Todoshi (@ManBuffa) header
Todoshi (@ManBuffa) profile picture

We did not come to fear the future. We came here to SHAPE it.

Tanzania
Joined October 2011
Photo by Todoshi (@ManBuffa)Photo by Todoshi (@ManBuffa)Photo by Todoshi (@ManBuffa)Photo by Todoshi (@ManBuffa)Photo by Todoshi (@ManBuffa)Photo by Todoshi (@ManBuffa)Photo by Todoshi (@ManBuffa)Photo by Todoshi (@ManBuffa)Photo by Todoshi (@ManBuffa)Photo by Todoshi (@ManBuffa)
Todoshi retweeted
2026 Blessings ⚽️🪽 (Double chance) 209k odds (Today only) 55 wins 125 million Retweet and drop id sharp
16
30
91
12,552
Uzalendo haununuliwi kwa Grant ya Ford Foundation. Ukiona mwanaharakati anatamani nchi iingie kwenye machafuko ili yeye apate Relevant Score kwa wanaomlipa, Huyo naye ni adui wa taifa kama maadui wengine tu. Tanzania ni yetu sote, siyo shamba la majaribio ya uzandiki wenu.
22
13
4
87
15,430
Lamatta hapa anaweza akaanza na @Twaha_Mwaipaya atanishukuru baadae sio kwa kipaji hiki cha uigizaji
Director na waigizaji wake wakiwa kazini.
1
1
149
Tumeshawajua walio nyuma ya Fujo zinazotokea huko Loliondo ni wanaharakati kutoka hapa Tanzania wakidhaminiwa na makapuni makubwa toka nje, cha kushangaza zaidi ni Watanzania kabisa ila hawana uzalendo lakini roho zao zimekawa na tamaa ya pesa kama Yuda eskarioti.
3
6
8
😷😷😷😷😷😷😷😷😷
5
5
32
Tanzania is an undisputed world travel destination in a way that, wildlife habitats, nature and it's people are for REAL therapeutic. #SisiTumekubali #TanzaniaSalamaNaSamia
3
7
Tupate calendar ya February wanazengo
2
4
6
MAHAKAMA KUU IMETUPILIA MBALI SHAURI LA KIKATIBA LILILOFUNGULIWA NA JAMES MBATIA KUPINGA UTARATIBU WA KUJIUZULU KWA NDUGAI KATIKA NAFASI YA SPIKA. UAMUZI WA MAHAKAMA UMETOKANA NA KUJIRIDHISHA NA USHAHIDI ULIOTOLEWA UPANDE WA WALALAMIKIWA KUWA IBARA YA 149(1)(C) YA KATIBA YA JMT
1
ILIZINGATIWA IPASAVYO NA JOB NDUGAI ALIPOAMUA KUJIUZULU. MAHAKAMA IMESISITIZA KUWA SHARTI LA KUWASILISHA TAARIFA KWENYE BUNGE LILIZINGATIWA IPASAVYO NA KWAMBA KATIBU WA BUNGE NI MAMLAKA HALALI (COMPETENT AUTHORITY) YA KUPOKEA TAARIFA ZA BUNGE.
Nchi ngumu Sana hii🙏🙏 Kuna mtu kasahau chama chai kimeacha shughuli zot za chama na kimehamia mahakamani as if chama ndo kimeshtakiwa, lakini anaumia na kuchukia chama kingine kusherehekea siku ya kuzaliwa Rais na m/kit wao🤔🤔🤔🤔🤔🤔 KWANI WAMEROGWA AU CHUKI NA ROHO MBAYA?
unavailable
3
3
4
“Niliajiriwa nikiwa mdogo sana mwaka 1977 nikiwa na wa miaka 17 hivi na nakumbuka nilipokwenda kwenye ajira mara ya kwanza wakasema nenda nyumbani, hapa tutafanya child labor kwa hiyo rudi nyumbani, nikakaa nyumbani miezi sita halafu ndio wakaniita tena” @SuluhuSamia
1
2
Chief mkuu wa Chagaland ashatoa tamko. Me nadhan wacha jambo liendelee tu
1
4
Last visist to my profile in the last 24h @MACHINGAAA @thinkbig2025 @Hb_cbe_2020 @Hb_cbe_2020 @Hb_cbe_2020 @Mgossi Who visits your profile? 👫 Click here: askforme.me/usa/
Tuwekeze Nyumban. Itapendeza zaidi
Nafikiri mmemsikia vizuri Naibu Spika @TuliaAckson kwamba Mamlaka ya Rais (Executive) ni makubwa hayafanani na Mamlaka ya mihimili mengine, na kwamba amemhakikishia Rais @SuluhuSamia Bunge litaendelea kumpa ushirikiano wa kutosha. NASIMAMA NA MAMA!!
24
4
1
40
Replying to @rollymsouth
📌TANZANITE BRIDGE. TUPO VIZURI +255🇹🇿 @Hakingowi @SisiTumekubali #SisiTumekubali
2
3