AgriPreneur | Farmer | Family First | FLY๐Ÿฆ… First Love Yourself ๐Ÿซถ FARMING isnโ€™t a Job. Itโ€™s A LEGACY. There is no Culture like Agriculture Bet on yourself

Madibira Mbarali Mbeya
Joined October 2013
โ€œKila mmoja kwa karama yake, kadri yake na kudra yakeโ€ Muda hamsubiri Mnyongeโœ๐Ÿป
2
18
1
75
Oyaa @iDreamfoto una harakati gani leo? nije huko twende hata Wilayani milimani tukale mafenesi tu๐Ÿ˜†
94
Tuunge tu lingine kwa hiyo 10500 wazee @SelcomPesa Hapa mnatusave sana akina sisi pangu pakavuu๐Ÿ™Œ la week kwa 2500 tulisave 83k tukaja unga la mwezi kwa 10500 tumesave 309kโœ๏ธ
1
4
251
Mkubwa kajaa kwenye Mfumo wa Mchina sasa @TBoundBuses ๐Ÿ˜†
3
1
14
949
Wakubwaa eeeh Naomba kueleweshwa bila makelele utofauti wa Yutong Bus D14 D14plus D14 super ni upi? @TBoundBuses @SouthernBuses @BusesNation
8
4
3
69
8,583
Tuka mu unfollow kwanza Mr T Touch naona ameshawehuka sasa hana jipyaa tenaa, amekuwa mweupee kichwani kama maji ya Dawasa๐Ÿšฎ
94
Bando za Selcom kulipia malipo ya Gavoo sijui kununua umeme n.k hakuna cha free kuna makato wanachukua๐Ÿคฆโ€โ™‚๏ธ
1
122
Hivi hawa watu wanaokuja kuchora nyumba zinazojengwa huku mtaani kwa kuwaandikia โ€œSIMAMISHA UJENZI FIKA OFISINIโ€ ni huwa wanataka nini kikubwa haswa,,au hawataki majirani na raia wapya mtaani kwao??
1
5
576
Huyu nae wa wapii? gari lina mataa kama Disco toto @SouthernBuses @TBoundBuses
1
2
1
20
2,305
Show za BENZ na Nzito yake @GodemaE Pundaa afeee mzigo ufike๐Ÿ™Œ
3
9
1
56
5,971
๐ŸšจTBT threads, Drop your Favorite TBT Picture..!โœ
1
189
Mkali wa Masasi Lindi Mtwara amekuja na Higer min @SouthernBuses @TBoundBuses ni wakati sasa wakuuza vile vi coaster vyake vingii kama chengaa๐Ÿ˜†
4
2
6
491
SSF kwenye Nzito ni kama ameamua kuingia na zotee, hizo HILUX za Escort zipo 8 na zote mpyaa na Maganda yake toka South Africa @GodemaE
7
5
1
53
8,046
Binafsi natoa sana hizi Label za maji na ushakuwa utamaduni wangu na sababu pekee kwenye mizunguko yangu ya kila siku ya kusaka ugali tunakuwaga zaid ya watu 3 na kwenye gari ama tu mekaa sehemu moja kuanzia asubuhi mpaka kwenda kulala na mnajikuta wotee mna chupa ya maji ya kampuni moja na mimi ni mvivu saana kunywa maji chupa la 1.5ltrs kumaliza haraka issue njia pekee naitumia kutenganisha chupa yangu na wenzangu ni kukimbilia kutoa Label Kujitofautisha maana kuna muda unapiga mix by yass chupa la maji la mwingine๐Ÿ˜†
Hapa ingelikuwa ni msanii wa Bongo au mchekesheji hiyo label ya Jambo kwenye hayo maji angeshaitoa๐Ÿ˜๐Ÿ™Œ
5
10
2,257
Hapa walau mmecheza kibingwa sana @SelcomTanzania ๐Ÿ™Œ
9
2
4
53
10,202
Chawa wa BOSS kashasema @TBoundBuses ๐Ÿ˜…
3
2
2
21
3,645
SSF na Nzito zake mbili yupo road leo safari Iringa na nyingine Nyororo kwa ndani anapitia Bagamoyo road @GodemaE @hamzaalbhanj kwa sasa Yupo mitaa ya Tazara mjiandae kwa folen wenye magari yenu road huko๐Ÿ˜…
3
2
27
1,958
Hujambooooo @Imaniluvanga Hongera sana, na ikawe kheri kwako sister.
1
1
1
2
340
โ€œIran ni taifa la Kiislam na ni kinyume na mafundisho ya Kiislam kumiliki silaha za Maangamizi kama Nuclear, hatma ya kutamatisha maisha ya Watu sio yetu bali Mwenyezi Mungu ndio maana hatushambulii wasipotushambulia na tunashambulia kujilinda, uwezo wa Nuclear tunao ila hatuwezi kuwa nazo na tunawakaribisha mje mkague ila mwenye nazo mnamfahamu na hamtaki kumkaguaโ€ - Dr Masoud Pezekshan, Rais wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท
4
3
24
1,959
Nipate hili la mkopo๐Ÿ™
Kopa tu ununue hilo gari, maisha ni mafupi sanaโ˜บ๏ธ๐Ÿ”ฅ
2
1
2
10
1,047