manyuel (@Manyuel76) header
manyuel (@Manyuel76) profile picture
Joined March 2022
Photo by manyuel (@Manyuel76)Photo by manyuel (@Manyuel76)Photo by manyuel (@Manyuel76)Photo by manyuel (@Manyuel76)Photo by manyuel (@Manyuel76)Photo by manyuel (@Manyuel76)Photo by manyuel (@Manyuel76)Photo by manyuel (@Manyuel76)Photo by manyuel (@Manyuel76)Photo by manyuel (@Manyuel76)
Always pray
1
23
25
5,525
Naomba Mshow #Love kwa RepostπŸ™πŸ˜ Jezi ya sasa 27000/= Jez za Zaman (Vintage) 35,000/= 0714336827 #MIKOA YOTE TUNATUMA
30
204
6
232
18,802
Ukitaka kwenda nao sawa Tafuta pesa. Ukiwa nazo watakusikiliza watakupa nafasi ya kuongea na makofi watakupigia. Good morning God's people πŸ’«πŸ€
28
35
138
29,855
Replying to @Manyuel76
Anza siku yako na harufu nzuri,usikubali kunukia changamoto. ▫️Karibu sana arusha,morombo stand bar mpya utanikuta nikupe perfume yako pendwa Galcier Bold by maison AlhambraπŸ’₯ 55,000/= #niukiakistaarabu🌹
1
1
3
2,972
Kama Boss Wako anafurahia Maendeleo yako Kutokana Na Mshahara Anaokulipa Bas Huyo Sio Tu Mwajiri Bali Ni Mzazi. Hakikisha Unafanya Kazi Yake Kwa Uaminifu Mkubwa san...πŸ“ŒβœŒοΈ
38
87
396
16,046
Hakuna mtu anaye jua siku atakayo pata matatizo, ukipata nasafi ya kumsaidia mtu usisite mana huwenda ujui kesho yako ikoje.
12
13
16
3,305
HII NDO HABARI YA MJINI KWA SASA!. Wezesha laini yako ya #Vodacom kuwa ya SME ili kupata vifurushi vya GB peke yake au kifurushi chenye GB, DAKIKA+ SMS za kutosha kwa gharama nafuu ili uweze kuendelea kuperuzi #BILA kuhofia kuishiwa na bando WhatsApp au Piga Simu ☎️: 0743303484
12
15
12
2,739
Leo kuna stori hapa wanangu tusome. Kuna jamaa kanunua vocha ya jero kwa mama mangi akazuga kama anaikwangua hivi alafu akaiweka mfukoni akatoa ile nyingine iliyo kwanguliwa tayari akamwambia mama mangi "mama niliomba vocha ya jero ila wewe umenipa ya buku na nimeshaikwangua..
18
19
109
6,327
Unajitahidi Kumpenda Mmoja Na Yeye Anakuonyesha Unatakiwa Uwe Na Wengine Kumi 10 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎπŸ’”
32
47
289
9,647
Hapa Onyesha Pesa Upewe Ngazi.,Hakuna Kukopa......πŸ˜‚
22
16
26
1,958
18000 tuu Mali Safi βœ…β™₯️ Delivery βœ…πŸšš mpaka mikoani WhatsApp 0753103048πŸ”₯πŸ”₯πŸ’―
17
25
23
1,931
waamini sana watu ila usiwaambie siri zako πŸ”©
15
12
17
1,376
Sito kuwa na haraka sana mwaka huu.😁
16
17
25
1,452
hivi wapwa naomba kuuliza kwani tanzania wenye mapenzi yakweli waliishaa au?? make mbona watu hata hawajinyongi jamaniπŸ₯ΊπŸ₯Ί
20
14
39
2,123