Heis_ retweeted
Ukienda Bandari ya Dar utakuta meli imekaa hata wiki inasubiri foleni ianze ishushe cargos wakati huo huo ukienda Bandari ya Tanga utakuta gati ipo empty na hapo wana hata mwezi hawajapokea meli kubwa yoyote.
Kwann hatuboreshi hizi bandari zikasaidiana na main port ya Dar..?
Heis_ retweeted
๐จNina miongo kadhaa nachambua soka,
Katika uzoefu wangu wa muda wote huo sijawahi kuona timu yoyote iwe ulaya au amerika ya kusin inakua bingwa wa ligi halafu kombe inalipeleka HOSPITALINI kusabahi majeruhi๐ฎ
Heis_ retweeted
MOIS ni moja ya mashirika yenye ushawishi mkubwa Mashariki ya Kati. Kazi zake ni kuvunja mitandao ya ujasusi wa kigeni, kukabiliana na makundi haram, kufuatilia wapinzani wanaotajwa kutishia usalama wa taifa na kutekeleza operesheni za siri ndani na nje ya Iran
#ElimikaWikiendi
Heis_ retweeted
Hivi wakuu inaonekana chuo cha MAKERERE kilikua balaa zamani eh au kisa Nyerere alisoma hapoโฆ maana Kila mzee anajisifu alisoma Makerere.๐๐๐ค๐ค๐ค๐ค
Heis_ retweeted
Available in our store
Call/what's app 0710 398 946 Karibuni sana Ubungo Msewe
Free delivery ๐ โ at Tanzania
Heis_ retweeted
PAZIA MPYA ZA KUSHONA ๐ฅ
Kitambaa Mita 1 Tsh 15,000/
Set upana wa mita 2 Tsh 85,000/
Set upana wa mita 1.5 Tsh 75,000/
Set ni pazia nzito 2 na nyepesi 1
Urefu cm 280 ukihitaji zaidi unapata
โ๏ธ0693218525
๐ Kkoo Agrey Dar
๐ Tunatuma popote ulipo โ at Tanzania
Heis_ retweeted
Full set 450,000
Kabati 250,000
Kitchen cabinet 200,000
Free delivery ๐
Call/what's app 0710 398 946 Karibuni sana Ubungo Msewe โ at Tanzania
Heis_ retweeted
๐จ TRANSFER CHAMBER : Deal done & sealed Aubin Kramo amejiunga na Singida Black star stars
Official statement will be soon






























