#NiYeye (@InnocentJLS) header
#NiYeye (@InnocentJLS) profile picture

Jesus is Able

Kiboroloni, Moshi, Tanzania
Joined October 2019
Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)
Miji sita itakayo kuwa wenyeji wa mechi za AFCON 2027.
2
4
22
680
After REJECTION.... TRUST the REDIRECTION. #BajabirAr6 #BAJABIRLogistics. #AIMade
128
167
34
622
47,808
Sifuna ana ngome mbili, ambayo ni Nairobi County ambapo yeye ni seneta ma Western Kenya kwa kiasi fulani kwa sababu ndio eneo linalotawaliwa na kabila lake la Luhya. Ana jaribu kuikamata Nyanza ambayo ilikua moja ya ngome za Raila Odinga na ODM lakini bado hajaikamata kwa sababu kuna Fred Matiang'i ambae ni "homeboy" wa eneo hilo. Uzuri Nairobi County ina wapiga kura 2,415,310 ambao ni karibia 11% ya wapiga kura wote wa Kenya ma Western Kenya ina changia wapiga kura wengine 2,217,948. Hapo tayari ni karibia wapiga kura 4,000,000 au 20% ya wapiga kura milioni 22.1 wa Kenya. Akifanikiwa kuikamata vizuri Nyanza hizo ni kura 3,120,732 zingine. Sasa tukija kwa Baba Mkwe, yeye ngome zake ni Rift Valley, Mt. Kenya na Northern Kenya. Rift Vally ina wapiga kura 5,349,889, Mt. Kenya ina wapiga kura 4,453,108 na Northern Kenya ina wapiga kura 882,677. Hizo ni kama kura 10,600,000 hivi au takriban 47% ya wapiga kura wa Kenya. Kimahesabu bado Baba Mkwe ana nafasi kubwa ya kurudi pale Kilimani. Mengi yatategemea sana coalition zitakazotengenezwa kwa ajili ya uchaguzi ila Sifuna nae sio nyonge. It will all come down to political coalitions na mobilization eneo ambalo Baba Mkwe yuko vyedi.
Replying to @EsirEid
Sio kweli, sifuna ana watu Wengi vibaya mno kihalali kabisa sifu boy ataongoza Kwa kura ila atakaetangazwa ni baba mkwe😎😂... Ruto wakenya washamkataa kitambo hayuko mioyoni mwao tena ila Hilo halimzuii kasongo kutangazwa kuwa ameshinda #TajiriLaKihaya NI MMOJA TU
19
5
6
37
11,372
#NiYeye retweeted
Jamaa anatema madini matupu aisee, nchi bado ina watu hii, Chukua dakika zako 10 utatoka na kitu!
25
173
5
787
30,686
Kuna kitu kimoja kinaniumiza sana kuhusu Twitter kufungiwa Tanzania. Na nataka kuwaambia kwa nini. Mimi binafsi, Twitter imebadilisha maisha yangu. Vitu vingi nilivyojifunza kuhusu teknolojia, startups, AI na kujenga biashara, nimejifunza kupitia Twitter. Na sio kujifunza tu. Kupitia Twitter nimepata wawekezaji kutoka Marekani ambao wamewekeza kwenye kampuni yetu ya NALA. Nimekutana na watu ambao nimewaajiri. Nimejenga urafiki na mahusiano na watu ambao leo tunafanya nao kazi NALA. Watu ambao pengine nisingekutana nao maishani mwangu! Na mpaka leo, natumia Twitter kujifunza kila siku. Hasa sasa hivi, natumia Grok bot, AI ya Twitter, zaidi na zaidi. Naendelea kujifunza, kuuliza maswali, na ku-connect na watu wenye maarifa kutoka duniani kote. Sasa fikiria kijana wa miaka 20 aliyepo Mwanza, Mbeya au Kigoma. Ana simu. Ana internet. Hana connection za Silicon Valley. Hana pesa ya kwenda vyuo vikubwa duniani. Lakini kupitia Twitter anaweza kujifunza, kukutana na investors, kupata kazi, au hata kupata mtu wa kujenga naye kampuni. Hiyo ndiyo nguvu ya Twitter! Na ndiyo maana nimesikitishwa sana kwamba Twitter imefungiwa Tanzania. Kwa sababu kwangu, Twitter haikuwa tu social media. Ilikuwa darasa langu. Ilikuwa sehemu ya kujenga biashara. Ilikuwa sehemu ya kupata marafiki na connections duniani. Na naamini kuna vijana wengi wa Tanzania ambao wanaweza kupata fursa kama nilizopata mimi. Swali langu kwenu ni hili: Twitter imewahi kukufungulia mlango gani kwenye maisha yako?
157
431
41
1,839
83,977
Kilimanjaro: Dereva wa Jeshi la Polisi, SSGT Hussein Rashid aliwaasa madereva wanafunzi wa jeshi hilo kuwajibika, kuwa na nidhamu, kuzingatia ubinadamu na kutoendeshwa na madaraka waliyonayo wanapokuwa barabarani akitolea mfano uzoefu wake wa kuwaendesha viongozi mbalimbali wa Jeshi la Polisi toka mwaka 1992 bila kupata ajali barabarani. Hussein aliyasema hayo Novemba 17, 2026 katika shule ya Polisi Moshi, kambi ya Kilelepori wakati wa mafunzo ya udereva yanayosimamiwa na VETA kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi. Nini maoni yako? Fuatilia zaidi jamii.app/PolisiHusseinRashi… #JamiiForums #Utawala #Governance #Uwajibikaji
28
72
8
531
58,447
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 MWANAUME ANASAIDIWA KIMYA KIMYA NA KUHESHIMIWA HADHARANI - Kheri James, Mkuu wa Mkoa wa Iringa. #MeaMswahiliUPDATES
2
10
76
4,757
Mbosso 🐐
4
35
438
12,954
TUNDU ANTHIPAS MUGHWAI LISSU🔥
4
22
89
2,326
#NiYeye retweeted
Kaokoe jahazi mwanangu , japo ulitaka kwa tajiri ila nimeona kachelewa
Replying to @EsirEid
@EsirEid siku ya nne leo sijapeleka malengo kwa boss aisee okoa jahazi nisinyang'anywe boda mzee hali ni mbaya... ni 48k tu 🙏 0622126133
49
51
10
354
31,608
Watanzania hii ni golden chance ambayo hatutokaa kuipata tena. Kutakuwa na wageni, hawawezi kujaza mabunduki barabarani, hawawezi kurusha risasi hovyo kuua watu…. Mechi ya kwanza ya AFCON NI SIKU YA MAANDAMANO YA AMANI YA NCHI NZIMA…….
Fursa imeongezeka! Lazima maandamano ya AFCON iwe kubwa kama makao makuu yatakuwa 🇹🇿👊🏽 #NoJusticeNoAFCON
57
252
2
1,472
89,776
Huo mkataba wa kuipa GSM 50% ya umiliki wa uwanja wa Yanga milele, sikubaliani nao kabisa . Mkataba wa milele? Like seriously? Hii ni timu ya wanachama, haiwezi kufanya maamuzi ya aina hiyo bila kuangalia maslahi ya vizazi vijavyo.
28
19
1
202
9,095
#NiYeye retweeted
Angel Wariael, binti aliyejeruhiwa Oktoba 29, afariki dunia Muhimbili Dar es Salaam. Angel Wariael,13,  binti aliyekuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kutokana na kujeruhiwa na risasi kwenye matukio ya Oktoba 29 akiwa nyumbani kwao Manzese amefariki dunia. Hospitali imethibitisha kifo chake leo Novemba 18, 2026, kupitia Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano, Irene Charles Mbonde, pamoja na taarifa kutoka kwa mmoja wa wanafamilia. Katika taarifa  kwa waandishi wa habari, Hospitali ya Taifa Muhimbili, (MNH) imetoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na wote walioguswa na msiba huo, ikiwaombea nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu. Oktoba 31, 2026, The Chanzo, iliripoti taarifa ya Angel na mama yake mzazi kuhitaji msaada ikiwemo wa  matibabu kutokana na hali ya afya yake iliyomsababisha kukatisha masomo. Kufuatia taarifa hiyo, alipatiwa msaada na kuanza matibabu Muhimbili hadi mauti yalipomkuta.
15
55
8
233
5,749
Tarehe 29/10/2025 Binti amepigwa risasi na Samia na kutelekezwa. Amekaa na maumivu yake nyumbani kwa mwaka mzima bila msaada lakini akiwa hai. Tarehe 30/10/2026 @TheChanzo wakatangaza habari zake na kumwombea msaada kwa wadau. Tarehe 31/10/2026 tukaambiwa amepata msaada na amepelekwa hospitali kuu ya taifa @MuhimbiliTaifa yenye kila aina ya wataalam, tena katikati ya jiji la Daresalaam. Tarehe 18/11/2026, wiki mbili baada ya “kupata msaada,” tunaambiwa AMEKUFA. Alikuwa hai mwaka mzima akiwa nyumbani, achilia mbali umaskini wake, lakini ghafla anapoteza maisha baada ya kwenda hospitali. Kuna mambo yanaibua maswali sana. Polisi nako ni hivi hivi. Raia anakuwa hai muda wote halafu akikamatwa tu na kuwekwa sero, kesho mnaambiwa “amefariki ghafla kwa shinikizo la damu.” Maeneo yaliyopaswa kuwa kimbilio la raia ndio yamegeuka kuwa machinjio. Raia kibao waliouawa pia baada ya Oct 29, haswa pale walipoenda kutafuta matibabu ya majeraha yao. Padre Kitima alitueleza wazi namna washenzi wa Samia walivyokuwa wanazunguka mahospitalini kuwinda raia wanaotafuta matibabu.
9
68
2
255
8,146
Ujumbe uwafikie wauwaji wote @Tanzaiite
6
54
1
260
8,272
Sema Sammy Awami naye ana balaa tena zaidi ya Kikeke anajua namna ya kuuliza Maswali kimkakati huku akicheka!! Hii Interview ya TAL Katisha sana 🙌🙌😂
9
23
2
413
15,525
#NiYeye retweeted
PhD inaongea sikiliza.
9
183
2
1,097
20,831
#NiYeye retweeted
Kaka @YerickoNyerereT tuseme ungekuwa ndugu wa Mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali, Polepole, Ben Sanane na wengine wengi unaowafahamu. Hawa vifo vyao vilichochewa na NANI? Ungetaka NANI afungwe au anyongwe? Kwa kuwa nakupenda sana, usijiachie sana kwenye masuala haya.
"Katika Vurugu alizohamasisha Tundu Lissu na Wenzake nilipoteza ndugu wawili, unafikiri Nina Maumivu Kiasi gani?"- Yericko Nyerere aliyewahi kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Kigamboni 2025 Kwa tiketi ya Chaumma.
20
9
2
51
5,944
CHRIST. IS. KING.
78
1,344
33
12,137
127,782