MOYO WA DOLPHIN🐬 (@TaoTeChing8) header
MOYO WA DOLPHIN🐬 (@TaoTeChing8) profile picture

@ManUtd|| @SimbaSC||. Farmer

Earth
Joined May 2020
Hustle zetu zikajipe👊
6
12
1
62
1,253
MOYO WA DOLPHIN🐬 retweeted
Usijilinganishe na safari ya mtu mwingine. Kila mtu ana majira yake, mapambano yake na neema yake. Ua halichanui kwa sababu ua jingine limechanua; huchanua wakati wake unapofika. Endelea kukua kwa wakati wako. Nakutakia siku njema!
9
47
884
MOYO WA DOLPHIN🐬 retweeted
Ukishakuwa mwanaume hakikisha kabisa unakuwa na misimamo. Ni jambo la fedheha sana mwanaume kukosa msimamo. Na misimamo ni jambo la kiimani kabisa, Kwa wakristo Meshack, Abnedgo, Shedrack ni ma role model wa misimamo. Kiufupi hata Mungu mwenyewe hapendi mwanaume asiye na misimamo tujifunze kwa Samsoni📍📌
10
14
75
2,249
MOYO WA DOLPHIN🐬 retweeted
🚨BREAKING: Anyone who touches this post will be rich in November.
47
140
7
11,888
421,728
MOYO WA DOLPHIN🐬 retweeted
VIDEO: Askofu wa Jimbo Katoliki Kayanga, Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza, amesisitiza kuwa viongozi wa Kanisa hawawezi kukaa kimya wakati majeraha, huzuni, na masikitiko ya waliopotea au kuuawa bado vipo miongoni mwa wananchi, akiwataka waumini kujitokeza kwa wingi katika Misa Takatifu na Sala ya Rozari kwa ajili ya kuwaombea marehemu na waathirika wa matukio ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Kauli hiyo ameitoa leo wakati wa Sala ya Rozari Takatifu katika Parokia ya Mtakatifu George, alipokuwa akifafanua barua ya wito uliotolewa na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa (Askofu wa Lindi), wa kuadhimisha Misa hizo tarehe 29 Oktoba 2026 katika parokia, vituo vya sala, na taasisi zote za kanisa. Akijibu wanaotuhumu na kukejeli wito huo wa Maaskofu, Askofu Rweyongeza amebainisha kuwa jukumu la kinabii la viongozi wa dini ni kuwa sauti ya wanyonge na waliopatwa na msiba. "Majeraha yapo, huzuni ipo, makaburi yapo, waliopotea hawajapatikana na hatuwezi kukaa kimya. Sisi maaskofu sisi ni sauti ya wanyonge, sauti ya bubu, sauti ya viziwi”, amesisitiza.
18
103
2
476
13,499
MOYO WA DOLPHIN🐬 retweeted
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa, amesisitiza umuhimu wa ukweli, haki na uhuru katika jamii, akieleza kuwa Katiba na sheria zilizopo sasa haziwezi kuleta uchaguzi huru, wa haki na salama. Askofu Pisa ametoa kauli hiyo leo, Oktoba 29, 2026, mkoani Lindi, wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu maalumu ya kuwaombea watu walioumizwa, waliopotea na kuuawa katika matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Katika maadhimisho hayo, amewataka Watanzania kuendelea kumwomba Mungu awe na huruma kwa taifa, huku akihimiza maombi kwa viongozi wa Serikali ili waongoze kwa kuzingatia haki na ukweli. “Tuzidi kuomba huruma ya Mungu, tuliombee taifa letu, tuwaombee viongozi wote wa Serikali, ili Mungu Bwana wetu aelekeze akili na mioyo yao kadiri ya mapenzi yake,” amesema Askofu Pisa. Akizungumzia masuala ya uchaguzi, Askofu Pisa amesema kuna umuhimu wa kutathmini Katiba na sheria zilizopo ili kuweka mazingira yatakayowezesha kufanyika kwa uchaguzi huru, wa haki na salama. “Tukisema Katiba ya sasa, sheria ya sasa haiwezi kuleta uchaguzi wa haki, huru na salama, huo ni ukweli,” amesema. Aidha, amesisitiza umuhimu wa jamii kusimamia ukweli na kukataa upotoshaji, akieleza kuwa ukweli haupotezi uhalisia wake kwa sababu tu unapotoshwa. Misa hiyo imefanyika Oktoba 29, 2026, ikiwa ni mwaka mmoja tangu Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, katika kipindi ambacho Kanisa Katoliki limeweka mkazo katika maombi kwa taifa, waathirika wa matukio hayo na familia zilizopoteza wapendwa wao.
1
42
171
2,436
Met someone today who inspired me during my childhood. Legend Andriy Shevchenko.
10
12
1
403
7,725
MOYO WA DOLPHIN🐬 retweeted
Kamwe usikate Tumaini lako kutoka kwa Mwenyezi Mungu haijalishi unapitia nini, haijalishi unahisi Maumivu kiasi gani, haijalishi unaumia kiasi gani, Mwenyezi Mungu ana Uwezo wa kukupa unachotaka, Mwenyezi Mungu ana Uwezo wa kutimiza Ndoto zako, Mwenyezi Mungu hatakuacha kamwe.
6
36
1,344
MOYO WA DOLPHIN🐬 retweeted
Huna mchongo ushapambana vya kutosha ghafla simu inalia kutoka jiji la lawama Dar es Salaam. Wanakwambia kuna mchongo watakulipa laki nne kila mwezi. Vipi upo tayari kuuchukua huo mchongo, Kuwa honest usipindishe maneno😁🫵
34
32
252
12,720
MOYO WA DOLPHIN🐬 retweeted
Pamoja na changamoto za hapa na pale. Wachina ni moja ya jamii bora sana, Kwanza watakufundisha kazi kama hujui , Ukionesha interest na utamaduni wao wanafurahi balaa watakufundisha. Wanachukia uvivu kuliko kitu chochote kile, watakupigisha kazi kweli kweli. Ila ni nadra sana mchina kukudhurumu jasho lako maana ni waoga sana na mambo ya mahakamani na polisi😁🙌
18
19
233
13,274
MOYO WA DOLPHIN🐬 retweeted
Mafanikio hukua katika maeneo ambayo visingizio huacha. Kila wakati unapochagua nidhamu badala ya starehe, unawekeza katika mustakabali ambao watu wengi huzungumzia tu. Endelea kufanya uchaguzi huo.
1
7
18
581
MOYO WA DOLPHIN🐬 retweeted
Mungu baba zitunze figo zetu tafadhali, Naambiwa hamna hamna huduma ya kusafisha figo ni kuanzia 300k na inatakiwa kuanzia mara mbili kwa mwezi💔 Sasa kwa hivi vipato vyetu vya papatu papatu tutaweza kweli kutoboa🤲
29
18
3
174
7,458
MOYO WA DOLPHIN🐬 retweeted
‼️🚨MAASKARI POSHO YENU YA 7/7 POKEENI MKOSE MISHAHARA‼️ Hawa maaskari wamekosa akili aisee Utafikiri nao hawajafiwa #MO29 Ila nime confirm HAKUNA RISASI KUFYATULIWA leo! So ni kutisha tisha tu mtaani Billions of loss! Mnajifunga own goal! #77Tunatoka #SamiaMustGo
13
60
2
309
36,733
MOYO WA DOLPHIN🐬 retweeted
Yanga wakiwapa simba furaha kidogo ili wasahaau kumfukuza Mangungu na genge lake mwakani waendelee kuwashaona. 😂
6
15
31
903
MOYO WA DOLPHIN🐬 retweeted
Mnasema biashara kati ya Tanzania na Urusi imefikia dola milioni 307.5 (takriban TSh bilioni 830) kwa mwaka. Lakini hamsemi kama urusi ananunua bidhaa za Tanzania zenye thamani ya karibu dola milioni 18 (TSh bilioni 49) Wakati Tanzania tunanunua bidhaa kama ngano etc kutoka Urusi zenye thamani ya zaidi ya dola milioni 290 (TSh bilioni 781) nani ananufaika zaidi na biashara hii kati ya Tanzania na Urusi? Alafu katika mazingira ya sasa ya geopolitics Urusi imekumbwa na vikwazo vya kimataifa inakuwaje tunataka awe mshirika wetu mkubwa kwenye uwekezaji na maendeleo?
RAIS SAMIA KUFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI URUSI.
29
41
6
238
28,800
MOYO WA DOLPHIN🐬 retweeted
Puuzeni huu uzushi. Mimi ni mzima wa afya.Naendelea kukemea Serikali, mapepo na washirika wao bila woga wala kupumzika. Zaburi 118:17. “ Sitakufa bali nitaishi, nami nitayasimulia matendo ya BWANA.”
60
180
1
1,614
43,759
Kuna uhusiano gani kati ya wachezaji wa kibongo na utom boy?🤷
Baadhi ya nyota wa twiga stars wakiripoti kambini kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Malawi
1
1
68
MOYO WA DOLPHIN🐬 retweeted
Kuoa mwanamke asiye na kazi ambaye anakuheshimu ni bora kuliko, kuoa mwanamke aliyefanikiwa ambaye hakuheshimu. Wanaume huwa hawajali kuhusu pesa zako, wasifu wako au nafasi yako: Wanaume huwa wanajali uaminifu, heshima na upendo.
6
29
493
MOYO WA DOLPHIN🐬 retweeted
Kuna wale Mwana ambao hawatujui tulipotoka wala background yetu lakini tupo nao kila hatua iwe HUDHUNI iwe FARAJA MUNGU awape maisha marefu sana yenye BARAKA
3
5
11
228
MOYO WA DOLPHIN🐬 retweeted
Ufundi cm ni kazi inachukuliwa poa ila hela iliyopo kule ata daktari bingwa wa mifupa Moi hapati hio hela Kuna jamaa angu nilisoma nae sasa hivi ni fundi cm kwa siku anafunga hesabu si chini ya 400K
45
15
12
419
37,910
MOYO WA DOLPHIN🐬 retweeted
_2024: Kwenye hiki kikao Leonardo alisema yeye amewaacha wachekeshaji wenzake wanunue magari yeye ananunua idea, Apo alipanga nyumba nzima kwaajili ya production ya yeye na timu yake japokuwa kwa akili za trend za kipindi kile alitoka kushinda 30M ilibidi anunue Subaru🙌_ Mimi nilikua nacheka Cheka tu ila nilichukua point kuwa, Hakikisha safari uliyoianzisha umeipigia hesabu sio unafata Mkumbo, Maana makosa ya utuuzima ni ngumu sana kuyafuta. Mwisho tubakize akiba ya maneno kwenye safari ya maisha ya watu maisha yanabadilikabadilika✊
6
14
1
339
40,870