
entrepreneurship, politics, citizen'speaker, #katiba-mpya #Tanzaniampya #marriage morals #Katibumwenezi J Ukonga23/2028 #Mbunge wa Bunge la JMTanzania 2030
Tanzania
Joined February 2021
- Tweets8.4K
- Following730
- Followers583
- Likes27.4K
Pinned Tweet
Ebu sema nà Mungu kwa neno la shukrani kwa kukuamsha leo,
Kaa kwa utulivu ktk uwepo, sikiliza hotuba hii
Ukimaliza repost iwafikie wengine.
Na Mungu akubariki sana
#TanzaniaTanzania
#NakupendaKwaMoyoWote
76
Obadiah retweeted
UPDATE:
Mwenyekiti wa Jimbo la Kyela Mhe. Victoria Swebe ameachiliwa Huru na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya muda huu.
Obadiah retweeted
Japo duniani kote maamuzi ya mahakama hujadiliwa na wadau na jamii nzima
Kama hairuhusiwi kujadiliwa basi isingesomwa open court!
Uko wapi uhuru wa kujieleza na kujadili maamuzi ya taasisi za umma.
Tusipojadili sisi watajadili hata bodaboda!
Pole kwa Odemba kwa kupata hasara!
Obadiah retweeted
Tundu Lissu amepewa namba ya mfungwa ambayo ni 623.
Sasa, Ukisoma Luka 6:23 inasema “Furahini siku ile na kuruka-ruka, kwa kuwa, tazama, thawabu yenu ni kubwa mbinguni, maana, baba zao waliwatenda manabii vivyo hivyo.”
Najiuliza hii ni coincidence au Mungu anazungumza nasi?😳
🤖 Made with AI
Obadiah retweeted
TUNDU LISSU ATUZWA NA ULIMWENGU KWA
KUPIGANIA DEMOKRASIA.
Bunge la Ulaya limemtunza Mwenyekiti wa Chama cha
CHADEMA nchini Tanzania Tundu Lissu, tuzo la mwaka huu la
SHAKHAROV.
Lissu ambaye Kwa Sasa anatumikia kifungo cha 4 jela amepewa Tuzo hilo kutokana na juhudi zake za kutetea
Demokrasia na usawa nchini mwake.
Thanks so much the @europeanunions
@Europarl_EN 🙏
Obadiah retweeted
Nimetoka Gereza la Ukonga, kumtembelea Mhe Tundu Antiphas Mghwai Lissu mfungwa mwenye namba 623/2026, yuko salama ameanza maisha mapya.
Mhe lissu ametupatia ridhaa Mawakili wa Chama, chini ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Dr Rugemeleza Nshalla kumwakilisha kwenye rufaa inayokusudiwa kusajiliwa na mambo yote yanayohusiana nayo, kufuatia uamuzi uliotolewa tarehe 6 November 2026 na Mahakama kuu, Masijala ya Dar Es Salaam.
Mhe Lissu amepokea nakala ya taarifa ya kukata Rufaa (Notice of Appeal) ambayo imesajiliwa Mahakamani, pamoja na nakala ya hukumu iliyosomwa November 06, 2026.
Aidha, hatua nyingine za kisheria zinaendelea kwa uratibu wa mawakili wake.
Obadiah retweeted
Sio tu Lissu hakupaswa kuwa gerezani, Lissu hakupaswa kukamatwa kabisa. Sote kwa pamoja tusema LISSU HANA HATIA & hukumu ni ya MCHONGO.
LISSU HANA HATIA, LISSU HANA HATIA, LISSU HANA HATIA.
#FreeTunduLissuNow
Obadiah retweeted
“Today the High Court has confirmed what we have said from day one: the treason charge was a political fabrication. The prosecution failed to prove any intention to intimidate the government.
Instead of ordering my release after 577 days in detention, the court has convicted me of an offence I was never charged with and never given a chance to defend.
This is not justice. This is damage control.
History will record how the court searched for a lesser charge simply to keep me in prison.” Tundu Antipas Lissu
November 6, 2027
—Admin.
Obadiah retweeted
TAL!
Baada ya kukutwa na hatia aliomba kuongea na mawakili wake, tukamzunguka kila mtu akawa anampa mitigation facts,
akasema kwani hamjui wana hukumu?, tukamjibu tunajua!,
akasema nikifanya mitigation itabadili hukumu yao?, tukajibu hapana!
Akasema let me speak my mind!
Obadiah retweeted
SIKU YA AIBU KWA UTAWALA WA SHERIA!
Sisi ni nchi inayofuata mfumo wa Common Law, siyo mfumo wa Civil Law Katika mfumo wetu, Mahakama ni mwamuzi huru na asiyeegemea upande wowote (impartial adjudicator), siyo mpelelezi, siyo mwendesha mashtaka, wala siyo mtunga mashtaka.
Lakini kwa hali ya kushangaza, leo tunakutana na Mahakama inayochukua majukumu yote kwa wakati mmoja: inaandaa shtaka (charge), inafanya uchunguzi, inaendesha mashtaka, inakusanya ushahidi, inabaini kosa, inamkuta mtuhumiwa na hatimaye kumhukumu, bila kumpa nafasi ya kusikilizwa ipasavyo.
Huu siyo utendaji wa Mahakama inayosimamia haki. Huu ni kuvuruga misingi ya haki asilia (Principles of Natural Justice), haki ya kusikilizwa (Right to be Heard) na kanuni ya kutokuwa hakimu katika shauri lako mwenyewe (Nemo Judex in Causa Sua).
Mahakama haiwezi kuwa mlalamikaji, mpelelezi, mwendesha mashtaka na hakimu kwa wakati mmoja.
Hata kama ni kosa dogo lazima liwe cognate offence yaani kosa linaloendana au kuhusiana na kosa analoshtakiwa. Naliwe sehemu ya shitaka na ushahidi utolewe kuhusu hilo na mtuhumiwa ajitetee.
Na pia ni Kanuni za Msingi katika Taifa letu kwamba kunapokuwa na adhabu ya Kigungo na Faini au vyote kwa pamoja ni lazima uanze kwanza na adhabu ya faini akishindwa kinafuata kifungo. HII NI AIBU KUBWA.
Kazi ya Mahakama ni kutenda haki kwa kusikiliza pande zote kwa usawa, siyo kutafuta au kubuni njia za kumtia mtu hatiani.
Tunapofika hapa, tunakuwa hatujadili tena hatima ya mtuhumiwa mmoja tu; tunajadili uhai wa utawala wa sheria katika nchi yetu.
UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI NDIVYO VITALIPONYA TAIFA!
BAK MWABUKUSI
RT @duahamud: Umetufundisha namna bora ya kuishi haki na kweli.Heshima kubwa tunayokupa ni kuiga tabia yako njema na kuwa watu wa haki mpak…
Obadiah retweeted
Kwa Hakika "Haki" ni zaidi ya Risasi, Mtu wa Haki ni Simba wa Nyikani.
Mhe @TunduALissu hana Jeshi, Silaha na hana mabomu, lakini anazingirwa na Vitengo vyote vya usalama, vikiwa na silaha aina zote kwa sababu ya ulimi wake wa Haki.Wasio haki ni Waoga
#FreeTunduLissuNow✌️
Obadiah retweeted
Tanzanian opposition party chair Tundu Lissu has been detained 18+ months solely for peaceful exercise of his rights.
The European Parliament condemned his "arbitrary & politically motivated detention" & called for his immediate, unconditional release.
europarl.europa.eu/doceo/doc…
DANIEL 3:16-19
1. "Mungu aweza kutuokoa" = I'M HOPEFUL FOR TOMORROW. Walikuwa na matumaini makubwa kwamba kesho Mungu atawatoa.
2. "LAKINI KAMA SIVYO" = BUT I'M ALSO PREPARED FOR THE WORST. Wakasema hata kama Mungu asipotuokoa na tukichomeka humo, bado hatutabadilika msimamo.
UJUMBE WA KIROHO
2 Samweli 9:1-7
Ni ujumbe ulijengwa kwenye kisa cha Daudi.
@TunduALissu hawazii sherehe, anawaza juu ya upendo dhidi ya familia na ndugu yake.
Anaonesha kwamba ni wa haki katika msingi wa Upendo.
#WEWENIMSHINDI
Kesho tar. 06/11/2026 ni siku ya hukumu kwako Mh. @TunduALissu
Nachojua nikwamba Mungu anaweza kukupa ukuu na hata mmoja hasiweze kukupora.
Wewe ni mshindi.
Note:-
KISA CHA YUSUPH
1. Biblia. MWANZO:-Sura ya 37 hadi 50
2. Qur'an. SURA YUSUPH:-Sura ya 12
Wewe ni mshindi
26
Obadiah retweeted
Mwezi wa 4 mwaka 2025. Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam.
Bwana Jumanne Muliro aliongea na vyombo vya habari, akaeleza kwamba ana taarifa ya watu kwenda mahakamani Kisutu kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wetu Tundu Lissu na kwamba watu hao wamejipanga kufanya fujo mahakamani na kusababisha mahakama ishindwe kufanya kazi yake.
Tarehe 24/4/2025 wakati wa kesi.
Polisi walizingira Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu, wakakamata watu wengi kwa mamia.
Watu wakapigwa, wakavunjwa miguu, wengine mikono na viungo mbalimbali vya miili yao.
Wengine wakafunguliwa Mbwa wa polisi kama ambavyo makaburu wazungu walifanya dhidi ya Waafrika weusi kule Afrika kusini au Marekani.
Siku hiyo watu wengine wakauwawa.
Watu Kama Boniphace Mwangi na Agatha Atuhaire wa Uganda wakafanyiwa matendo ya kinyama kabisa na kutupwa maporini.
Viongozi wetu kadhaa akiwemo Makamu Zanzibar walitupwa kwenye misitu nje ya Dar baada ya kupigwa na kufanyiwa unyama wote.
Mimi binafsi nilishikiliwa na kujaribu kupelekwa porini,mpaka wasaidizi wangu waliposhikilia usukani wa gari ya polisi na kupata upenyo wa kukimbia kutoa taarifa kuhusu mimi kushikiliwa
Mpaka sasa hakuna polisi hata mmoja alikamatwa na kushitakiwa kwa unyama ule dhidi ya binadamu.
Leo Mwaka mmoja na miezi sita baadae Muliro anatoa kauli kama hiyo hiyo bila uthibitisho wowote wakati wa kwenda kusikiliza hukumu ya kesi ya Mwenyekiti.
Mwenyekiti Lissu ni kiongozi wa Chama ana watu wengi, hakuna mtu anaepanga kufanya fujo yoyote hata kama tunajua uovu wanaopanga kufanya kesho kutwa.
Watu wanataka kuhudhuria na kusikiliza kesi ya kiongozi wao na kiongozi mkubwa wa kisiasa Nchini.. kauli za Muliro ni tishio na mipango ya kutaka kuumiza watu..
Bwana Muliro zama hizi za internet kila unachosema kinabaki na kuna siku watu watauliza na mtatakiwa kutoa majibu.
Acheni kutishia watu walindeni waje wasikilize kesi ya kiongozi wao.
























