Symon Goodluck (@GoodluckSymon) header
Symon Goodluck (@GoodluckSymon) profile picture

4rever young

Joined February 2023
Photo by Symon Goodluck (@GoodluckSymon)Photo by Symon Goodluck (@GoodluckSymon)Photo by Symon Goodluck (@GoodluckSymon)Photo by Symon Goodluck (@GoodluckSymon)Photo by Symon Goodluck (@GoodluckSymon)Photo by Symon Goodluck (@GoodluckSymon)Photo by Symon Goodluck (@GoodluckSymon)Photo by Symon Goodluck (@GoodluckSymon)Photo by Symon Goodluck (@GoodluckSymon)Photo by Symon Goodluck (@GoodluckSymon)
SINEMA INAENDELEA : Mwanaharakati Maria Sarungi, Hilda Newtown na Twaha, walivyokutwa kwenye kikao cha siri huko Nairobi cha kutengeneza sinema ya kupotea kwa kijana msaidizi wa Tundu Lissu ambaye hafahamiki hata na familia ya Tundu Lissu. CHADEMA wala waje na kitu kingine ila hili la kujiteka, ni sinema kama sinema nyingine na Watanzania washazishtukia.
9
14
4
15
1,846
Symon Goodluck retweeted
Huyu jamaa mlinzi @daviddjumbe alivyoona boss wake @TunduALissu hatoboi na kesi ya uhaini akaamua akimbie zake Kenya kama watesi wenzake wakina Maria na Hilda waliopewa ufadhili na kulipwa dola 700 kwa mwezi kuleta machafuko nchini
4
5
5
783
Huyu dada yukogo smart sana kwenye masuala ya uchambuzi wa siasa πŸ”₯πŸ”₯ Anaongea fact tupuπŸ”₯πŸ”₯
40
27
1
92
8,505
Tuilinde Nchi yetu Vijana
1
1
211
Vile tutakavyoenda makanisani Jumapili hii
113
Kaka mkubwa mbona wadudu tena....Kusini hatujazoea haya
1
107
Klabu ya Simba imekamilisha uhamisho wa beki wa kati Rushine De Reuck. Rushine De Reuck, amewahi kukipiga katika klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Simba inavyomkimbiza mwizi kimya kimya, mimi sio mtabiri lakini ninachojua ni mwizi anaweza kukimbilia Kituo cha Polisi.
87
Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anawatakia Watanzania wote Heri ya Sikukuu ya Sabasaba.
78
Ujumbe muhimu sana upo hapa
1
1
104
CHAUMA πŸ’ͺ Hiki sasa ndo Chama Kikuu cha upinzani nchini kikifuatiwa na ACTπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ – at Tanzania
80
24
10
196
22,919
Ujumbe umefika, Wafinywe hao fibaraka hadi waelese pesa sa nauli sa kusunguka wanatoa wapi.
1
3
5
245
Karibu Tanzania Mhe. NETUMBO NANDI-NDAITWAH Rais wa Jamhuri ya Namibia.
1
2
8
473
Bila shaka Ujembe umewafikia na tayari wanao. MADAME PRESIDENT
1
2
277
Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imesema kuanzia Machi 2021 hadi Machi 2025, kiasi cha gesi asilia kilichozalishwa nchini kimefikia futi za ujazo bilioni 301.33, ambapo awali ilikuwa futi za ujazo bilioni 57.16 kwa mwaka. Kiasi hicho ni kutoka Kitalu cha Mnazi Bay ambacho kimezalisha futi za ujazo bilioni 142.35 na futi za ujazo bilioni 158.98 kutoka Kitalu cha Songo Songo.
1
3
3
321
Mshauri wa Rais wa Tanzania wa Masuala ya Afya na Tiba ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa Mohamed Yakub Janabi ametangazwa rasmi kushinda uchaguzi na amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwenye uchaguzi uliofanyika leo May 18,2025 Geneva. Uchaguzi huo umefanyika kuziba nafasi ambayo iliachwa wazi na aliyekuwa Mkurugenzi Mteule wa nafasi hiyo, Dkt. Faustine Ndugulile baada ya kufariki ambapo Prof Janabi alikuwa ni Mgombea pekee kutoka nchi za kusini mwa jangwa la Sahara, huku wenzake wanne wakitokea nchi za Afrika Magharibi akiwemo Dkt. N'da Konan Michel Yao (Ivory Coast), Dkt. DramΓ© Mohammed Lamine (Guinea), Dkt. Boureima Hama Sambo (Niger) na Prof. Mijiyawa Moustafa wa Togo.
2
3
5
540
Unawapoteza wanachama majembe na wenye nguvu za ushawishi kama: 1. Moza Ally 2. Glory Tausi 3. Catherine Ruge 4. Devotha Minja 5. Grace Kihwelu 6. Suzan Kiwangwa Alafu unabakiwa na Maria Sarungi asiye mwanachama na yupo mafichoni Nairobi Kenya. INAFIKIRISHA!
6
4
7
642
Ni matusi kwa Waafrika kumfananisha Tata Madiba (Nelson Mandela) na Kibaka @TunduALissu 1.Mandela hakuficha watoto wa mke nje ya nchi wakati akiwa jela, Lissu ameficha mke na watoto Marekani akisingizia sababu za kiusalama. Wakati wa Mandela, SA ilikuwa hatari zaidi lakini waliamua kubaki nchini. 2. Mandela alitanguliza maridhiano badala ya visasi. Baada ya kutoka gerezani - Mandela hakulipiza kisasi kwa waliomtesa, alihubiri msamaha na umoja wa kitaifa. Lissu mara zote huzungumza kwa lugha kali ya mgawanyiko dhidi ya walioko madarakani. Lissu na chama chake hawazitaki 4R za Rais Samia Suluhu zinazolenga kuleta amani, ustawi wa uchumi na maisha ya watu, wanataka visasi, vita na umwagaji wa damu, tofauti kabisa na alivyo Mandela. 3. Mandela alijenga chama chake (ANC) badala ya kukigawa – Alileta mshikamano ndani ya chama chake katika kipindi kigumu. Lissu amekuwa akihusishwa na migogoro ya ndani ya chama chake (CHADEMA), ikiwemo kutofautiana na viongozi wenzake hadi kupelekea viongozi wengi wa chama hicho kujivua uwanachama. 4. Mandela alikuwa na uaminifu mkubwa kwa wananchi wake - Alirudi nyumbani na kuishi pamoja na raia wake baada ya ukombozi. Lissu ameendelea kuishi ughaibuni kwa muda mrefu hata baada ya kupata nafasi ya kurejea.
13
4
2
8
1,082
Symon Goodluck retweeted
Karibu sana Tanzania
1
70
Lema anapata wapi fedha? Alipokuwa Canada ali default madeni yake Bank hivyo mali zake zikachukuliwa na kupigwa mnada na biashara zake kufilisika. Amerudi Bongo hana fedha wala pakuishi, akapewa hifadhi kwa muda na Mbowe kwenye moja ya nyumba zake Arusha, familia yake hadi leo iko Canada kwa kisingizio cha usalama wao lakini ukweli ni kwamba hana pa kuwaweka. Kwa sasa hana biashara wala kipato anazurura tu na yote hii ni kupata pesa za Tone Tone ambazo ndio wanabangaiza wapate kuishi na kutuma kidogo huko Canada kwa familia. Pesa ambazo zinapatikana kupitia kikoba cha Tone Tone hazitoshi na haziwezi kuendesha chama, ni pesa za kula za viongozi waaandamizi. Na kwakuwa Mwenyekiti yuko ndani muda huu, Lema na Heche wanakula utawala tu na michango ya wanachama.
1
3
7
917
Kama bado kuna mwanachama au kiongozi wa chadema hajastuka hii hali na kuchukua hatua kunusuru basi huyo mwanachama/kiongozi ndie tatizo kwenye chama chetu.... Naendelea kushauri viongozi wa chama taifa wachukue hatua mwenendo huu si sawa! Msilewe kwa kuona mikutano inajaa watu, Watanzania ndivyo walivyo hata Mwamposa huwa anajaza watu, Hata Gwajima huwa anajaza watu, Hata Diamond huwa anajaza watu, Hata simba na yanga huwa zinajaza watu, Chama ni mtandao wa Uongozi. Mtandao ukifa ni vigumu kuwa na chama. Hata leo Lipumba au Mbatia ukiwapa pesa ya mkutano na maandalizi yote watajaza watu hadi wakanyagane. Watanzania sio wachoyo linapokuja suala la mtu anayeisema ccm au anayefanya miujiza ya kiroho au anayewaburudisha kwa muziki au kwa soka! Sekretarieti yote iliyokuwepo kwenye uongozi uliopita imeondoka Chadema isipo kuwa watu wawili tu Mnyika na Pambalu. Viongozi wa Kanda 8 zote za Tanzania Bara wamejiondoa Uongozi Mzima wa Mkoa Kilimanjaro kuanzia matawi, Kata, Majimbo, Wilaya na Mkoa umejiondoa, Uongozi wote wa Mkoa wa Temeke wamejiondoa. Uongozi wa Mkoa Tabora umeondoka. Hatustuki? Bado tunafanya propaganda kwamba hao wanaoondoka kwakuwa wamekosa vyeo ndani ya chama? Tuache uongo na kukomaza mafuvu, kuna tatizo! Hebu tukubaliane na ukweli kuwa sisi ni Chama cha kidemokrasia tumekoseana turudi mezani tuyajenge. Enyi viongozi wangu, nani amewewafanya kuwa na mioyo migumu kama farao? Mimi naona mbele kuna giza!!! Tutafakari!
90