Pinned Tweet
🌹Ukienda kununua perfume zingatia mpangilio wa harufu zinazopatikana ndani yake(perfume notes)
▪️Baadhi ya watu wamekuwa wakijiuliza mbona "niliponunua perfume ilikuwa harufu flani ila saivi iko tofauti?"
▪️Majibu yote yapo hapa,shuka na Uzi👇
Smell Point retweeted
Hujui namna ya kuandaa Sato au Sangara vizuri?
Hupendi shombo la Samaki wakiwa wabichi?
Hizi ndio kazi zetu, tupigie tukuandalie.
0762344677
Smell Point retweeted
Dereva wako tayari kabisa.
Popote ulipo, rekwesti tu, bajaji inafika, safari inaanza.🙌🏽
Twende pamoja kusaka mishe, kufika kwa wakati, na kufanya mambo yasonge mbele.
Mishe hazikwami ukiwa na usafiri sahihi!
@twenderide
Smell Point retweeted
Yeremia 29:11
“Maana nayajua mawazo ninayowawazia… mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.”
Smell Point retweeted
Kuna nyakati:
•Unafanya kila kitu “right”
•Unafuata mfumo sahihi
•Unajituma kwa nguvu
Lakini bado hakuna matokeo.
👉 Hapo ndipo unahitaji zaidi ya juhudi, unahitaji mwelekeo sahihi (divine direction).
Na utaupata kwa NENO LA MUNGU.
Soma Luka 5:5-11
Good Morning Good people 🙏🏼
Smell Point retweeted
Zaburi 23:4
“Nijapopita katika bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa mabaya; kwa maana wewe upo pamoja nami; fimbo yako na gongo lako vinanifariji.”
Smell Point retweeted
Wakuu, kwa Mahitaji wa samaki Fresh waliondaliwa kwa usafi, wakagandishwa vizuri, na kukufikia salama, tucheki 0762344677
Smell Point retweeted
Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍
👉Bei 27,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0714336827
👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA

























