Arnold_Baba_Jenny ๐น๐ฟ |NIT alumnus| retweeted
Amka saa nane za usiku kwa siku saba mfululizo, kisha usali sala hii kwa imani. Mwombe Mungu avunje kila kikwazo, afungue milango iliyofungwa, aondoe kila kinachozuia maendeleo yako, na akupe kibali mbele zake na mbele za watu katika kila jambo unalolifanya:
Ee Mungu Mwenyezi, ninakuja mbele zako kwa jina la Yesu Kristo. Naomba uvunje kila kifungo, uondoe kila kikwazo, na ufungue kila mlango uliofungwa katika maisha yangu. Niongoze katika njia zako, unipe hekima, nguvu, na neema ya kushinda kila changamoto. Nibariki kazi za mikono yangu, unipe kibali katika kazi, biashara, masomo na mahali popote nitakapokwenda. Uniongoze kwenye mapenzi yako, na mapenzi yako yatimizwe katika maisha yangu. Naamini hakuna lisilowezekana kwako. Amina.
Isaya 45:2
"Nami nitakutangulia, na kupasawazisha mahali palipoparuza; nitavunja milango ya shaba, na kuzikata-kata mapingo ya chuma."
Arnold_Baba_Jenny ๐น๐ฟ |NIT alumnus| retweeted
Unapigwa kwasababu unadai haki yako, na ukilalamika bado unapigwa tena kwasababu umehoji kwanini umepigwa kwa kudai haki yako. Jinsi wanaongea bila Uwajibikaji ndio jinsi inakera zaidi, sijui kwanini hilo ni gumu kuliona, tsk
Arnold_Baba_Jenny ๐น๐ฟ |NIT alumnus| retweeted
watu wa TikTok wametoa cover treason case nikama movie lakini inamaumivu makali,
sidhani kama itaondoka kwenye akili na mioyo ya wa Tanzania hata ichukue miaka 1000,
walicho kifanya wameweka video ya matukio yote kipindi cha uchaguzi,
chapa Repost 200 kwa eshima ya mashuja
Arnold_Baba_Jenny ๐น๐ฟ |NIT alumnus| retweeted
CCM is no longer functioning.....
Imeamua kukimbilia matamko ya UKALI๐ฎ
Imekimbilia JESHI๐ฎ
Imekimbilia POLISI๐ฎ
JASHO LITAWATOKA maCCM.๐ฐ๐ฐ๐ฐ
Kesho muwatoe JESHI la MAGEREZA watoe TAMKO waseme MAGEREZA zao zipo wazi kupokea WAANDAMANAJI Oktoba 29.
#Oktoba29Tunatoka
Arnold_Baba_Jenny ๐น๐ฟ |NIT alumnus| retweeted
Hey @elonmusk @Support please reinstate human rights defender @sativa255โs account. Sativa is a victim of political persecution. Silencing him is tantamount to silencing truth.
#UnsuspendSativa255 #FreedomOfSpeech
Arnold_Baba_Jenny ๐น๐ฟ |NIT alumnus| retweeted
Elon inatakiwa ajue hii Account tuna shida nayo kuelekea Oktoba 29, Post, Retweeet, Tag waone.
Tag @elonmusk @Support to reinstate @sativa255 (143K followers). He is a human rights defender & victim of political persecution. Silencing him = silencing truth.
#UnsuspendSativa255 #FreedomOfSpeech
Arnold_Baba_Jenny ๐น๐ฟ |NIT alumnus| retweeted
Mtanzania naomba repost yako hapa isambae mpaka kwenye ya milima ya Usambara
Arnold_Baba_Jenny ๐น๐ฟ |NIT alumnus| retweeted
Introducing MON Protocol Partner - Dark Machine
Dark Machine (@DarkMachineGame) is a 7v7 mech-based third-person shooter supported by industry leaders such as @TencentGames, @Immutable, and @SuiNetwork, securing $8.7M in funding.
This cross-media gaming IP is being simul-developed under the leadership of Goro Taniguchi (One Piece Film: Red, Code Geass) and Hidetaka Tenjin (Macross, Gundam). It's set to elevate the gaming landscape through its decentralized approach.
More about Dark Machine here: @DarkMachineGame
Arnold_Baba_Jenny ๐น๐ฟ |NIT alumnus| retweeted
Show us what you've got!
Our Play-To-Airdrop on Immutable zkEVM is LIVE ๐จ
Join Now: airdrop.boomland.io/
Arnold_Baba_Jenny ๐น๐ฟ |NIT alumnus| retweeted
MON Protocol LaunchPool #2 (Beta)
MON Stakers will be able to commit their points to join any of the 4 MON Protocol LaunchPools (beta) on Monday, 24th of June.
Commitment Period Start: 24 June, 4 AM UTC
Commitment Period End: 28 June, 10 AM UTC
Commitment Duration: 5 Days
More information on the beta launch of the MON Protocol LaunchPool #2 will be available on our Discord: discord.gg/thepixelmon
Stake $MON for Points: app.monprotocol.ai/stake
Arnold_Baba_Jenny ๐น๐ฟ |NIT alumnus| retweeted
Heroes' Legacy is back! ๐
Last year, you have been watching the rise of legends. This year, it's your turn! ๐ซต
๐ฐCash Prize: $100,000!
๐ฅ Watch the video, feel the excitement, and get ready to be part of something unforgettable, and check how to participate in the thread below
Arnold_Baba_Jenny ๐น๐ฟ |NIT alumnus| retweeted
Simu
Usedโ
Mpyaโ
Laptop โ
Smart watch more than 30Modelsโ
Smart accessories kama,
KIDTS TABLET more than 5 mosels
Power bank more than 5 models
Ring light
Charger more than 10 models
Simu za mezani SQ
Wireless mic & headset
Airpods
Music ๐ถ jbl speaker @Ndichielectron
Arnold_Baba_Jenny ๐น๐ฟ |NIT alumnus| retweeted
โค๏ธโ๐ฉน July 2022, Sรฉbastien Haller was diagnosed with testicular cancer.
โค๏ธ February 2023, Haller beats cancer and then he made a return to football.
๐งก๐ February 2024, Haller scores the ๐๐๐๐๐๐๐ goal for Ivory Coast in the AFCON final.
Never give up. ๐๐ป
Arnold_Baba_Jenny ๐น๐ฟ |NIT alumnus| retweeted
Teaching is not a zoom meeting. Kama Mwalimu Mmoja anaweza kufundisha nchi nzima, basi na Mbunge Mmoja anaweza kusimamia Majimbo yote nchi nzima. โ at Sandton, South Africa
Arnold_Baba_Jenny ๐น๐ฟ |NIT alumnus| retweeted
Nani anataka kuattend Future ready Summit itakayofanyika Feb 15 na Feb 16 na hana tiketi?
Kuna tiketi nimepewa hapa niwape watu wachache bure kabisa.
Vigezo ni Viwili tu
1. Follow page ya @_futureready
2. Retweet post hii
Then, angalia dm yako utaona ujumbe wangu.
Arnold_Baba_Jenny ๐น๐ฟ |NIT alumnus| retweeted
Anza Kulipwa Mpaka $10k Ukiwa Na 0Tshs Kwa Kufanya Online Tasks Mbalimbali.
Repost kabla hujalia baadae.๐๐
Arnold_Baba_Jenny ๐น๐ฟ |NIT alumnus| retweeted
Nimefanikiwa kufika $8k
ambayo ni sawa na 20,342,168.00
kwenye partnership na @EXNESS
=============================
Kila Mtu anatamani kutengeneza angalau
Kwa kutambua Hilo nimeandaa guide ya
kumsaidia kila Mtu atengeneze dollar yake
ya Kwanza online
"HOW TO MAKE YOUR FIRST $1 ONLINE"
Thamani yake ni $99
Lakini Kesho nitakitoa bure kabisa Kwa
watu 100 WA kwanza
Kwa kufanya
=Like
=Repost
=Follow and turn on notification
Saa nne asubuhi nitafanya give away
Pia Kwa wale wanataka kuwa partner wa. Exness NI free kabisa ๐
one.exnesstrack.net/a/uikp25โฆ
Arnold_Baba_Jenny ๐น๐ฟ |NIT alumnus| retweeted
Pre-Order sasa na save 80% ya course hii ya crypto na uanze kutrade kama Pro.
Katika course ambayo itakuwa ni full courses Kwa njia ya videos ya Beginner to Pro utajifunza
โข Basic knowledge
โข Fundamental analysis
โข Technical analysis
โข Risk management
Gonga LIKE ๐๐๐
Arnold_Baba_Jenny ๐น๐ฟ |NIT alumnus| retweeted
Ukiona uko na mtu kwenye mahusiano yeye akiwa na shida huwa unajishughulisha Sana....
Halafu wewe ukiwa na shida yeye anakuangalia tu au muda mwingine hajali kuhusu unayoyapitia,
Jua huyo sio sahihi kwako.
Maana Kuna siku utakuja kufa huku anaona.
Kumbuka,Mahusiano ni kusaidiana...
Unatakiwa uwe na mtu ambaye anaweza kukusaidia pale ambapo uko kwenye wakati mgumu...

































