A citizen-centered approach in countering Misinformation and Disinformation Online and Offline by JamiiAfrica

Tanzania
Joined September 2010
Jukwaa la #JamiiCheck hufanya kazi ya Kuhakiki Taarifa zinazopatikana ndani na nje ya Mtandao ili kubaini kama zina Ukweli, Uzushi au Nadharia Jukwaa hili huwa na 'Logo' yenye rangi 4 ambazo ni Njano ikimaanisha Taarifa mpya inayosubiri kuhakikiwa, Kijani ikimaanisha Taarifa iliyohakikiwa na kukutwa na Ukweli, Nyekundu ikimaanisha Taarifa iliyohakikiwa na kukutwa haina Ukweli pamoja na Kijivu ikiwakilisha Taarifa iliyohakikiwa na kukutwa ni Nadharia Tunapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Uhakiki wa Taarifa, hakikisha unatumia Jukwaa hili uwe sehemu ya Watu wanaopambana na Usambazaji wa #TaarifaPotofu Mtandaoni Kufikia Jukwaa, bofya JamiiCheck.com #FactCheckingDay #FactsMatter #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck
1
9
37
10,959
Wakili kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu anaeleza kuwa, Mali ulizozikuta zinabaki kuwa za mwenza isipokuwa kama Mwanandoa ambaye hakuhusika awali awe alifanya maendelezo kwenye mali hiyo au hizo. Zadi Soma jamii.app/MaliZaNdoa #JamiiCheck #FactCheck #FactChecking #VerifyBeforeYouShare #HakikiTaarifa
1
216
Ujumbe wa Godbless Lema unatukumbusha umuhimu wa kuzungumza ukweli wakati wote kama ishara ya ujasiri. Tembelea JamiiCheck.com kupata Taarifa zilizothibitishwa pamoja na kujifunza mbinu za Uthibitishaji. #JamiiCheck #FactCheck #FactChecking #VisitJamiiCheck
94
Daktari Selestin Mpiri anafafanua kuwa mazoezi pekee hayawezi kusaidia kupunguza uzito wa mwili kwani chakula kina mchango mkubwa kwa sababu ni rahisi kuongeza calories nyingi kupitia ulaji kuliko kuzichoma kwa mazoezi pekee. Anabainisha umuhimu wa kuchagua vyakula vya asili, kupunguza sukari na vyakula vilivyosindikwa, huku akisisitiza kuwa afya bora inahitaji mchanganyiko wa mlo sahihi, mazoezi na mtindo bora wa maisha. Soma jamii.app/MazoeziKupunguaUzi… #JamiiCheck #FactCheck #FactChecking #VisitJamiiCheck
81
Utafiti uliotolewa na Chuo Kikuu cha Jimbo la New York wenye kichwa 'Increase in scrotal temperature in laptop computer users' unaonesha kuwa joto linalotokana na matumizi ya laptop linaweza kuongeza kwa kiasi kikubwa joto kwenye korodani, jambo ambalo linaweza kuhatarisha uzalishaji na idadi ya mbegu za kiume. Dkt. Yefim Sheynkin aliyeongoza timu ya utafiti huo anasema kuongezeka kwa joto kumekuwa kukijulikana kwa miaka mingi kusababisha matatizo ya uzazi kwa wanaume, mathalani kutumia laptop kwa muda mrefu juu ya mapaja kunaweza kuongeza kwa kiasi kikubwa joto la korodani. Fahamu kuwa uzalishaji wa mbegu za kiume hufanyika vizuri zaidi katika joto lililo chini kidogo ya joto la kawaida la mwili, ndiyo maana korodani zipo nje ya mwili kwa asili ili kudumisha joto hilo linalohitajika. Soma jamii.app/LaptopMapajani #Misinformation #Disinformation #FactsMatter #VisitJamiiCheck
355
Video inayosambazwa mtandaoni ikimuonesha mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema akiwataka wafuasi wa chama hicho kuchangia fedha ili viongozi 'wanywe bia' imepotoshwa. Uchunguzi wa JamiiCheck umebaini video hiyo imekatwa na kuunganishwa vipande tofauti, hivyo kubadili ujumbe halisi. Katika video halisi, Lema anaeleza kuhusu changamoto za CHADEMA kukosa ruzuku na kuomba michango ili kusaidia gharama za uendeshaji wa shughuli za chama. Zaidi soma jamii.app/LemaMichangoChadem… #JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck
2
145
Kabla ya kuamini na kusambaza Taarifa unayokutana nayo mtandaoni, jiridhishe uhalisia wake au iwasilishe JamiiCheck.com ili kupata uhalisia wa maudhui husika. Soma jamii.app/NotiMpyaElfuKumi #HakikiTaarifa #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck
1
2
86
Iwapo utakutana na picha au video inayokupa mashaka, thibitisha kwanza kabla ya kusambaza, au wasilisha JamiiCheck.com kupata msaada wa Uthibitishaji. Zaidi soma jamii.app/ChademaTonetone #HakikiTaarifa #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck
42
Tembelea JamiiCheck.com kusoma zaidi namna watu wa kale huko Uganda (Bunyoro) walivyokuwa wakiwazalisha Wanawake kwa Upasuaji kwa kutumia njia za asili. Zaidi Soma jamii.app/CsectionKufanyikaU… #VisitJamiiCheck #FactsCheck #HakikiTaarifa #FactsChecking
1
2
70
Not every quote shared online is genuine, verify the source and use JamiiCheck.com to verify information before sharing. #JamiiCheck #FactsCheck #FactsChecking #VisitJamiiCheck #FactsMatter
1
4
42