Vice Chancellor of Iramba. 29/10/2025 HATUTASAHAU πŸ•Š πŸ’”πŸ˜­

Republic of Croatia
Joined July 2022
Fundi anarudi kwenye UWAKILI, nakumbuka kesi ya yule kijana alosemaga JPM ni mpumbavu, LISSU akajitolea kumtetea kijana mahakamani, LISSU akawaambia mteja wangu hakumaanisha JPM ni JOHN POMBE MAGUFULI, kijana alimanisha JPM ni JUMA PUMBA MAHARAGE, kesi ikaisha πŸ˜‚ He is back ✊
100
221
6
2,747
94,667
Sekenke One 🌻 retweeted
Kifiche chochote kinachokupa Amani watu ni wabinafsi Mkuu πŸ˜‚
12
15
4
183
4,678
Sekenke One 🌻 retweeted
Wazee hawa viumbe watamu bwana
21
28
5
162
5,347
Ni bora binti awe ana ku crush mwenyewe, ila sio mama yake mzazi ndo awe ana ku crush kwa niaba ya binti yake πŸ˜„ πŸ˜„, Mamamtu akiona hueleweki hujiongezi anaweza kukuletea binti ndani kwako. Hadi ukahisi unauziwa mamae
5
7
35
641
Sema hili swala la kudai vitu ulivyoonga limekaa ki-aibu sana, sasa zile litre 50 za Gamete ulomwagia ndani binti wa watu zitarudi vipi.
8
11
42
2,545
Sekenke One 🌻 retweeted
Kuna mambo maishani mwangu hayatatokea KAMWE. Kuoa mwanamke asiye bikra kutoka katika familia maskini ni mojawapo wa hayo. Screenshot hii post, iweke kwenye fremu na uning'inize ukutani kwako, HAITATOKEA KAMWE. Hakuna namna nitaoa malaya masikini.
33
27
163
5,455
Sekenke One 🌻 retweeted
Kikali jamaaa
Wale wapenzi wa Hidden roof, Vitu vyenu hivi hapa ka 3 Bedroom simple kabisa. ✍️ 1. 3 Bedroom (1Master, 1Self, 1Plain) 2. Sitting room 3. Kitchen 4. Public toilet Bati 50 Block 3200 Karibu ramani yake ipo NDILOLE DESIGN πŸ‘‡πŸ‘‡ wa.me/c/255746122023
1
1
31
Sekenke One 🌻 retweeted
Kama Taifa tumepitia mengi sana. πŸ™Œ
25
11
2
247
7,992
Sekenke One 🌻 retweeted
Moja ya kiatu classic ni hiki maana kinaingia kwenye casual na official bila shida. Ndugu yangu @Suma_Viatu huu mguu unaendaje? Piga simu uletewe popote ☎️ 0742 517 020
3
31
43
682
Sekenke One 🌻 retweeted
Replying to @AlexSamoja
Ahsante mwanangu 🫢🏾❀️
1
4
52
Sekenke One 🌻 retweeted
Mwanamke akiwa na furahi mazingira yote yanakua na positive energy, akinuna kila kitu kinageuka negative, Mungu sijui kwanini alituletea hawa watu 🀣
32
57
8
578
22,540
Sekenke One 🌻 retweeted
Kweli dunia tunapitaπŸ˜‚πŸ’”... sijui kapotelea wapi mwanetu fumbo khan.
73
37
4
467
34,429
Kuna mda huwa namwelewa sana Mlinganya πŸ˜„ 🀣
25
16
115
6,874
Sekenke One 🌻 retweeted
Matriculated into the @UniofOxford to read for a Doctor of Philosophy in Law.πŸ™πŸ½
318
420
72
2,517
92,452
Sekenke One 🌻 retweeted
Wahuni wanamdanganya hadi VP. WANASHINDWAJE kutoa report ya uongo ya kumuonea RAIA?
11
16
1
161
7,881
Sekenke One 🌻 retweeted
Lakini kuna ulazima mwanaume kushabikia mambo ya miss grand?? πŸ˜‚
20
16
2
99
2,001
Nakumbuka baada ya kumaliza mtihan wa form 4 tulichoma magodoro ya masnichi wote wa shule πŸ˜„πŸ™Œ Hili tukio liliacha historia πŸ˜„πŸ˜„ Ulifanya mtihan mwaka Gani? 2020πŸ‘‡ – at Dar es Salaam, Tanzania
32
34
2
82
2,898
Hellow Aunt you look cool ❀️
3
3
15
378
Sekenke One 🌻 retweeted
Mchina anaweza kuja na Zero cent na idea benki zetu zikapanga mstari kumkopesha. Ila kumkopesha mzawa wataka nyumba na biashara. Hatupendani tuu.
76
100
17
1,042
32,269
Sekenke One 🌻 retweeted
Stefano wa Kwadosa, Mlandizi naitakia klabu ya Nottingham Forest matokeo yoyote chanya dhidi ya Arsenal leo.
34
35
3
203
10,645
Hapa sabuni moja, na cosmetics mbili, mwakani lazima wacheze UEFA CHAMPIONS LEAGUE, ila tatizo ni Club za Saudi Arabia na Real Madrid, zitaanza kuwafata πŸ˜„
4
10
63
2,103