SIR TIVA (@Sativa255) header
SIR TIVA (@Sativa255) profile picture

Survivor of Head Bullet 27.06.2024 | Human rights defender | MIMI NI MKIMBIZI | PYALA PYALA.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2019
Photo by SIR TIVA (@Sativa255)Photo by SIR TIVA (@Sativa255)Photo by SIR TIVA (@Sativa255)Photo by SIR TIVA (@Sativa255)Photo by SIR TIVA (@Sativa255)Photo by SIR TIVA (@Sativa255)Photo by SIR TIVA (@Sativa255)Photo by SIR TIVA (@Sativa255)Photo by SIR TIVA (@Sativa255)Photo by SIR TIVA (@Sativa255)
Hata kesho nikipotea JESHI LA POLISI TANZANIA LINAHUSIKA. @tanpol Hawa ndio walioniteka mara ya kwanza 23/6/2024, walitaka waniue kwa kunipiga RISASI YA KICHWA MBUGA KUBWA YA HUKO MKOANI KATAVI IKASHINDIKANA. HII TWEET MUITUMIE KUWASHTAKI HATA NISIPOKUWEPO.馃
531
2,755
58
12,287
5,548,684
Sikuizi nimeacha kupigana vita, nimemuachi mwanangu james.馃榿
17
29
4
398
12,113
1.12.2026 MOVIE YA WAKAMARIA inatoka. Save the date.
15
52
2
439
17,767
Daah OBA sijui mashabiki watamchukuliaje.馃ザ Anyway R.I.P BRONSON 馃晩
WWE is devastated to announce that Jermaine Haley, known to WWE fans as Bronson Reed, passed away earlier today. Our thoughts and deepest condolences are with Jermaine鈥檚 family, friends and fans.
17
3
1
184
16,466
Bora uwanyonge kuliko kufungulia X.
17
53
2
536
12,112
Sema X wanateseka sana na sisi.馃槀
Zamani walisema sisi tunaishi kupitia Lost za mikeka ya watu ni matapeli. Tumeacha kuleta mikeka humu ili tufe njaa ila bado wanalia hamtaki tufe njaa? 馃槀馃槀馃槀馃槀馃槀
2
4
2
55
7,655
Madelu kapigwa MARUFUKU kuzurura mikoani. Shikamoo da MANGE.馃槀
36
135
1
1,762
42,088
Tumefika HATUA watekaji hawajui WAMTEKE NANI WAMUACHE NANI. Round hii mpaka MAWE YATAONGEA.
25
173
1
1,179
38,451
Tuliambiwa MELI ilikuwa kwenye majaribio, na huo moshi mweusi mlikuwa mnachochea KANDE, mnaanzaje kumsimamisha KAZI NAHODHA? Au hakugongesha VIZURI MLITAKA IZAME KABISA?
18
62
1
584
20,081
Nchi inapitia KIPINDI KIGUMU MNO hii.
30
37
4
448
17,086
Msiba wa MTANGAZAJI EDDO umegeuka kuwa msiba wa MASISIEMU. Sijajua ni yeye Eddo aliomba azikwe KISISIEMU kama ilivyokuwa, au ni kujiamulia mambo kwa MASISIEMU. Eddo alikuwa kipenzi cha watu wa NYANDA ZA JUU KUSINI kipindi cha uhai wake, lakini alipofariki ndio nimegundua alipendwa na nchi nzima. MASISIEMU kwakuwa yenyewe yanawaza kutrendi tuu bila kujali UTU WA MTU yanaleta upumbavu mpaka msibani. R.I.P EDDO馃晩
11
39
1
615
27,713
Chawa wanauliza PESA za tone tone zimeenda wapi, wanasahau kuwauliza CHAUMMA nao walikuwa na TONE TONE pesa zao zipo WAPI? YERICO NJEGERE alichangiaga Laki sijui馃槀 Nchi inapitia mengi sana hii.
18
81
742
17,480
CHADEMA tumeitangazia DUNIA hakuna MARIDHIANO bila masharti yetu kufuatwa. Kama unaona CHADEMA tunakuchelewesha nenda vyama vingine ambavyo vinaunga mkono mawazo yako ya kutaka MARIDHIANO. Ndege wafananao huruka mti mmoja.
8
150
3
938
11,787
Watu wa CHADEMA wamefungwa Magerezani nchi nzima kwa MAELFU. Chama kinakuja na MSIMAMO kwamba hakiwezi kufanya lolote yakiwepo hayo mnayoita "MARIDHIANO" mpaka watu wao WOTE waachiwe NCHI NZIMA. Kuna watu wapo huru huku nje, hawaijui hata shuruba ya kuwindwa na watekaji, wao wanalazimisha chama kiende kwenye MARIDHIANO bila wenzao waliofungwa magerezani. HUU UBINAFSI WA KIWANGO CHA UCHAWI. HII MIWATU HAINA TOFAUTI NA WALIOPIGA WATU RISASI ZA VICHWA MO29.
4
135
1
661
18,113
CHAMA kimetangaza LISSU awe huru ili aongoze hayo wanayoita "MARIDHIANO". Kuna kundi la watu wanaojiita VIONGOZI wa CDM wanataka CHAMA kiende kwenye MARIDHIANO bila LISSU. Hii inamaanisha kuna viongozi wa CDM wanafaidika na LISSU kuwa ndani. Hasa hawa wanaotaka MARIDHIANO bila LISSU kuwa nje.
15
118
1
902
32,584
Mpumbavu kama KIGAILA eti leo anataka kutufundisha namna ya kudili na MASISIEMU.
21
41
1
369
10,697
Hii kauli ITAISHI sana vichwani mwetu.
6
189
1
1,336
13,298
Mtoto wa NYOKA NI NYOKA. MBOO WE JR.馃毊
23
38
1
348
13,077
Mwezi sasa MEDIA za bongo zinahoji "WASENGE" tuu ambao wanajiita wao ni wanaCHADEMA, wengine wanajiita VIONGOZI kabisa. Watu wa maana HAWAHOJIWI kabisa. Lakini napenda kusoma comments jinsi wabongo wanavyopika WASENGE馃檶
6
72
596
12,603