Member of Parliament Morogoro Kusini Mashariki Constituency @diamondplatnumz Manager WCB WASAFI Founder of TIPTOP Connection #GodfatherTale

Dar es Salaam, Tanzania
Joined September 2010
Ndugu yangu @Madeeseneda nimeona umechange mpk Bio yako pale IG... toka kua mwanamziki mpaka Baba & businessman.. nnachoamini mimi unaweza kua vyote hivo na bado ukabaki kua mwanamziki.. so natamani kuona unabakia kwenye kazi iliotulea.. iliotupa kila kitu bila kumkwaza Mungu
8
2
24
3,016
Kwakua jua lipo nyuma yako basi kivuli kisikudanganye ukajiona mkuubwa.
2
19
2,684
Asante Simba SC. Naiona bendera ya Tanzania ileeeeeeeeeeee
2
1
1
16
3,206
Kheri ndio zawadi kubwa isiyopungua uzito wala ujazo katika kipimo cha maisha ya Mwanadamu. Ramadhani Kareem
1
18
1,922
I am going to make this part of my life the most amazing one. God help me. #TheBlackGodfather
1
5
1,675
Kuna mwananchi amekwepa risasi na bunduki kaenda kupigwa na mawe mpaka amekufwaaaaa! 🤣
3
1
15
Good and bad are in every ones heart
2
2
18
Kwenye idadi hii ya watu mimi nimechangia watu wanne. Wewe umechangia wangapi?
54
14
6
681
Salimia wauza mkaaa Gesi inaishaga usiku 😀😀😀
2
1
37
Hivi karibuni tuta sain wasanii wawili kujiunga lebo ya Wasafi ila safari hii tumeamua msanii atakua na mashaidi wawili kutoka COSOTA na BASATA. Music ni biashara yetu na nijukumuletu kukuza na kusimamia hii kazi atuwezi kuacha hata iwe vipi. #theblackgodfather
12
3
3
92
"Lichomozapo jua na linakumulika mgongoni basi kivuli ukionacho mbele yako kisikufanye ukajiona ni mkubwa" #theblackgodfather
1
27
Tutaendelea kumsogeza Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Rais wetu kipenzi karibu yenu kila wakati. Kanga hizi hazitovesha miili yenu pekee, Bali na mioyo yenu iliyojaa shukran na upendo. JAMBO LA MAMA NI JAMBO LETU.
42
5
30
47
If a rose smells better than tomatoes, it doesn't mean the rose can make a better stew. Don't try to compare yourself to others #blackgodfather
2
21
Kuna vitu vinauma ila Man U inaumiza zaidi😭😭😭
7
3
1
53
Kuna tofauti kati ya mzazi mfadhili na mzazi mlezi, Mzazi mfadhali anatoa matumizi tu ila mzazi mlezi hukaa karibu na wanae na hujua kila hatua zao. Tujitahidi kuwa Wazazi walezi ili watoto wetu waweze kuja kutulea uzeeni, nasi tuone matunda yao. #godfathertale
7
1
1
70
Karibu Tanzania Nchi ambayo mtu anavua miwani ili akusikilize vizuri. 😄
4
19
Ndugu Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Ukubwa wa maarifa yako kwenye ujenzi wa Chama na Serikali inatosha kuona namna Mungu alivyotupa Kiongozi atakayetufikisha kwenye mafanikio kwa fahari kubwa. Asante Mama.
2
2
19
Nashukuru sana wote walio husika kwenye mjadala wetu leo tweeter spaces uliojaa afya na tija kwa ajili ya tasnia yetu ya muziki.. Twendeni tukatekeleze yote tuliyo yajadili kwa vitendo zaidi..
6
3
27