#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
Song: Zero ๐ถ
Artists: Witness Ft Fid Q
Producer: Duke Tachez 2010
Productions : M Lab Records ๐๏ธ โ at Dar es Salaam, Tanzania
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
Artist: Fid Q
Song : Fidq.com (2004)
Productions: Baucha Records โ at Dar es Salaam, Tanzania
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
Anauliza kama nina demu namwambia sina, anahisi ashainiona sehemu tatizo kanisahau jina
Unaitwa nani? Fid Q
Unaishi wapi? Ghetto
Kazi yako nini? muziki
Ahh sema @FidQ alijimbu kigangster sana yule mrembo mwenye umbo namba 8
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
"Gari bovu halisukumwi kwa kukaa ndani yake. "
-- @FidQ 1880
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
Kesho Sio special ikiwa haifiki kankesho kutwa - @FidQ
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
Nakuaje Sina kumi wakati Nina tisa?- @FidQ
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
Safari ni hatua kufika inabidi uanze/@FidQ alishasemaga ๐๐
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
Tuna smoke ili kusafiri kihisia
Au kufoka pia _#Sumu @FidQ
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
Replying to @FidQ
@FidQ incase hukuiona hii please fidstylefriday ilikuwa kipindi poa sana hebu fanya comeback mkuu....
Wiki ya 5 kwenye Fid Style Friday miaka kadhaa iliyopita
R.I.P Langa aliongea kwa hisia sana kuhusu addiction ya madawa ilivyo wazee this thing called "AROSTO" sio poa
Mzee Mbuzi @FidQ fanya urudi na Fid style Friday tena
๐๐๐
youtu.be/Rk7wAwrk-FE
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
Napopita mtaani watoto nao utasikia Fid q na dada zao na hunambia I love you
Sababu mi ndo mi mi ndo Fid q mwana aliye juu nipo ndani ya nyumba basi mikono juu ~|@FidQ
Replying to @akilichache
Fid Q aliimba โNYOTA YA MCHEZOโ Ukipata muda kasikilize Tena hiyo ngoma @FidQ Sio kila anaefanya jambo Fulani atakuwa mshindi katika Hilo jambo , ukibahatika kuwa among the selected few shukuru.SOME WIN MANY LOSE
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweeted
From a name coined on Radio One by @MikeMhagama in 1996 to a sound streaming worldwide today. @FidQ takes us through 30 years of Bongo Flava, the origin, the shifts and the moments that defined it. #Miaka30YaBongoFlava





















