Kwa bahati mbaya Papa aongeapo,wanaopenda Ushetani wa Ushoga n.k hupotosha.
Papa Francis huchukulia mapenzi ya Jinsia moja kama DHAMBI na UGONJWA wa akili,lkn si kama JINAI.
Anaamini kuwa,hawa watu wanatakiwa kusaidiwa si kuuwawa au kufungwa jela.
Na ndicho alicho rudia