Tanzanite retweeted
Replying to @Tanzaiite
@judiciarytz @bunge_tz @tanpol
Ni majanga kwa Taifa la Tanzania, ni taasisi ambazo zinabariki na Ujangili na Uharamia
Tanzanite retweeted
Tunalaani hukumu ya kifungo cha miaka minne jela dhidi ya kiongozi wa upinzani na mtetezi wa haki za binadamu wa Tanzania, Tundu Lissu!
Lissu, ambaye aliteuliwa na vikundi vya ECR na EPP kwa ajili ya Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Fikra ya mwaka 2026 (2026 Sakharov Prize for Freedom of Thought), aliachiwa huru kwenye shtaka la uhaini lakini akapatikana na hatia ya uchochezi. Kikundi cha ECR kinasisitiza kuwa kuendelea kufungwa kwake hakukubaliki, hata kama hakabiliwi tena na adhabu ya kifo.
Mwenyekiti Mwenza wa ECR @procaccininicola alisema:
"Miaka minne bado ni miaka mingi sana. Tundu Lissu anapaswa kuwa huru. Hakuna mtu anayepaswa kupoteza miaka ya maisha yake kwa sababu tu ya kuwahoji walioko madarakani na kudai uchaguzi wa haki."
Mwenyekiti Mwenza wa ECR @patrykjaki_official alisema:
"Alinusurika kwenye risasi. Alinusurika uhamishoni. Sasa anasalia nyuma ya nondo kwa sababu za kisiasa. Hiyo siyo haki."
Mbunge wa ECR @carlo.fidanza, aliyewasilisha jina la Lissu kwa ajili ya uteuzi huo, alisema:
"Tulimteua Tundu Lissu kwa sababu alikataa kunyamazishwa. Hukumu ya leo inathibitisha kwa mara nyingine tena kwa nini suala lake ni la muhimu. Ulaya inapaswa kuendelea kudai kuachiliwa kwake."
Mbunge wa ECR @kolsrihards, aliyeanzisha uteuzi huo kwa pamoja, alisema:
"Huimariishi demokrasia kwa kuwafunga wapinzani wako. Unaiimarisha kwa kuwaruhusu wazungumze na kuandaa shughuli zao. Tundu Lissu anapaswa kuachiliwa na kuruhusiwa kurejea kwenye maisha ya kisiasa."
Sincere thanks to the @davidmcallister @ecrgroup and @EPP groups for continuing to fight for justice and freedom for Tundu Lissu. Your voice matters immensely to us.🇹🇿
Tanzanite retweeted
Hii ndio mindset serikali haram imewatengenezea vijana wa Tanzania na judgement ya jana.
Na siongelei comment hii tu.
Vijana wananifata DM na WhatsApp wanaomba niwa connect na Kagame au Kabila wa Congo.
This is getting out of hand.
Replying to @MariaSTsehai @mangekimambi
@MariaSTsehai yani @mangekimambi asipumzike kwa sasa sisi vijana wa tz tunataka tuunganishwe na @JKabilaKabange1 na @PaulKagame lazima tudili na ccm walitangaza wana miliki majeshe ss sisi wazalendo hatuna jeshi lazima tudili na majeshi ya ccm
Tanzanite retweeted
‼️TUMFARIJI TUNDU LISSU‼️
Kila anayeweza AFIKE kwenye msiba na aende kwenye mazishi ya Mzee Alute kumwakilishi Lissu
Tuseme kwa pamoja 👉🏽 I AM TUNDU LISSU
“Mimi ni Tundu Lissu”
Kushindwa kumzika mpendwa wako kwa kuzuiwa na mafedhuli inauma sana!
Naongea nikijua uchungu huu! Lissu, Heche na wanachadema walinifariji sana walipoenda kufariji familia yangu na kumzika Baba yangu! Sitasahau upendo huu! (Isipokuwa mnafiki dalali Lema huyu ❌)
Kwa sasa kila anayeweza, kila mtanzania asimame na Lissu na familia yake katika huu msiba!
#FreeTunduLissu
Tanzanite retweeted
Walichemka kuja wazima wazima sasa mama yao kawaumbua
Machawa mnasemaje.. Walicho kisema kilikua cha uongo, maana mlishadadia sana
Mwisho wa siku mmebaki midomo wazi
Hongera @HildaNewton21 @MariaSTsehai ✌️
Tanzanite retweeted
Kwa mnaosubiria video kutoka kwangu leo, msisubiri.
Nimeona nijipe muda, moyo wangu upoe kidogo na maumivu yaliyo rohoni mwangu yastahamilike kidogo la sivyo hakuna la maana nitakaloongea zaidi ya kuwamwagia machozi mwanzo hadi mwisho wa video…..
Tanzanite retweeted
HALAFU NISIKIE POYOYO YOYOTE ANAMFANANISHA DADA YANGU @mangekimambi NA UPUUZI WENU
VIDEO:
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa mabadiliko ya shauri la Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu, kutoka kesi ya uhaini aliyoiita ya kughushi hadi kesi ya uchochezi ni kiashiria cha siku ya ushindi kwa CHADEMA na Watanzania wote.
Heche ameyasema hayo mkoani Dar es Salaam mara baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, kumhukumu Tundu Lissu kutumikia miaka minne jela kwa kosa la uchochezi.
Heche ameongeza kuwa Lissu pamoja na viongozi wengine ni alama tu katika harakati hizo, na kwamba chama hicho kina viongozi wa kutosha kuendelea na mikakati yake bila kuyumbishwa.
Tanzanite retweeted
Katuga amepanga kuishi wapi long term? Maana anachoongea hapa ni kujijengea chuki mbaya sana! Mwambieni hata kama analinda ugali - si hivi! xitter.cf/omari_manyama/status/2…
Tanzanite retweeted
Ndo mpango wake atoe msamaha ili tumpende!
Hajui tunavyomchukia kama Taifa! Hata ambao wako naye wananmchukia sema waoga tu!
Replying to @MariaSTsehai
Alafu usishangae kimama kikiibuka na kusema -ehh eeh namsamehe Lissu ili akamzike kaka yake Alute".
Tanzanite retweeted
Kama nilivyosema - Tundu Lissu hastahili kukaa hata siku moja zaidi jela!
Ndo maana leo wanakimbizana na watu barabarani na kunyanganya simu
Hamtaweza kuwa on full alert miaka 4 eleweni!
Na hamtapata break kimataifa!
Mwachieni Tundu Lissu kama mnataka nchi utulilie!
Otherwise #NoJusticeNoPeace ✊🏽
Tanzanite retweeted
Tuliwaambia wamepanga kumfunga miaka mitano!
Mnaona sasa? Machawa muwe mnatuheshimu! Mnapenda kusema tunatoa matango pori - ila mabosi wamefuata script ile ile ya Abduli na mama yake!
We won on all levels! You loose suckers!
Uzuri tulishajua na kujiandaa - you will never know peace!
Mwachieni Lissu! Mnachofanya majaji ni kupiga sarakasi na taulo! ACHENI ❌
#FreeTunduLissu #SamiaMustGo
Tanzanite retweeted
“Sheria inapotaja adhabu ya faini au kifungo, ni lazima kwanza itoe adhabu ya faini. Huu ni msimamo wa kisheria.”
“Mkinipa maximum sentence itakuwa ni ushaidi kuwa mmeelekezwa.” Tundu Lissu
Tanzanite retweeted
Naona majaji wanasoma hukumu la kimama 🙄 wametoka kwenye Uhaini wanasema kosa dogo la Uchochezi!
Mbona mashahidi hawakuja kuongelea uchochezi - focus ilikuwa uhaini!
Samia Suluhu FEARS Tundu Lissu so much - what a coward 🚮
Acquit Tundu Lissu - achaneni na kosa dogo majaji!
#FreeTunduLissu
Tanzanite retweeted
Oya mbona kama imeisha hii?
Mawakili tusanueni
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 496
Upande wa mashtaka walieleza kuwa kauli ya mshtakiwa inatakuwa itazamwe katika muktadha mzima kuwa aliitishia serikali na kuwa mshtakiwa alikuwa na lengo la kuitisha serikali regardless kama serikali ilitishika au la!
Ushahidi wa upande wa utetezi mshtakiwa alisema maneno hayo lazima yapimwe katika muktadha wa kisiasa na lengo kwa kauli hiyo ilikuwa ni kueleza msimamo wa kisiasa wa Chadema na lengo lake halikuwa kuitishia Serikali, mtazamo huu ulingwa mkono na shahidi wa 2,3,4 na 5 kuwa kauli ya No reforms, No election ililenga kueleza ushawishi wa kisiasa.
Upande wa utetezi ulisema neno uasi lazima nilitazamwe katika muktadha wa kisiasa na kauli hiyo haikuwa na lengo la kuitishia Serikali au kuchochea vurugu.
Mshtakiwa alieleza kuwa upande wa mashtaka walipaswa kuthibitisha nia hiyo kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia serikali na sio hisia tu. Mshtakiwa alieleza kuwa upande wa mashtaka walishindwa kuthibitisha
Kwa ushahidi uliotolewa kuna mambo ambayo hayabishaniwi, kwanza Chadema imekuwa inatetea mabadiliko ya kikatiba, na mfumo wa uchaguzi na msimamo wa No reforms, No election, kupitia mkutano huo wa 3/4/2025 mshtakiwa alitoa hayo maneno mbele ya viongozi wenzake, wanachama, watia nia na waandishi wa habari na mkutano huo ulirushwa live.
Upande wa utetezi wamemaintain kuwa kauli hiyo ni ya kisiasa ililenga umma to boycott uchaguzi na sio kuitishia serikali.
Tumeangalia kauli zilizotolewa na mshtakiwa na tumeona kuwa hakuna ushahidi wa moja kwa moja hatujaona kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia Serikali, tumeangalia tafsiri ya shahidi wa 1,2 na 16 tumeona ni assumption haziwezi kuthibitisha kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia Serikali.
Tumeona kwamba ushahidi uliotolewa na mashtaka una fall short kuthibitisha shitaka la uhaini hivyo katika kiini hiki cha pili tunaona ushahidi haujakidhi kuonyesha nia ya uhaini.
Kwa mujibu wa kifungu cha 39(2)(d) kuna vitu vitatu ikiwemo factuai issues, mahakama lazima iangalie ushahidi kujiridhisha na tatu ni ushahidi uoi umetolewa.
Mahakama inaona kwamba tafsiri ya maneno ya Lissu bila tangible evidence tumeongozwa na kanuni kwamba nia (mens rea) ni internal state of mind lazima liambatane na ushahidi wa kimazingira na vitendo vya kufanya uhaini.
Nia ovu siku zote inakuwa inferred kutoka kwa maneno na matendo ya mshtakiwa.
Part 497 itaendelea kwenye post inayofuata.
Naomba Repost yako.

























