fbuyobe fuata link hii. clubhouse.com/i/makavazi-beh…
22
Kagongo retweeted
Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha.
Dola isome alama za nyakati. The writing is on the walls!
Msajili STOP THIS NONSENSE ya kutaka kufuta CHADEMA. Utafutwa wewe, No doubt about this!
Tume ya Chande iliyoundwa na Rais imetoa Taarifa inayosema wananchi wanailalamikia Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kutokutenda haki kwenye kusimamia shughuli za vyama vya Siasa. Badala ya Msajili kuchutama, kuwajibika na kubadilika anarudia makosa yaleyale yaliyopelekea mauaji yaliyoanza Oktoba 29.
Msajili anajua, Watanzania wanajua na Dunia inajua kuwa Kuna ushahidi wa kutosha wa CCM kufanya makosa makubwa kuliko hata ambayo msajili ameituhumu Chadema, hatukuwahi kuona hatua zozote zimechukuliwa na Ofisi hii ya Msajili.
Ofisi ya Msajili ijue WATANZANIA SIO MABWEGE. Tunachukulia tishio lolote dhidi ya CHADEMA ni tishio dhidi ya Demokrasia. An attack to one, is an attack to all.
Iacheni CCM ifanye Siasa za Ushindani dhidi yetu. Nasi tufanye siasa za ushindani dhidi yao.
Acheni kuwa mbeleko ya CCM. Mtaanguka nayo. Ujumbe huu sio wa Msajili tu bali pia ni kwa VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA pia. Kaeni pembeni acheni vyama vya Siasa vifanye Siasa.
Mnataka watu wangapi wafe ili mpate somo?
Replying to @zittokabwe
With the type of the leaders we have,I doubt they will act on his roadmap.
When you have weak and inferiority complex infected leaders,will always do the opposite just to prove that they have the power.
Wisdom and integrity is not for everybody.
Kagongo retweeted
Kuna Jamaa out of love and Support kanitengenezea hii kitu bwana humu, handle nimesahau, Thank you 🙏🏼
Kagongo retweeted
Africa says it wants industrialisation. Few people actually try to build it. @MasoudKipanya moved from commentary to manufacturing, investing more than USD 300,000 of personal capital over six years to develop Tanzania’s first locally manufactured electric vehicle through Kaypee Motors.
This is not a startup story but what industrial ambition looks like when there is no ecosystem waiting for you.
Read the full UchumiFaces profile:
uchumi360.com/uchumi-faces/b…
Kagongo retweeted
katika historia nzima ya tanzania, hakujawahi kutokea tume yenye kujitetea na kujieleza kama hii ya chande. i mean, c’mon, give us a fucking break, will ya? nafsi zenu kuwasuta kwa kusafisha na kuhalalisha mauaji halaiki ya raia isiwe ni mateso na kwetu sisi. chill the fuck out!
Kagongo retweeted
Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa.
Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na Tume).
Jumla watu 1,724 HAWAPO kama matokeo ya hicho kilichopngwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa;
- Mkuu Usalama wa Taifa (DGIS) bado yupo ofisini
- Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) bado yupo ofisini
- Wakuu wa Mikoa na Kamati za Ulinzi na Usalama za Mikoa yote husika wapo ofisini
- Wakuu wa Wilaya na Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya zote husika wapo ofisini
Hakuna kuwajibika wala kuwajibishwa, halafu Umma ukubali kuwa hii haikuwa kazi ya dola yenyewe kujiandaa kuua watu wake?
Asante Bob
Umefanya vizuri kuliweka sawa Daktari! Tuna haki ya kuwa na mashaka kwasababu tumeumizwa sana lakini tutafanya makosa kama mashaka hayo yatakuwa yanaumiza wenzetu bila kuwa na ushahidi! @Advocate_Kisabo sio project anatakiwa kuelekezwa tu! Vijana wanaojitolea kama Paul sio wengi!
27
Kagongo retweeted
🅻🅸🆅🅴 :ACT WAZALENDO WANAICHAMBUA RIPOTI YA CAG MUDA HUU youtube.com/live/a3BDmRIzhv0… via @YouTube
Halafu kuna bwana yule anaepost picha za maghorofa na kusema anajenga kutokana na pesa ya kubet. Kuna namna CCM wamejua kuiharibu hii nchi. Safi sana @zittokabwe .
Leo ni siku ya kwanza ya kukusanya Kahawa kwenye vituo vya Chama chetu cha Ushirika cha RUMAKO hapa Kigoma. RUMAKO ndiye mzalishaji mkubwa zaidi wa Kahawa mkoa wa Kigoma. Shamba letu ndilo shamba mchangiaji mkubwa wa RUMAKO. Msimu wa mavuno!
1
36






















