Pinned Tweet
BRO TO BRO
Lengo lako linapaswa kuwa:
โข Kutengeneza pesa.
โข Kujenga mustakabali wako.
โข Kuwa mtu ambaye familia yako inaweza kukutegemea.
โขAnayekupenda, anayekuchukia, na anayekusema vibaya achana nao songa mbele.
Endelea kujishughulisha kuwa mwanaume bora.
Level Up!๐ฅ
Brain_pro360๐ฃ retweeted
#TajiriLaKihaya
Wanaume wana Huruma saaana aiseeeโฆ..
Kama hadi huyu Walimzalishaโฆ duh๐
Brain_pro360๐ฃ retweeted
Replying to @EsirEid
Huyu padri itakuwa alikuwa katoka kutomba siyo kawaida hii, Mungu akaona huyu ananichora huyu akasema " hebu njoo hapa unieleze vizuri"
kuna rafiki wa rafiki yangu
2022 nilimsovia kipengele.
2023 akapata mme wakafanikiwa kupata mtoto.
niliitwa kwenda kumuona mtoto.
Uncle nimefika sina hata mia. nikambeba mtoto nikakaa kumsubiri mme wake nimsalimie, bahati mbaya siku hiyo akachelewa kurudi nyumbani.
Brain_pro360๐ฃ retweeted
Kidoti Foundation imekuwa sehemu ya mapokezi ya Miss Grand International, ikiwa ni ishara ya kumuunga mkono Jihan na kumpongeza kwa hatua hii muhimu. ๐น๐ฟโจ Tunamtakia kila la heri katika safari yake ya kuiwakilisha Tanzania kwa fahari. โค๏ธ
Brain_pro360๐ฃ retweeted
#TajiriLaKihaya
Kwa sisi wataalam wa Nyuchiโฆ
Huyu manzi atakua mtamu saana๐๐พ๐๐ฝ
Mfupi, Black beauty na Kanyoaโฆ
Huyu ana balaa saana!
Naomba mawasiliano yakeโฆ
Brain_pro360๐ฃ retweeted
Hivi mnajua uchungu wa kugombana na demu ambaye mlikua mnawasiliana kupitia simu ya mama yake akasahau kufuta meseji na umemtukana na mama yake akachukua hiyo simu ๐
๐.
Brain_pro360๐ฃ retweeted
Umenipa namba nikakutongoza ukaninawa sasa nikiendelea nayo itabadilisha nini?.
Unafuta tu hakuna la maana kama utaendelea kubakia nayo ndio unabakia status viewers tu.
Sh! T
Brain_pro360๐ฃ retweeted
Kuna kipindi niliwahi weka status picha ya manzi na emoji ya kopa aisee.
Baada ya kuweka status Wana wawili wakasema washapiga ๐
.
Nilitokwa na jasho jingi sana, kwa uthibitisho walinitumia hadi chatting.
Nachoshukuru walimjaza namimi nilipiga.
Huo ujinga sitakaa nirudie tena
Brain_pro360๐ฃ retweeted
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro H. Mnyonge mwezi wa 6, 2026 aliwapa wananchi siku 30 kupaka rangi upya nyumba zao na kuweka taa za nje siku 30 zimeshaisha
Agizo lake limefikia wapi na yeye mwenye yuko wapi maana hata kwenye media hatumuoni akitoa matamko na maelekezo kama ilivyokuwa mwanzo! Watu wakinondoni mlitekeleza?
Brain_pro360๐ฃ retweeted
Sasa kwanini hamtaki kuleta Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi kama kwei mnaweza kupambana na Chadema? Nimemkumbaka Nyerere kwa kuacha Katiba mbovu nimelia mimi๐ญ



























