The Diplomat ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@_TheDiplomat) header
The Diplomat ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@_TheDiplomat) profile picture

Charming

Dar es salaam Tanzania
Joined January 2012
Photo by The Diplomat ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@_TheDiplomat)Photo by The Diplomat ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@_TheDiplomat)Photo by The Diplomat ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@_TheDiplomat)Photo by The Diplomat ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@_TheDiplomat)Photo by The Diplomat ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@_TheDiplomat)Photo by The Diplomat ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@_TheDiplomat)Photo by The Diplomat ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@_TheDiplomat)Photo by The Diplomat ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@_TheDiplomat)Photo by The Diplomat ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@_TheDiplomat)Photo by The Diplomat ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@_TheDiplomat)
KILA MTU ANAISHABIKIA CCM KWA STYLE YAKE Kitu muhimu wananchi wanachopaswa kufahamu ni kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi; kelele, mivutano na shutuma zisizo na maana ni sehemu ya maisha. Hakika katika jicho la tatu; jicho la kutulia na kutumia akili nyingi - ni wazi Upizani dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) umezidi kuzikwa. Leo wapizani hawapigi tena kelele za No Reforms No Election, leo wapizani wameungana na kushangilia kelele za Balozi Kada wa CCM Ndugu Humphrey Polepole, anayelia na Chama chake Chama Cha Mapinduzi. Anacholilia yeye mwenyewe ndiye anayejua. Ukimsiliza Ndg. Polepole halili ujenzi wa Taifa hili, haangazii miradi iliyokamilishwa na inayoendelea, haangazii uchumi na uboreshwaji wa miundombinu mbalimbali, hatuambii juu ya elimu bure na mikopo ya elimu ya juu kufika kwa wakati kwa wanafunzi. Ndugu Polepole ameridhika na utendeji kazi wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Jemedari Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ngazi za kitaifa, bila shaka hana kesi ya maendelo bali ana kesi ya yanayoendelea ndani ya chama chake. Watu wa 'Reform' pasipo kujigundua wameingia kwenye mtego na kushangilia pale Ndugu Polepole anapolia kuimarisha siasa za ndani ya CCM, kuimarisha maadili ya CCM na yale yaliyo ndani ya CCM anayoona yanahitaji kurekebishwa. Pasipo kujitambua 'Reform' wanaungana kuijenga CCM; hii ndio nguvu ya CCM. Kelele zote zimekufa za Mahakamani na 'Reform' kelele utakazozisikia sasa ni CCM. Hii pia ukiangalia kwa Ndugu Askofu Gwajima utaiona upepo wa kelele ni wa kichama na si kitaifa. Leo hii wote tunapambana na Katiba ya CCM, hakika Wahenga hawakukosea waliposema CCM BABA LAO, wamefanikiwa KUZIMA ZOTE NA KUWASHA MOSHI WAKIJANI masikio macho harakati zote zinaangazia CHAMA TAWALA WAKIELEKEA OKTOBA KUTIKI โœ…. The Diplomat_Tz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โ€“ at Tanzania
2
6
1
14
5,510
*KILA MTU ANAISHABIKIA* *CCM* *KWA STYLE YAKE* Kitu muhimu wananchi wanachopaswa kufahamu ni kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi; kelele, mivutano na shutuma zisizo na maana ni sehemu ya maisha. Hakika katika jicho la tatu; jicho la kutulia na kutumia akili nyingi - ni wazi Upizani dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) umezidi kuzikwa. Leo wapizani hawapigi tena kelele za No Reforms No Election, leo wapizani wameungana na kushangilia kelele za Balozi Kada wa CCM Ndugu Humphrey Polepole, anayelia na Chama chake Chama Cha Mapinduzi. Anacholilia yeye mwenyewe ndiye anayejua. Ukimsiliza Ndg. Polepole halili ujenzi wa Taifa hili, haangazii miradi iliyokamilishwa na inayoendelea, haangazii uchumi na uboreshwaji wa miundombinu mbalimbali, hatuambii juu ya elimu bure na mikopo ya elimu ya juu kufika kwa wakati kwa wanafunzi. Ndugu Polepole ameridhika na utendeji kazi wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Jemedari Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ngazi za kitaifa, bila shaka hana kesi ya maendelo bali ana kesi ya yanayoendelea ndani ya chama chake. Watu wa 'Reform' pasipo kujigundua wameingia kwenye mtego na kushangilia pale Ndugu Polepole anapolia kuimarisha siasa za ndani ya CCM, kuimarisha maadili ya CCM na yale yaliyo ndani ya CCM anayoona yanahitaji kurekebishwa. Pasipo kujitambua 'Reform' wanaungana kuijenga CCM; hii ndio nguvu ya CCM. Kelele zote zimekufa za Mahakamani na 'Reform' kelele utakazozisikia sasa ni CCM. Hii pia ukiangalia kwa Ndugu Askofu Gwajima utaiona upepo wa kelele ni wa kichama na si kitaifa. Leo hii wote tunapambana na Katiba ya CCM, hakika Wahenga hawakukosea waliposema CCM BABA LAO, wamefanikiwa KUZIMA ZOTE NA KUWASHA MOSHI WAKIJANI masikio macho harakati zote zinaangazia CHAMA TAWALA WAKIELEKEA OKTOBA KUTIKI โœ…. The Diplomat_Tz ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1
2
116
Kila kikwazo na Kizingiti mbele yetu tutavuka, tutavuka kwakua tunaimani, tutavuka kwakua Nia tunayo na kazi inafanyika, kwa mawe na Mishale tutavuka, Tandika Busati mama Wanao tupite Tandika Busati Mama Miradi tumekamilisha kwa Ukubwa, Tandika Busati Mama kila kikwazo mbele kwa KAZI NA UTU TUTASHINDAโœ… TANO TENAโœ… @SuluhuSamia kanyaga Twende
3
7
2
7
3,122
The Diplomat ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Katruni
305
424
32
4,214
485,929
The Diplomat ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
ุฃูŽุนููˆุฐู ุจููƒูŽู„ูู…ูŽุงุชู ุงู„ู„ูŽู‘ู‡ู ุงู„ุชูŽู‘ุงู…ูŽู‘ุงุชู ู…ูู†ู’ ุดูŽุฑูู‘ ู…ูŽุง ุฎูŽู„ูŽู‚
15
17
6
26
2,588
๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿคฒ๐Ÿฝ๐Ÿ“Œ
6
1
4
578