Critics and petitioners (including during a 2005 court challenge in Zanzibar) have questioned whether the original signed treaty was ever properly deposited with the United Nations Secretariat or retained in national archives
youtube.com/shorts/VsLU2xbDb…
Shawman Sam retweeted
Serikali ikiagiza bunge liondoe ibara za katiba zinayounda mahakama ya rufaa na mahakama kuu itakuwa ni suala la kisiasa na mahakama haitasema kitu . Vivyo hivyo bunge likijiongezea ukomo wake na kusema ni miaka 15 litakuwa suala la siasa. @Advocate_Jebra
HUKUMU ILIKUWA MBAYA SANA
Shawman Sam retweeted
Madeleka anauliza swali la muhimu sana hapa.
Tuiamini tume huru ya uchaguzi (wakina MWAMBEGELE) au MAHAKAMA iliyoamuru Lissu afungwe Jela?
You should join us nov 14 at 8:00pm for "Uchambuzi wa Kina wa Kisheria Dhidi Tundu Lissu (Comprehensive Legal Analysis)". Procedural Legality, Judicial Discretion.clubhouse.com/i/uchambuzi-wa… clubhouse.com/i/uchambuzi-wa…
Shawman Sam retweeted
Lugha anayotumia WAKILI MSOMI PETER MADELEKA hata mtoto wa mwaka mmoja lazima aelewe.
Repost 200
Shawman Sam retweeted
Hawa Majaji watapelekewa moto na kurudishwa darasani hadi wenzao wajue haki haichezewi.
Lissu hakustahili kutiwa hatiani bali kurudishiwa uhuru wake.
Hakuna faida kwa Serikali au CCM kutumia Mahakama kutesa raia wake wanaowakosoa.
Hutaki kukosolewa ondoka ktk ofisi za umma.
Shawman Sam retweeted
Kwa hukumu yoyote itakayo amuliwa mimi nipo upande wa Tundu Lissu! Naamini HAKI itashinda.
#LissuSioMhaini
#IStandWithLissu
Shawman Sam retweeted
It's a bit fun sharing.
Plz tell me if you started staring at your fingers, palm and other parts of your hands after watching this video.
To be honest, I did.
Also tell me if these all or some of them are true.
Waiting for your comments
COMMUNIQUÉ : la #CIJ rendra son arrêt en l’affaire relative à l’Application de la convention pour la prévention et la répression du crime de génocide (#Gambie c. #Myanmar ; 11 États intervenants) le 19 novembre à 10 h | La Haye
En direct sur @UNWebTV.
go.icj-cij.org/4izJzIc
PRESS RELEASE: the #ICJ will deliver its Judgment in the case concerning Application of the Convention on the Prevention and Punishment of the Crime of Genocide (The #Gambia v. #Myanmar: 11 States intervening) on 19 November at 10 a.m.
Live @UNWebTV
go.icj-cij.org/4sEwX73


















