A believer✝️. John17:3, Romans 1:16-17 Athlete. Football.Swimming.Marathon.Cycling

🌍
Joined April 2021
Huu utamaduni mgumu sana aisee🙌
फ्रांस में एक युवक ने कहा, “मैं प्रार्थना करना सीखना चाहता हूँ।” एक मुस्लिम युवक उसे मस्जिद में नमाज़ पढ़ना सिखा रहा था और सजदा करने का तरीका बता रहा था। इसी दौरान उसकी गला रेतकर और 50 बार
12
Dear #Kenyans, we earnestly appeal to you to join and amplify the #WhereIsTwahaMwaipaya campaign. Our Tanzanian brother, Twaha Mwaipaya, was abducted on Kenyan soil. Please, #KOT, stand with us in demanding his safe return, well-being, and justice. We need voices from both sides to speak out loudly! HELP! #FreeTwahaMwaipaya Cc; @edwinsifuna @HEBabuOwino @GeorgeNatembeya @RobertAlai @MarthaKarua @OleItumbi @DrBKhalwale @MarthaKarua @bonifacemwangi
12
234
4
562
7,335
Samia Suluhu hawezi kuingiza majangili Kenya na kuweza kum track na kumteka mwanaharakati ndani ya Kenya bila ushirikiano wa serikali ya Kenya. Twaha katekwa na marais wawili, Samia na Ruto. The Kenyan government is equally complicit in the abduction of @Twaha_Mwaipaya as the Tanzanian illegitimate Government.
38
196
8
796
19,261
Ule msemo wa WASIOJULIKANA huwa unawaumbua CCM. Twaha ametekwa Nchini Kenya mwisho tutasikia atapelekwa kituoa cha Polisi na baadae MAHAKAMANI.Inamaana mtu anaweza tekwa na wasiojulikana na baadae akakabidhiwa kwa POLISI, Swali,inaama wasiojulikana wanaushirika na Polisi ?
1
9
47
1,393
HABARI MBAYA. @Twaha_Mwaipaya , Mwanaharakati kutoka Tanzania, ametekwa muda mfupi uliopita maeneo ya Kamulu, Kangundo road, Nairobi Kenya. Wamemchukua na Gari aina ya Toyota HardTop nyeupe, na watu wenye silaha waliokuwa wamevaa nguo za kiraia muda mchache uliopita.
4
63
2
111
1,522
FREE TUNDU LISSU
1
73
324
4,430
Harry retweeted
TWAHA MWAIPAYA AMETEKWA NAIROBI MUDA MFUPI KUTOKA SASA. TUNAOMBA MSAADA WA KUPAZA SAUTI. #FreeTwahaMwaiapaya REPOST 500
30
420
8
954
14,581
Fool time, Yes.
Full-time.
16
Mnaona kama ninavyoona ?
VIDEO: Mbunge wa zamani wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameitaka Serikali kutoa ufafanuzi wa kina na kuharakisha ukamilishwaji wa mchakato wa kukabidhi eneo lililoko karibu na Msikiti Mkuu wa Bondeni jijini Arusha kwa jumuiya ya Waislamu ili litumike kwa shughuli za kidini. Akizungumza katika mkutano wa waumini wa Kiislamu uliofanyika mkoani Arusha hivi karibuni, Gambo alikumbushia kuwa hapo awali kulikuwa na maelekezo rasmi ya Serikali kuwa eneo hilo lingekabidhiwa kwa Waislamu, hivyo anataka kufahamu ni kwa nini mchakato huo umepata kikwazo na umefikia hatua gani hadi sasa. Alibainisha kuwa suala hilo liliwahi kufikishwa serikalini na kujadiliwa hata katika vikao vya baraza la madiwani huku akikumbusha kuwa aliyekuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Mizengo Pinda aliwahi kufika katika eneo hilo miaka kadhaa iliyopita kushughulikia suala hilo kwa kushirikiana na viongozi wa halmashauri. Akijibu ombi na hoja hiyo ya Gambo, Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Nicodemus Tambo, ameeleza kuwa serikali ipo tayari kulifanyia kazi ombi hilo kwa kushirikiana kwa karibu na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha pamoja na maafisa wa ardhi ili kubaini ukweli wa mambo na hatua zilizofikiwa.
1
26
Harry retweeted
I concur. Hizi Nchi Tatu (Kenya,Uganda & Tanzania) sio Salama, Yule mkosoaji wa DRC Congo alikamatwa TZ, @MariaSTsehai alinusurika #Kenya. Kizza alitekwa #Kenya, Kuomba hifadhi za kisiasa nchi hizi ni kujipeleka kitanzini. Sasa Twaha !💔 Be alert wale wote walioko nchi hizi 3
Kwa wanaharakati wote mlioko Kenya , nawa taarifu . Kenya haiko Salma tena narudia tena kenya haiko salama tena. Tokeni Kenya. ruto yuko maji ya shingo, atafanya lolote kuhakikisha ma dictator wenzake wanabaki madarakani ili wamkingie kifua 2027 akisha haribu uchaguzi Kenya
2
7
1
20
962
I concur. Hizi Nchi Tatu (Kenya,Uganda & Tanzania) sio Salama, Yule mkosoaji wa DRC Congo alikamatwa TZ, @MariaSTsehai alinusurika #Kenya. Kizza alitekwa #Kenya, Kuomba hifadhi za kisiasa nchi hizi ni kujipeleka kitanzini. Sasa Twaha !💔 Be alert wale wote walioko nchi hizi 3
Kwa wanaharakati wote mlioko Kenya , nawa taarifu . Kenya haiko Salma tena narudia tena kenya haiko salama tena. Tokeni Kenya. ruto yuko maji ya shingo, atafanya lolote kuhakikisha ma dictator wenzake wanabaki madarakani ili wamkingie kifua 2027 akisha haribu uchaguzi Kenya
2
7
1
20
962
Bashe siku akitaka kugombea Uraisi ndio utajua ALIIBA sana Hela akiwa Wizara ya Kilimo. 😁
BASHE YUPO NA MITIKASI YAKE MINGINE BHANA!
1
5
383
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😒 Dah, haya bhana.
2
18
896
Ruto is helping Tanzania and Uganda track and abduct political activists and opposition leaders who fled their countries to escape political persecution and are living legally in Kenya. Besigye is in jail because of him. Ruto is a danger to anyone who speaks truth to power.
Twaha Mwaipaya, a Tanzanian national, was reportedly abducted at around 2pm today in Kamulu, Machakos County, by individuals travelling in three vehicles, including a Toyota Land Cruiser hardtop. He was travelling by taxi to visit friends. Anyone with information on his whereabouts is urged to reach out immediately. Authorities must urgently establish his whereabouts and ensure his safety. Please share widely. #FreeTwahaMwaipaya
12
262
2
561
16,630
Kabisa, umeiweka vyema sana, wanadhani kwamba Katoliki ni taasisi ya dini, ile ni cartel, dini gani ina vault kubwa ya dhahabu na haina hata mgodi nchi, hapo Vatican kuna mgodi gani wa dhahabu, au watueleze zile tonnes za gold Catholic wametoa wapi, kama sio wizi na dhuluma?
Ni sawa na mimi nijaribu kufungulia case leo TEC kwa kutumia diplomatic immunity kupitisha silaha na madawa ya kulevya bandarini. Sitoshinda wala kutoboa 😅😅 sababu na deal na dola ya Kirumi sio taasisi ya Dini.
5
2
4
1,246
Harry retweeted
Mpigania HAKI MWENZETU aliekuwa ukimbizini KENYA ametekwa akiwa "Makuru". Twaha hakupenda kuwa MKIMBIZI hii ni baada ya KUTEKWA mara kadhaa akiwa Tanzania na kuteswa sana na WAKOLONI WEUSI. Twaha amekaa jela muda mrefu kwa misimamo yake ya kudai haki. Leo ANATEKWA AKIWA UKIMBIZI KENYA. WAKENYA TUSAIDIENI KUPAZA SAUTI KUMTAFUTA NDUGU YETU. #FreeTwahaMwaipaya REPOST 200
27
242
4
641
11,984
Tanzanian opposition figure Twaha Mwaipaya abducted in Kamulu, Machakos, Amnesty International says as rights group warn of cross-border repression.
21
453
22
721
20,591
OMG, dah roho inaniuma…. Hapana, why watu wanateseka hivi? Why?
‼️MWAIPAYA AMETEKWA‼️ Kamanda Twaha Mwaipaya ametekwa na Watu wasiojulikana muda mchache uliopita akiwa maeneo ya Kamulu road - Nairobi. Watekaji walikuwa wamevaa kiraia na usoni walivaa Musk, walikuwa na gari tatu ambapo waliblock gari ambayo alikuwa amepanda Mwaipaya, Kisha wakamshusha na kuondoka nae. Kwa mujibu wa mashuhuda wanasema mfumo uliotumika ni kama ilikuwa Operation, kuna wasiwasi wa simu kufatiliwa ( Tracking ) suala ambalo linaibuwa maswali makubwa sana kuhusu usalama wa Wageni wanapokuwa Nairobi. #FreeTwahaMwaipaya
35
156
1
668
19,757
🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️ Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men @NPSOfficial_KE @AmnestyEARO @thekhrc @OHCHR_ESARO @citizentvkenya #FreeTwahaMwaipaya
84
360
29
736
30,399