
A peaceful Tanzanian society which respects human rights from a gender perspective. #ZuiaUkatili #WanawakeWanaweza
Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2013
- Tweets11.4K
- Following646
- Followers14.2K
- Likes5K
TUUNGANE KUPINGA UKATILII IKIWEMO MAUAJI DHIDI YA WANAWAKE
#tamwa
Naibu Katibu Mkuu @WizaraYaMaendeleoYaJamii, Wakili Amon Mpanju, amesema mchakato wa kufuta vifungu vya 13na 17 vya Sheria ya Ndoa ya 1971 vinavyoruhusu ndoa za watoto chini ya miaka 18 unaendelea, ili kuendana na Sheria ya Mtoto ya 2009na Katiba ya Tanzania#TokomezaNdoaZaUtotoni
@TAWLA
@WiLDAFTanzania
@UNWomenTanzania
@UNFPATanzania
@UNICEFTanzania
@LHRC
@TanzaniaPoliceForce
@WizaraYaMaendeleoYaJamii @gwajimad
@CSEMA
Leo Dunia inaadhimisha Siku ya Walimu Duniani, walimu ambao wamehusika katika kuondoa vikwazo vya kijinsia, na kufungua milango kwa kila mtoto bila kujali jinsia yake. Maadhimisho ya mwaka huu yanabebwa na kauli mbiu isemayo:Simama na Walimu!
Heri ya Siku ya Walimu Duniani
@CWT
Leo, wadau wa CORI tunaungana na dunia kuadhimisha #IDUAI2026 – Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Taarifa (International Day for Universal Access to Information) Upatikanaji wa taarifa kwa wote ni msingi wa uwazi, uwajibikaji, ushiriki wa wananchi na maendeleo jumuishi.
Leo, tunapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Amani, tunakumbushwa kuwa amani lazima ianze kwa kulinda haki, utu na sauti za wanawake na wasichana. “Wekeza katika Amani kwa Kila Mtu, Kila Mahali, Kila Siku.”
#Amaniyetu #Tamwa
@UN_Women @UNFPATanzania @UNICEFTanzania @AUC_OSEWPS
TAMWA kwa ufadhili wa VIKES (Taasisi ya Maendeleo ya Vyombo vya Habari - Finland) wamewakutanisha washirika wa mradi wa usawa wa Wanawake wanahabari (WIM) kutoka Uganda, Uganda Media Womens' Association(UMWA) na MCT kujadili hali ya usawa wa wanawake wanahabari Afrika.
Tanzania Media Women retweeted
Vyombo vya habari vinapaswa kuwa na sera nzuri zinazowalinda waandishi wanawake dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia ikiwemo rushwa ya ngono, vitisho vinavyoshusha uwezo wao wa kiutendaji.
#WomenInMediaTz
Tanzania Media Women retweeted
Utekelezaji wa sera ya jinsia ndio njia sahihi ya kuleta mabadiliko ya kweli katika mazingira ya kazi.
@TAMWA_
#WomenInMediaTz
#ElimikaWikiendi
Tanzania Media Women retweeted
🎙️ Sauti ya mwanamke ni muhimu sana katika tasnia ya habari
Tunapaswa kuendelea na kuwa na sera za jinsia zinazohakikisha usawa, zinazoondoa ubaguzi na kutengeneza mazingira salama na jumuishi kwa wanawake katika vyombo vya habari.
#WomenInMediaTz @TAMWA_
Tanzania Media Women retweeted
Mifumo imara ya kiserikali na kisekta ni ngao muhimu katika kulinda wanahabari wanawake dhidi ya ukatili wa kijinsia. Inajenga mazingira salama kazini na inatoa msaada wa kisheria na kuvunja ukimya ili kulinda haki na usalama wao wa kiutendaji.
@TAMWA_
#WomenInMediaTz
Tanzania Media Women retweeted
Je unajua pa kuripoti kama umekumbana na ukatili wa kijinsia kazini?
Ni wajibu wetu wanahabari wanawake kujua mifumo ya kiserikali na kisekta ya usaidizi.
#WomenInMediaTz
@TAMWA_
Tanzania Media Women retweeted
Mifumo imara ya kiserikali na kisekta ni ngao muhimu katika kulinda wanahabari wanawake dhidi ya ukatili wa kijinsia. Inajenga mazingira salama kazini na inatoa msaada wa kisheria na kuvunja ukimya ili kulinda haki na usalama wao wa kiutendaji.
@TAMWA_
#WomenInMediaTz
Tanzania Media Women retweeted
Vyombo vya habari vitenge muda wa kukaa na wanahabari kuwaelimisha sera za jinsia ili kuongeza usawa wa kijinsia katika kutekeleza majukumu na kupunguza vitendo vya Ukatili wa Kijinsia.
#WomenInMediaTz
Ubalozi wa Marekani waitembelea TAMWA
Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania(TAMWA), kilipokea ugeni wa Jaclyn Cole, Ofisa wa Masuala ya Umma na Niles Cole, Ofisa Habari na Msemaji wa Ubalozi, kutoka ubalozi wa Marekani. – at Dar es Salaam, Tanzania
Leo dunia inaadhimisha Siku ya Afya ya Uzazi. TAMWA inaikumbusha jamii kutambua kuwa afya ya uzazi ni zaidi ya mwili, ni heshima, usalama na ni uhuru dhidi ya ukatili, udhalilishani na unyanyasaji.
@WHO – at Dar es Salaam, Tanzania
Tanzania Media Women retweeted
Ni muhimu kuwa na sera za ndani za vyombo vya habari zinazosimamia uwiano na usawa wa kijinsia ili kuleta ujumuishi na usawa kwa makundi yote kwenye utekelezaji bora wa vyombo vya habari.
@TAMWA_
#WomenInMediaTz




























