manyuel retweeted
Ukitaka kwenda nao sawa
Tafuta pesa. Ukiwa nazo watakusikiliza watakupa nafasi ya kuongea na makofi watakupigia.
Good morning God's people π«π€
manyuel retweeted
Replying to @Manyuel76
Anza siku yako na harufu nzuri,usikubali kunukia changamoto.
β«οΈKaribu sana arusha,morombo stand bar mpya utanikuta nikupe perfume yako pendwa
Galcier Bold by maison Alhambraπ₯
55,000/=
#niukiakistaarabuπΉ
manyuel retweeted
Kama Boss Wako anafurahia Maendeleo yako Kutokana Na Mshahara Anaokulipa Bas Huyo Sio Tu Mwajiri Bali Ni Mzazi. Hakikisha Unafanya Kazi Yake Kwa Uaminifu Mkubwa san...πβοΈ
manyuel retweeted
Hakuna mtu anaye jua siku atakayo pata matatizo, ukipata nasafi ya kumsaidia mtu usisite mana huwenda ujui kesho yako ikoje.
manyuel retweeted
Leo kuna stori hapa wanangu tusome.
Kuna jamaa kanunua vocha ya jero kwa mama mangi akazuga kama anaikwangua hivi alafu akaiweka mfukoni akatoa ile nyingine iliyo kwanguliwa tayari akamwambia mama mangi "mama niliomba vocha ya jero ila wewe umenipa ya buku na nimeshaikwangua..
manyuel retweeted
Unajitahidi Kumpenda Mmoja Na Yeye Anakuonyesha Unatakiwa Uwe Na Wengine Kumi 10 ππππΎπ
manyuel retweeted
18000 tuu Mali Safi β
β₯οΈ
Delivery β
π mpaka mikoani WhatsApp 0753103048π₯π₯π―
manyuel retweeted
hivi wapwa naomba kuuliza kwani tanzania wenye mapenzi yakweli waliishaa au??
make mbona watu hata hawajinyongi jamaniπ₯Ίπ₯Ί


































