Dirbali retweeted
The latest report from Premier League stars on international duty is in 🛬
Find out what's happening 👉premierleague.app.link/e/08Z…
Dirbali retweeted
Name : Muhammad [ﷺ]
Father : Abdullah
Mother : Aminah
Date of Birth : Rabi Al - Awwal months
Date of Death : 08 Jun 632 11 after Hijri
Age : 63 yrs
Place of Birth : Makkah
Place of Death : Madinah
Residence : Makkah then moved to Madina
Profession : Businessman , then a Prophet
Age : 63 years
Lived in Makkah : 50 years
Nabowat Age : 40 years
Lived in Madinah :13 years
Yrs of Preaching : 23 years
Merchant : 26 years 583–609 CE
Preacher : 23 years 609–632 CE
End of Worldly Life : 08 June 632. (11th after Hijra)
☾Virtue
☾Preaching
☾Jihad in Islam
✔︎Peace and Justice
✔︎Loving every body
✔︎Liking of Muslims
✔︎Philanthropic
✔︎Respectful of any organ (animals?)
𝗠𝗔𝗥𝗥𝗜𝗘𝗗
♥︎Khadijabint Khuwaylid 595–619
♥︎Sawda bint Zamʿa 619–632
♥︎Aisha bint Abi Bakr 619–632
♥︎Hafsa bint Umar 624–632
♥︎Zaynab bint Khuzayma 625–627
♥︎Hind bint Abi Umayya 625–632
♥︎Zaynab bint Jahsh 627–632
♥︎Juwayriyya bint al-Harith 628–632
♥︎Ramla bint Abi Sufyan 628–632
♥︎Rayhana bint Zayd 629–631
♥︎Safiyya bint Huyayy 629–632
♥︎Maymunah bint al-Harith 630–632
♥︎Maria al-Qibtiyya 630–632
❣︎Al-Qassem
❣︎Abdullah
❣︎Ibrahim
❣︎Zaynab
❣︎Ruqayyah
❣︎Ummu Kalthoom
❣︎Fatima
Dirbali retweeted
Tumuombe Allah awaondolee adhabu zote za kaburi ndugu zetu waliofariki sio awapunguzie
Ukipunguziwa inamaana bado uko katika adhabu
Dirbali retweeted
Replying to @EsirEid
Nguzo za uislamu ni 5
1. Shahda 2 na wao wanazo 3
2. Kusimamisha swala, ingia misikitini kwao ukajionee wanavyosimamisha iyo swala
3. Kutoa zakah hii hawatoki nje ya mafundisho
4. Kufunga ramadhani pia hawana kipengele
5. Hijjah nayo hakuna kipengele
Ambatana nao uwajue vizur🙏
Dirbali retweeted
MIONGONI MWA HAQ ZA WATAWALA NI KULINGANIWA WAO KUREJEA KWA MOLA WAO
ENYI WAISLAM MLIO KARIBU NA WATAWALA WENU PANDE ZOTE ZA DUNIA HEBU WALINGANIENI WATAWALA WENU KWA MANENO LAINI HUENDA WAKAREJEA KWA MOLA WAO NA WAKAONGOKA!
WAKITENGEMAA WATAWALA TIJA HUREJEA KWA WATAWALIWA!
Dirbali retweeted
Ukifikiria na kuwaza muda wowote wewe ni maiti na umauti utakufika wewe hata kama utakuwa kwenye ngome imara na malipo ni kwa mujibu wa matendo yako!wanaokusifu na kukunga mkono hata kwenye maasi hawatabeba mzgo wa madhambi yako wala kuadhibiwa kwaajil yako basi utajiandaa vema!
Dirbali retweeted
Una miaka 30 lakini Huna Nyumba, Huna Gari, Hujaoa , huna Kiwanja sasa Ulikua Unafanya nini Ukiwa na Miaka 20 ,,, We ni Loser Man
Dirbali retweeted
Ukichukua mkopo ukaanzisha biashara kama hii, ukiachana na wanawake ni vitu gani visivyo vya msingi vinaweza kumaliza mtaji wako…?
Nasoma comment 🤗 @softfinancetz
Dirbali retweeted
Jamaa amepost hivi "Jeshini ukimwangalia afande tu, anawashtua wenzake utasikia 'maafandeee kuruti anataka kunipigaaa' " 😂.. Hizi ndio replies za watu waliofika jeshini zenye vihoja
Check the thread 🧵 🙆🏽♂️
Dirbali retweeted
The Eight Levels of Jannah:
1. Jannatul Ma'wa
2. Darul Maqaam
3. Darul Salam
4. Darul Khuld
5. Jannatul Adn
6. Jannatul Na'eem
7. Jannatul Kasif
8. Jannatul Firdaus
Dirbali retweeted
𝗠𝗔𝗠𝗕𝗢 𝗔𝗡𝗔𝗬𝗢𝗧𝗔𝗞𝗜𝗪𝗔 𝗞𝗨𝗙𝗔𝗡𝗬𝗜𝗪𝗔 𝗠𝗧𝗢𝗧𝗢 𝗕𝗔𝗔𝗗𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗭𝗔𝗟𝗜𝗪𝗔
1- Kuadhiniwa Mtoto
Kuadhiniwa mtoto anatakiwa atekelezewe hilo pindi tu anapozaliwa ili maneno ya kwanza atakayo yasikia akiingia hapa duniani ni utukufu na majina ya Allaah
Dirbali retweeted
Kujipost akusogezi soko lako la kuolewa mapema bali hukimbiza soko lako la kuolewa sababu twakuona HUNA AKILI
























