Pinned Tweet
Hivi ni nini kinachokufanya uogope kuja Clinic ya Kinywa na Meno, ili upate matibabu yatakayokuwezesha kuondokana na maumivu ya Meno?
A) Sindano ya ganzi
B) Sauti na kelele za machine za kusafishia/kutobolea meno
C) Gharama za matibabu
D) Kuogopa tu daktari kugusa meno yangu
Mwenyezi MUNGU azidi kumpunguzia adhabu ya kaburi Baba yetu wa TAIFA.#TutamuenziBabaWaTaifa Amen 🙏
KUMBUKIZI: Baada ya kifo cha Mwalimu Julius Nyerere kilichotokea Oktoba 14, 1999 Jijini London, mwili wake ulirejeshwa Tanzania Oktoba 18 na kuagwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Uhuru, Oktoba 21, Dar es Salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda Butiama kwa ajili ya mazishi ya kifamilia Oktoba 23.
Kwa mujibu wa mila za Kabila la Wazanaki, neno "Mwitongo" linamaanisha mahame au eneo lililoachwa wazi baada ya kifo cha mkuu wa familia. Eneo hilo lilibaki wazi baada ya kifo cha baba yake Mwalimu, Mtemi Nyerere Burito, Mwaka 1942 kabla ya kuendelezwa miaka ya baadaye.
Unakumbuka tukio gani katika siku hiyo?
Zaidi jamii.app/MazishiNyerere
#JamiiForums #JFKumbukizi
Je, ni sahihi kutumia MSWAKI MGUMU (Hard Toothbrush) ili kusafisha meno vizuri? 🤔🦷
Jibu fupi: HAPANA! ❌
Watu wengi huamini mswaki mgumu ndio unasafisha uchafu vizuri, lakini ukweli ni kwamba:
Unalaza na kukata ufizi wako (Gum recession).
Unaondoa au kuchubua sehemu ya nje
Taasisi ya #MayoClinic inashauri kubadili mswaki kila baada ya miezi mitatu hadi minne, na ikiwa kama nywele za mswaki zimepinda, kuchoka au kuvunjika, ni vyema ubadilishe kabla ya muda huo.
Inaelezwa kadiri unavyoutumia mswaki, #Bakteria na #Vijidudu kutoka kinywani hukusanyika kati ya nywele zake na kukua haraka katika mazingira yenye unyevunyevu, hali hii husababisha vijidudu kurudi tena mdomoni kila unapopiga mswaki, na kuongeza hatari ya magonjwa ya fizi, meno na mwili kwa ujumla
Daktari wa meno Mark Stapleton anaeleza kuwa mswaki uliotumika kwa muda mrefu hupoteza ufanisi wa kuondoa uchafu na kuchochea kuoza kwa meno na kupata magonjwa ya fizi
Soma jamii.app/BadiliMswaki
#HakikiTaarifa #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck
Kosa kubwa ambalo watu 80% wanafanya wanaposwaki meno asubuhi ni KUSUKUTUA NA MAJI mara tu baada ya kutosha dawa🚫🦷
#AfyaYaKinywanaMeno
Ukisukutua na maji baada ya kuswaki, unaondoa madini ya Fluoride yaliyopo kwenye dawa ya meno kabla hayajafanya kazi ya kulinda na
Kusirie🦷💉🫂 retweeted
Broke? Jobless? Feeling stuck?
Google is paying $1,500 a day — and you don’t need a resume.
All it takes is:
📱 A phone
🌐 Internet
⏱ 5 minutes a day
✅ Like this post
💬 Comment “Google”
🔁 Retweet
👣 Make sure you’re following so I can DM you the details
Replying to @_Kusirie @realgrayson_tz @samuelmway @munyamambogo @eddooh @allengama21 @blakelisa99 @Lunguya17652 @sie93581
Kwahiyo nifanyaje sasa ili nipate wa ivi nasikiliza ushauri wenu waungwana








