Incharge Pharmacist. retweeted
In relationship, I like bossy and strict women who tell me what to do or say what they think I should,I'm not gonna do shit they say but I like the courage.
Kwa miaka 45 ya utume wake hadi sasa, Padri Mkandara amekuwa sehemu muhimu ya safari ya ukuaji wa Kanisa katika Jimbo la Singida.
Miaka 45 ya utume, alama isiyofutika katika historia ya Kanisa katoliki Singida. 🙏🏽✝️
Padri Mkandara wa Parokia ya Ntuntu, Jimbo Katoliki la Singida, anasema kuwa alipowasili Singida, kulikuwa na mapadri watano pekee.
Leo hii, Jimbo lina mapadri 85, ambapo 65 kati yao walipata malezi na mafunzo kupitia mikono yake (wanafunzi wake).
Incharge Pharmacist. retweeted
Taasisi nyingi zinakufa si kwa kukosa pesa, bali kwa kukosa "Institutional Memory".
Staff akiondoka, anaondoka na kila kitu kichwani mwake. Mchakato, mawasiliano, makosa yaliyowahi kufanyika na majibu yake.
Taasisi ikibaki haina kumbukumbu, kila mfanyakazi mpya anaanza upya.
Incharge Pharmacist. retweeted
Ngoja ni Grade Mchele wa viwango ushuke Dar tupate hela za kuandaa mambo madogomadogo ya shambani @themkulima
Tunahakikisha mpaka X-mass mshakula walau 30tonnes ya chele Toka Usangu😆
Umeshawai kujikuta kwenye situation ambayo wenzako wanabishana jibu la swali la 9 ni 14 wengine wanasema ni -14 ila wewe umepata 560 🤓
16
Incharge Pharmacist. retweeted
Bro To Bro.
Kumbuka kwenye maisha huezi kua na kila kitu, Jitahidi kua na shukrani kwa kidogo ulichonacho.
✊🏾
Incharge Pharmacist. retweeted
When your biological son is a Bishop❤️
Bishop Simon Peter of Uganda in a warm embrace with his mother on the day of his Mass of Thanksgiving after his Episcopal Ordination. – at Vallendar, Deutschland
Incharge Pharmacist. retweeted
"Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako mwenyewe." (Mithali 3:5-6)
























