Todoshi (@ManBuffa) header
Todoshi (@ManBuffa) profile picture

We did not come to fear the future. We came here to SHAPE it.

Tanzania
Joined October 2011
Photo by Todoshi (@ManBuffa)Photo by Todoshi (@ManBuffa)Photo by Todoshi (@ManBuffa)Photo by Todoshi (@ManBuffa)Photo by Todoshi (@ManBuffa)Photo by Todoshi (@ManBuffa)Photo by Todoshi (@ManBuffa)Photo by Todoshi (@ManBuffa)Photo by Todoshi (@ManBuffa)Photo by Todoshi (@ManBuffa)
Todoshi retweeted
2026 Blessings ⚽️🪽 (Double chance) 209k odds (Today only) 55 wins 125 million Retweet and drop id sharp
16
30
91
12,552
Uzalendo haununuliwi kwa Grant ya Ford Foundation. Ukiona mwanaharakati anatamani nchi iingie kwenye machafuko ili yeye apate Relevant Score kwa wanaomlipa, Huyo naye ni adui wa taifa kama maadui wengine tu. Tanzania ni yetu sote, siyo shamba la majaribio ya uzandiki wenu.
22
13
4
87
15,430
Lamatta hapa anaweza akaanza na @Twaha_Mwaipaya atanishukuru baadae sio kwa kipaji hiki cha uigizaji
Director na waigizaji wake wakiwa kazini.
1
1
149
Tumeshawajua walio nyuma ya Fujo zinazotokea huko Loliondo ni wanaharakati kutoka hapa Tanzania wakidhaminiwa na makapuni makubwa toka nje, cha kushangaza zaidi ni Watanzania kabisa ila hawana uzalendo lakini roho zao zimekawa na tamaa ya pesa kama Yuda eskarioti.
3
6
8
😷😷😷😷😷😷😷😷😷
5
5
32
Tanzania is an undisputed world travel destination in a way that, wildlife habitats, nature and it's people are for REAL therapeutic. #SisiTumekubali #TanzaniaSalamaNaSamia
3
7
Tupate calendar ya February wanazengo
2
4
6
Nchi ngumu Sana hii🙏🙏 Kuna mtu kasahau chama chai kimeacha shughuli zot za chama na kimehamia mahakamani as if chama ndo kimeshtakiwa, lakini anaumia na kuchukia chama kingine kusherehekea siku ya kuzaliwa Rais na m/kit wao🤔🤔🤔🤔🤔🤔 KWANI WAMEROGWA AU CHUKI NA ROHO MBAYA?
unavailable
3
3
4
“Niliajiriwa nikiwa mdogo sana mwaka 1977 nikiwa na wa miaka 17 hivi na nakumbuka nilipokwenda kwenye ajira mara ya kwanza wakasema nenda nyumbani, hapa tutafanya child labor kwa hiyo rudi nyumbani, nikakaa nyumbani miezi sita halafu ndio wakaniita tena” @SuluhuSamia
1
2
Nafikiri mmemsikia vizuri Naibu Spika @TuliaAckson kwamba Mamlaka ya Rais (Executive) ni makubwa hayafanani na Mamlaka ya mihimili mengine, na kwamba amemhakikishia Rais @SuluhuSamia Bunge litaendelea kumpa ushirikiano wa kutosha. NASIMAMA NA MAMA!!
24
4
1
40
Replying to @rollymsouth
📌TANZANITE BRIDGE. TUPO VIZURI +255🇹🇿 @Hakingowi @SisiTumekubali #SisiTumekubali
2
3
"Jambo la pili nikuleta nidhamu ndani ya serikali, nilihakikisha naleta Nidhamu katika utendaji wa taasisi za serikali pia nilishirikiana na sekta binafsi kuhakikisha nidhamu inarudi na wananchi wanapata huduma inayosihili na kwa wakati" - Rais @DrHmwinyi
1
1
4
📌MICHONGO YA MWINYI ZANZINZIBAR @DrHmwinyi @ikuluzanzibar @Hakingowi
1
6
10
Naipongeza ATCL kwa kupanua huduma za safari za ndege zake ndani na nje ya nchi ikiwemo kurejesha safari za Dar es Salaam - Nairobi, Kenya zitakazoanza Novemba 26, 2021. Ni matarajio yangu kuwa tutaendelea kuiunga mkono ATCL ili ikue zaidi na kutimiza matarajio ya Watanzania.
1,332
273
43
2,938
Chama changu @ChademaTz huu ushahidi unazidi kuwa mzigo kwa kiongozi wetu. Tuwe makini Leo mapingamizi yote tametupiliwa mbali. Hii ni aibu Mawakili wanalipwa kwa kazi ipi Tunaonekana kusogeza mbele muda wa hukumu bila sababu za msingi. Naondoka mahakamani nimechefukwa🚮
1
3
1
5
Replying to @ManBuffa
Acha kazi iendelee
1
1
1