mkoleni retweeted
BABYLON SYSTEM IS THE VAMPIRE!
Hii ni TAARIFA YA DHAMIRA YA KUKATA RUFAA (NOTICE OF INTENTION TO APPEAL) iliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Tanzania katika Mahakama ya Rufani (Court of Appeal) Tanzania.
Kwa lugha rahisi, kupitia hati hii DPP anaonyesha kwamba hakubaliani na uamuzi wa Mahakama Kuu kuhusu kesi ya Tundu Antiphas Lissu, na anataka kupinga uamuzi huo katika Mahakama ya Rufani.
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ndiye anayeleta rufaa. Tundu Antiphas Mughwai Lissu ndiye anayekatiwa rufaa, katika Mahakama ya Rufani. Hati hiyo imewasilishwa tarehe 13 Novemba 2026.
Kwa mujibu wa hati hii, tarehe 6 Novemba 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam ilitoa uamuzi katika Kesi ya Jinai Na. 19605 ya mwaka 2025, Jamhuri v. Tundu Antiphas Mughwai Lissu.
Mahakama Kuu ya Tanzania Ilimuachia huru Tundu A.M Lissu katika shtaka la uhaini (Treason) na ilimkuta na hatia ya kuchochea kutendeka kwa kosa la jinai (Inciting the Commission of an Offence)
Mahakama ilitoa hukumu kwa Tundu A.M Lissu kifungo cha miaka minne gerezani. DPP ameeleza hakubaliani na uamuzi wa Mahakama Kuu wa kumuachia huru TAL katika shtaka la uhaini.
Hivyo, DPP anataka Mahakama ya Rufani Tanzania ichunguze upya uamuzi huo wa Mahakama Kuu ya Tanzania wa kumuachia huru Tundu Antiphas Mughwai Lissu katika shtaka hilo la uhaini.
DPP hajaonyesha anakata rufaa dhidi ya hukumu ya kifungo cha miaka minne. Hati inaeleza rufaa inahusu uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania katika shtaka la uhaini na amri ya kumuachia huru Tundu Lissu.
DPP ameomba Mahakama impatie nakala ya hukumu na kumbukumbu za mwenendo wa kesi (Judgment and Proceedings) haraka iwezekanavyo ili aweze kuendelea na mchakato wa kukata hiyo rufaa.
DPP anataka kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu wa kumuachia huru Tundu Lissu katika shtaka la uhaini. Anataka Mahakama ya Rufani ipitie ushahidi na maamuzi yaliyotolewa na Mahakama Kuu.
Kwa kifupi, DPP anasema;
“Jamhuri hatujaridhika na uamuzi wa Mahakama Kuu wa kumuachia huru Tundu Antiphas Lissu katika shtaka la uhaini. Tunakusudia kukata rufaa katika Mahakama ya Rufani ili uamuzi upitiwe upya”
Hii ni taarifa ya nia ya kukata rufaa, si hoja zote za kisheria za rufaa (Grounds of Appeal). Haijafahamika ni hoja gani ambazo DPP anataka kuzitumia kupinga uamuzi huo wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
NB; Hawa viumbe ndiyo wanaotaka tukae chini na kuzungumza? Tazama sasa matendo yao. Hawana nia njema hata kidogo, na hawawezi kubadilika. Ni watu wa hila, wadanganyifu, na wasioaminika.
mkoleni retweeted
Mnyonge Mnyongeni , Apa Ongeza Camera Na Boresha Tu Background,
89%✅
mkoleni retweeted
Kwa uzoefu wangu wa kufanya kazi hii ya furniture
Hongereni mmejitahidi kwa 87%
Mchawi hapa vitu 3
-Location,
-Camera na finishing kidogo
Endelea zaidi experience itakupa kitu kizuri zaidi.
mkoleni retweeted
Dressing table 450,000
Kabati la nguo milango mi4 650,000
Vipo tayari na malipo baada ya kupokea mzigo kwa dar
📍 Tunapatikana Ubungo Msewe.
🚚DELIVERY IPOOO!
📞 Call/WhatsApp: 0710 398 946
KARIBUNI SANA, BOSSES! 🙏 – at Dar es Salaam, Tanzania
mkoleni retweeted
Good morning bosses 🙏
Alhamdulilah siku nyingine ya kujitafuta
Fr 1 Pinterest
Fr 2,3,4 tulichotoa
BUBBLE BED SOFA 850,000
📍 Tunapatikana Ubungo Msewe.
🚚DELIVERY IPOOO!
📞 Call/WhatsApp: 0710 398 946
KARIBUNI SANA, BOSSES! 🙏 – at Dar es Salaam, Tanzania
mkoleni retweeted
Wait for the magic. Space ndogo maajabu makubwa
Usihofie udogo wa duka lako linaitaji kupendeza na kuvutia
Basi tuite site🫴
📍 Tunapatikana Ubungo Msewe.
🚚TUNAFIKA SITE ILIPO
📞 Call/WhatsApp: 0710 398 946
KARIBUNI SANA, BOSSES! 🙏 – at Dar es Salaam, Tanzania
mkoleni retweeted
Full set 500,000 ipo tayari
Kwa dar malipo baada ya kupokea mzigo wako
📍 Tunapatikana Ubungo Msewe.
🚚DELIVERY IPOOO!
📞 Call/WhatsApp: 0710 398 946
KARIBUNI SANA, BOSSES! 🙏 – at Dar es Salaam, Tanzania
mkoleni retweeted
CHINESE WOMAN 🏀 02+ ODDS 🔥
Betcode ▶️ RX1LH
💥STAKE HIGH
STEP 1:
✳️ Register/Play👉 Dbbet
STEP 2: ✅
🎁Use Promo Code: JOBE
RT TAFADHALI
mkoleni retweeted
NBA GAMES ZIMETUPA PESA
🤑🤑🤑 🤑
ODDS 2.6 BOOM
THE KING OF BASKETBALL IS BACK
🔥 🔥 🔥 🔥
190K+ TZS WAS PAID.
Kaa karibu na Hii page uwe mshindi
Ushindi mfululizo,hatuchani Ovyo
Kujisajili DBBET chini 👇
Link ya kujisajili👉 Dbbet
Promocode jaza: 👉 JOBE
RT PLEASE
mkoleni retweeted
Mnatuhubiria mapendano na marekebisho ya katiba , ambayo inawalinda nyie watawala muendelee kutafuna hii nchi , hatuoni dhamira ya kweli kutoka kwenu , bado mnaendelea kuteka watu na kubambikia kesi za ugaidi vijana wadogo .
#katibampyanisasa
mkoleni retweeted
Week mpya malengo yaleyale
Naomba oda 🙏
Bidhaa zilizo tayari malipo baada ya kupokea mzigo kwa dar
📍 Tunapatikana Ubungo Msewe.
🚚DELIVERY IPOOO!
📞 Call/WhatsApp: 0710 398 946
KARIBUNI SANA, BOSSES! 🙏 – at Dar es Salaam, Tanzania
mkoleni retweeted
Kwa kifupi, inafundisha kujiamini, kuwa mtulivu, na kutoonekana Mtu wa kuharakishwa.
mkoleni retweeted
Mwabukusi: Mnatoa hukumu za aibu kama ya Lissu halafu unasema msijadili. Aliyekwambia hukumu haijadiliwi nani?



































