Soft Finance (@softfinancetz) header
Soft Finance (@softfinancetz) profile picture

Pata Mkopo wa haraka wenye masharti nafuu. Piga namba 0679 000 900 au 0678 000 800 uhudumiwe | #MpangoPesa

Dar es Salaam
Joined August 2023
Photo by Soft Finance (@softfinancetz)Photo by Soft Finance (@softfinancetz)Photo by Soft Finance (@softfinancetz)Photo by Soft Finance (@softfinancetz)Photo by Soft Finance (@softfinancetz)Photo by Soft Finance (@softfinancetz)Photo by Soft Finance (@softfinancetz)Photo by Soft Finance (@softfinancetz)Photo by Soft Finance (@softfinancetz)Photo by Soft Finance (@softfinancetz)
Furahia maisha. Tumia kiasi, wekeza kwa kiasi kikubwa. Tupigie tutakukopesha 10M ukamilishe ule mchongo #MpangoPesa
2
2
34
Furahia maisha na watoto wako! Panga mapema namna ya kuweza kumudu mahitaji yao ada, bima ya afya na matunzo. Karibu Softfinance ujipatie mkopo binafsi uwekeze kwenye miradi itakayozalisha itakusaidia kufikia malengo #MpangoPesa
2
12
11
130
Jumatatu huwa ngumu sana. Lakini usijali kama umekwama karibu Softfinance tutakusort mpaka 100M biashara yako, mradi wako uendelee. Tunapatikana Makumbusho stendi | Tandika Stendi | Kibada Kigamboni | Chanika Mwisho Tanga mjini | Muheza | Korogwe #MpangoPesa
2
6
5
116
𝐓𝐚𝐛𝐚𝐬𝐚𝐦𝐮 𝐡𝐮𝐧𝐠'𝐚𝐫𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐬𝐮𝐫𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐨𝐲𝐨! Kuelekea msimu huu wa sikukuu tuna zawadi nono kwa ajili yenu. Karibuni mjipatie mkopo wa binafsi, biashara, dharura na vikundi vya wajasiriamali. Mikopo yetu kuanzia laki 5-100M. 📞 0679 000 900 #MpangoPesa
4
6
55
Kila wiki huja na fursa yake ni muhimu kujipanga mapema na kuweka mikakati mizuri. Karibu Softfinance leo tutakusaidia sehemu iliyokwama kwa mkopo wenye masharti nafuu. #MpangoPesa
4
4
60
Kuelekea mwisho wa mwaka jitahidi kutenga 30 ya kipato chako iwe akiba. Itakusaidia kuepuka madeni, kulipia kodi, ada na kukabiliana hali ngumu ya uchumi. #MpangoPesa #ElimuYaFedha
1
8
9
124
Matumizi yasiyo ya lazima yanakuzuia kufikia malengo yako. Hizi ni hatua 3 muhimu unapaswa kuzizingatia utakapoanza mwaka mpya. 1. Panga bajeti 2. Tofautisha mahitaji na matamanio 3. Weka akiba #SoftFinance #MpangoPesa
7
8
103
Tunagusa na kubadili maisha ya wajasiriamali wadogo. Mpaka sasa tumefanikiwa kuwafikia wanawake zaidi ya 380 wengi waongeza thamani biashara zao. Tunaendelea kuwakaribisha @Softfinancetz 0679 000 900 #WomenEmpowerment #SoftFinance
1
6
7
203
Usiruhusu pesa ipite mikononi mwako bila kujua imekwenda wapi. Tumia kanuni hii kwenye 100%: 50% – Mahitaji muhimu 20% - Uwekezaji na maendeleo 20% - Akiba 10% - Matumizi binafsi #SoftFinance #ElimikaWikiendi
9
9
191
SASA TUPO KOROGWE Tunawakaribisha katika ofisi zetu mpya wakazi wote wa Korogwe kujipatia mkopo binafsi, wabiashara, dharura na vikundi. Tunatoa kuanzia laki tatu (3) - 100M 📌 Ofisi ya Posta, Korogwe. 🕒 Saa 1:30 asubuhi hadi saa 11:00 Jioni #SoftFinance #MpangoPesa
3
1
6
1,873
Mafanikio hayasubiri uwe mtaji mkubwa, anza kidogo kidogo na kile ulichonacho Kadri unavyojituma na kukosea ndivyo unajijengea hali kuwa bora na kurekebisha mapungufu yako. Karibu @Softfinancetz tutakupatia ushauri unaoendana na hali soko na unufaike na mikopo #MpangoPesa
1
7
8
112
Je, unawekeza kwenye nini? Kabla hujafikia maamuzi ya kuanza uwekezaji tembelea ofisi zetu, utapata elimu sahihi inayoendana na kipato chako itakusaidia kupiga hatua. Huduma hii ni bure pia utafahamu pia jinsi kukuza miradi kupitia mikopo yetu. #MpangoPesa
8
10
123
Huduma zetu za mikopo zimebadilisha. Biashara ndogo kuongeza thamani kwa kununua mashine za kisasa, Kuleta tabasam kwa familia zaidi ya laki 300 bado tunaendelea kuwashika mkono wajasiriamali, wafanyabiasha na watu binafsi #SoftFinance #MpangoPesa
1
10
11
164
𝐈𝐬𝐚𝐚𝐚𝐚 𝐰𝐞𝐞𝐤𝐢𝐧𝐝 Tunaanzia kwenye mapokezi ya Jihan halafu ni party after party #SoftFinance #MpangoPesa
5
7
180
It's Furahi Day Baada ya kazi za wiki nzima tafuta chimbo ujispoil. Chill it and enjoy #MpangoPesa
1
4
5
88
Mwananchi Plus. Ni mkopo maalum wa vikundi vya wanawake wajasiriamali 15-30 wanaoishi eneo moja. Kupitia mkopo huu tunawawezesha 🤝 Kuweka malengo ya pamoja 🛍️kubadilisha mbinu za masoko 📒 Kupata elimu ya fedha na uwekezaji wa muda mfupi na mrefu. #MpangoPesa
2
6
9
160
Mkopo huu hutolewa kwa awamu mbili - miezi 5 au miezi 8 na wadhamini ni wawili tu kwa kila mwanachama. Karibuni sana wateja wapya mnufaike na fursa hii. #SoftFinance #MpangoPesa
5
5
52
Heri ya Siku ya Mwalimu Nyerere! SoftFinance inawatakia wateja wetu maadhimisho mema. Tuenzi urithi wa Baba wa Taifa kwa kufanya kazi kwa bidii, kutumia rasilimali kwa busara na kuwajibika ili kukuza kipato na kujenga uchumi imara. #NyerereDay #SoftFinance
4
5
81
Mafanikio ni kupiga hatua moja zaidi! Ongeza thamani kwenye biashara yako kwa kununua mashine, kuweka chapa na kuendelea kujitangaza. Karibu @Softfinancetz upate mkopo utakaokusaidia kununua mzigo wa kutosha, mashine za kisasa na usafiri wa kufikisha bidhaa zetu. #MpangoPesa
2
8
1
9
1,199
Kuelekea mwisho wa mwaka hakikisha matumizi hayazidi kipato. Anza kupanga malengo ya 2027 na tembelea @softfinancetz tutakupatia elimu ya fedha #ElimikaWikiendi #MpangoPesa
1
8
1
15
1,539