(fan)Sam retweeted
Vijana wa siku hizi sasa na maisha Yenu.
Dogo anatafuta manzi yake moja safi,anakwambia hapo ndio mwisho.
Utasikia hii manzi ndio future wife,bora nisile mimi lakini yeye apate.
Hapo Dogo anatoa kila kitu kwaajili ya hiyo manzi,sometimes money,chakula na uvaaji wote dogo ndio
(fan)Sam retweeted
Mzeee mzima ana niambia me bado mdogo sana kuchoshwa na maisha nimemjibu we mbona mkubwa sana kwa kuendelea kuishi kifo hukioni ety anafoka .🚮
(fan)Sam retweeted
Nakuomba namba unanipa fresh kabisa - nakuomba nachohitaji unanambia wewe ni kama dada yangu sasa namba ulinipa yanini?.
Sasa kama umenikataa siuseme moja kwa moja sio unazunguka tu mara dogo.
Utoto huu! Dadeq.
(fan)Sam retweeted
Hivi ukianza kutumia dawa za presha kuna time inafika unaacha au unakunywa maisha yako yote.
(fan)Sam retweeted
Kuna vitu bongo huwa havitokei kabisa, sijui dada zetu hisia hawanaga au ni nini,
Like ile unatembea kwenye korido then unapishana na mdada kabeba vitabu labda,
Umgonga anaagusha kwa bahati mbaya, bc unainama uokote bc na yeye anaina mnagonganisha macho then boom ana smile..☺️
(fan)Sam retweeted
Kuna sehemu niliwahi kufanya kazi , Mwanzo wa hiyo biashara boss ndo alikua analeta wateja for allmost 6month,yani asipoleta mteja utashinda kuanzia asubuhi mpaka jioni unapiga miayo tu,Gafla akakata kuleta wateja na cha ajabu wateja wakaanza kuja wenyewe 🙌nikawa napiga kazi
(fan)Sam retweeted
Nimesikiliza ile stori ya Mzize anasema kisingizio cha kuondoka alipokuwa anafanya kazi ya uhouse boy akamuua bibi yake
Hii mbinu mimi sijawahi kuitumia katika maisha yangu. Ila kuna watu wengi kwenye maisha yao ya kusoma wameitumia sana 🤣
Na wengine hadi makazini wanaitumia.
(fan)Sam retweeted
REMINDER:Karanga mbichi zina umuhimu mkubwa kabla ya tendo la baada ya tendo don't skip it".
NB:Kula sana karanga Bro.
(fan)Sam retweeted
All time Top 10
Anatoka nan anaingia T Touch
P-Funk Majani
Master J
Bonny Love
Miikka Mwamba
Marco chali
Lamar
Man water
Maneke
Hermy B
Pancho Latino
(fan)Sam retweeted
unajipeleka nyumbani kwa mwanamke kuoa?? unamchapa mimba tu watakuita mkae mezani muongee wakitaja pesa kubwa unakuwa tu muwazi kwamba huna
unawaacha wachague wao wabaki na singo maza wao au wakupe mke😁😁
(fan)Sam retweeted
LEO NIMEBAHATIKA KUJIUNGA MWAKA WA KWANZA KATIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA EE MUNGU NITANGULIE NIMALIZE SALAMA🙏🙏
(fan)Sam retweeted
Una mpenzi wako ,Hakuhudumii halafu unatafuta kazi anakwambia nakuombea hiyo kazi usipate 🙌huyo si ni mchawi jamani kuna shida ukiachana nae ??
(fan)Sam retweeted
Watoto ambao watakuta connection za wazazi wao mtandaoni
1. Mtoto wa gigy money.
2. Watoto wa nandy na billnass
3. Mtoto wa irine uwoya
4. Mtoto wa aslay
5. Mtoto wa ambar rutty
6. Mtoto wa lulu diva japo yeye alikuwa anajipiga Doreen tu,Kwa ujumla kocha wao ni HARMONIZE ANA2+😂
(fan)Sam retweeted
wamekuja madogo wa field hao wenyewe kila procedure wanataka warekodi, kwani huko vyuoni kuna somo la content creation?!💔
(fan)Sam retweeted
Siku hizi ukicheat back unauliwa kama tajiri unapigwa bastola kama maskini unapigwa visu kuweni makini 🥹🥹 – at Dar es Salaam, Tanzania
























