Mkulima Wine tutakuwepo viunga vya Kariakoo hadi saa kumi na moja jioni.
Leo zote Dry na Sweet wine zipo kwa bei ya kizalendo sana📍📌
Karibuni sana maboss🍷
Natamani niwe na foundation ya kuwasaidia wagonjwa waliotelekezwa mahospitalini
Msaada wa vyakula,mavazi,dawa na Msaada wa kimatibabu
Sijui naanzishaje,sijui naifanyaje 😔
But natamani sana kuona mgonjwa akipata faraja kama wengine
Oogenesis
Spermatogensis
Fertilization
Photoreception
life cycles
DNA formation
Kreb's cycle
Electron transport chain
Hearing
Counter current multiplier
enzyme actions
Cell differentiation
Yote haya kwa miez 18?
Ni sawa PCM mnajionaga special sana em heshimuni Bios wazee 😂🚮