Dr. Mianguko (PhD Causa) (@Mpoyoki) header
Dr. Mianguko (PhD Causa) (@Mpoyoki) profile picture

Tuko Majaribuni kwa Shetani

Joined July 2011
Photo by Dr. Mianguko (PhD Causa) (@Mpoyoki)Photo by Dr. Mianguko (PhD Causa) (@Mpoyoki)Photo by Dr. Mianguko (PhD Causa) (@Mpoyoki)Photo by Dr. Mianguko (PhD Causa) (@Mpoyoki)Photo by Dr. Mianguko (PhD Causa) (@Mpoyoki)Photo by Dr. Mianguko (PhD Causa) (@Mpoyoki)Photo by Dr. Mianguko (PhD Causa) (@Mpoyoki)Photo by Dr. Mianguko (PhD Causa) (@Mpoyoki)Photo by Dr. Mianguko (PhD Causa) (@Mpoyoki)Photo by Dr. Mianguko (PhD Causa) (@Mpoyoki)
Dr. Mianguko (PhD Causa) retweeted
26
1
66
5,171
Dr. Mianguko (PhD Causa) retweeted
😡😏
3
15
50
2,083
Dr. Mianguko (PhD Causa) retweeted
Good morning Africa. Listen to some Rumba today.
8
60
199
6,502
Dr. Mianguko (PhD Causa) retweeted
Huyu Mzanzibar amekuja na kasi sana na huyu mwanae Temeke amekwenda kuchukua ardhi kugeuza bandari ICD Sinza amekwenda kama mwekezaji nataka kuchukua Nyumba za watu gizani, sasa kama kuna mwekezaji kwa nini Serikali halamu imemficha huyo mwekeaji ? ameshindwa kuzungumza na wananchi? Tuliwaambia hii tabia mbaya lazima tuipige vita, mliona ni kwa Maasai tu, sasa leo nani alitegemea kwamba hawa wahuni watapora Sinza na Temeke kwa mgongo wa uwekezaji ? wamechukua mpaka eneo la Jeshi mgulani MaCCM yanafikiria bado CCM ipo kwa ushenzi kama huu ? nani anaweza penda chama kinapelekea wananchi moto namna hii Kariakoo nako kuna majengo yameshachukuliwa
Wamiliki wa nyumba katika Kata ya Sinza, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es salaam, wamesema wanakusudia kwenda Mahakamani kupinga rasimu ya Mpango Mpya wa Maendeleo wa Sinza wa mwaka 2026–2046, unaotarajiwa kuanza kutekelezwa ndani ya mwaka huu. Mpango huo, unaosimamiwa kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, unalenga kuliendeleza eneo la Sinza kuwa eneo jumuishi litakalohusisha ujenzi wa majengo ya Biashara na Makazi. Wakizungumza katika mkutano wao uliofanyika Septemba 5, 2026, Wamiliki hao wamesema wamefikia uamuzi huo baada ya kudai kuwapo kwa kasoro katika rasimu ya mpango huo wa miaka 20. Wamedai kuwa utekelezaji wa rasimu hiyo unaweza kuathiri haki zao za umiliki pamoja na stahiki zao endapo watahitajika kuhamishwa ili kupisha utekelezaji wa mpango huo. Mwenyekiti wa Kamati ya Wamiliki wa Nyumba Sinza, Lumuli Mwaipopo, amesema hayo wakati wa kikao cha kuwapa Wamiliki mrejesho na kujadili namna ya kukamilisha taratibu za kufungua kesi mahakamani. #MillardAyoUPDATES
1
9
1
88
23,882
Dr. Mianguko (PhD Causa) retweeted
"Niliona wanasema Nchimbi amenyang’anywa simu zake, yupo kizuizini ikanishangaza kidogo"! Jaji Joseph Sinde Warioba
10
150
5
836
66,309
Dr. Mianguko (PhD Causa) retweeted
Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amefukuzwa uanachama wa chama hicho. Dk Nchimbi amefukuzwa unachama siku moja baada ya kumwandikia barua Rais Samia Suluhu Hassan kumwomba kujiuzulu nafasi ya Makamu wa Rais ambapo ombi hilo lilikubaliwa. Uamuzi wa kufukuzwa uanachama, umetangazwa usiku wa leo Jumatano, Agosti 26, 2026 na Katibu Mkuu wa CCM, Dk Asha Rose- Migiro alipozungumza na waandishi wa habari, ofisi ndogo za chama hicho, Lumumba jijini Dar es Salaam. Ambapo alikuwa akitoa maazimio ya vikao vya kamati kuu na Halmashauri Kuu vilivyokutana jijini Dar es Salaam kuanzia asubuhi hadi usiku wa leo Jumatano. Dk Migiro amesema kulikuwa na ajenda ambazo zilijadiliwa na miongoni ni suala la maadili lililokuwa linamkabili mwanachama wetu Dk Nchimbi na vikao vyote vilijadili
16
2
52
7,218
Dr. Mianguko (PhD Causa) retweeted
#VituVyaPeponi 🙌🏾🙌🏾🔥🔥
503
1,646
223
29,162
1,759,271
Dr. Mianguko (PhD Causa) retweeted
This is how Tanzanian women welcome visitors in their Country..
297
581
86
9,227
384,921
Dr. Mianguko (PhD Causa) retweeted
Uganda yamteua Otunnu kuwania nafasi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa bbc.in/45kHNEq
2
1
16
5,111
Dr. Mianguko (PhD Causa) retweeted
President Xi Jinping held a welcome ceremony for Namibian President Netumbo Nandi-Ndaitwah, who is on a state visit to China.
51
242
32
1,711
265,804
Dr. Mianguko (PhD Causa) retweeted
Tutatoka nchi lazima ikombolewe
17
54
3
332
24,902
Dr. Mianguko (PhD Causa) retweeted
6
32
1
139
11,972
Dr. Mianguko (PhD Causa) retweeted
bunu çözersen, IQ seviyen ortalamanın üstündedir. çözebilir misin?
4,482
49
157
888
1,240,517
Dr. Mianguko (PhD Causa) retweeted
Unahitaji kuwa na njaa kiasi gani ili uweze kuchukua kandarasi ya kutetea ushetani kama huu??🤔🤔 Yani mtu anaingia kwenye banda la mpira, anaagiza vijana 30+ kulala chini, kisha anapiga risasi na kuwaua wote cold blooded, na bado unamtetea?🤔 Ni njaa gani hii??
4
48
1
80
1,478
Dr. Mianguko (PhD Causa) retweeted
Replying to @MariaSTsehai
Hello @SFRCdems @SenTedCruz @SenatorShaheen @realDonaldTrump @POTUS @EUCouncil @EU_Commission We need immediately international action for this dictator #samia and her parliament
2
2
510
Dr. Mianguko (PhD Causa) retweeted
Hawa ndio wabunge wa watu sasa na wabunge wanaotegemea kura za wananchi. Repost 200
31
471
7
1,792
25,301
Dr. Mianguko (PhD Causa) retweeted
Free TUNDU LISSU Now.
37
408
7
1,697
22,735
Dr. Mianguko (PhD Causa) retweeted
Mkiwateka na kuwauwa wakosoaji wa ndani; nje Mungu atainua mawe kutusemea. Jaji IBRAHIM Juma wa tume ya CHANDE alituambia video ni za Gaza. Hawa wabobevu wa utaalam na wenye satellite za kuwezesha kuona vilivyofichoka watatuanika. Niliwaambia narudia tena mnatakiwa KUCHUTAMA.
8
125
2
486
14,927
Dr. Mianguko (PhD Causa) retweeted
ICC is now requiring.....
1
22
Dr. Mianguko (PhD Causa) retweeted
Hao ni Majagi sio majaji wakili msomi wafundishe Sheria hao mapimbi kila siku wanatoa hukumu zenye utata wananyima HAKI wanyonge kwa maslahi ya Wenye pesa. @PMadeleka @AdvMatata @Advocate_Jebra @awamisammy
Wakili Msomi, Peter Madeleka, akizungumza na waandishi wa habari Aprili 27, 2026, ameeleza kuwa taarifa iliyotolewa na Jaji Mstaafu Mohamed Chande Othman kuhusu uchunguzi wa miili ya watu 219 kati ya 518 waliopoteza maisha wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 haikufuata taratibu za kisheria. Kwa mujibu wa Madeleka, Jaji Chande alisema Tume ilimuamuru Daktari Bingwa wa uchunguzi wa maiti kuchunguza chanzo cha vifo hivyo. Hata hivyo, Wakili Madeleka amebainisha kuwa Tume haina mamlaka ya kutoa agizo hilo kwa mujibu wa Sheria ya Uchunguzi wa Vifo Vyenye Mashaka, Sura ya 24 ya Sheria za Tanzania. Kifungu cha 10 (1) cha sheria hiyo kinatamka wazi kuwa mamlaka ya kuamuru uchunguzi wa vifo vyenye mashaka ni ya korona pekee, na uchunguzi huo hufanyika katika coroner court (Mahakama ya Uchunguzi). Aidha, amesisitiza kuwa taarifa ya kudai miili 219 ilifanyiwa uchunguzi na mtaalam wa maiti si Sahihi, kwa kuwa chombo pekee chenye mamlaka ya kufanya hivyo ni coroner court. Hivyo, utaratibu uliofuatwa na Tume ulizaa taarifa isiyo sahihi na kinyume cha sheria.
1
57