Pinned Tweet
Wazee tupunguze ujuaji cha asubuhii hakitaki kukutanisha midomo ndomana tunaharisha ๐๐.
Debrizy_Alex retweeted
BRO TO BRO
Kuna mwanangu mmoja leo kaja kazini hapa,akaniuliza kitu kimoja kuwa.
Hivi ikitokea siku moja ukashika simu ya mpenzi wako ukagundua she saved u "STEVE MWEMBAMBA" halafu mchepuko wake akamsevu "john my tamuu", hii ni ishara gani.
Wewe ungemjibuje mwanetu apone?
Debrizy_Alex retweeted
Jasho la kwapa ya mwanaume ikipakwa kwenye lipsi za juu katika mdomo wa mwanamke limethibitishwa kumfanya mwanamke kuwa na furaha muda mwingi
Debrizy_Alex retweeted
Pumbu ni kama vile zina ulimi. Yaani ukali wa pilipili unaousikia mdomoni ndio ule ule utausikia ukishika pumbu na pilipili! Yoh! Sio mchezo ๐
Debrizy_Alex retweeted
Kulingana na engagement zangu, Nani unahisi ni rafiki wangu wa Karibu hapa X????
Debrizy_Alex retweeted
Tangu nimeacha pombe rafiki yangu XS amenitenga kwenye vijiwe vyangu hatokei tena
Sawa mpka pale watakapo kua nafasi ya spurs ya last season ndo watamtimua ๐
๐จ๐ต Chelsea mantain full confidence in Xabi Alonso and there are no internal talks about managerial change.
#CFC feel Alonso is the best manager for the job and they will improve all together.
๐ฅโ youtu.be/jEi75Ccmm9A?si=rfoMโฆ
5
Debrizy_Alex retweeted
Kama jasho la mwanaume linaliwa njoo hapa Las vegas uje unywe bia zangu tumalizane.
Debrizy_Alex retweeted
Kuna ex yangu apa ya kidato sikuwahi kupiga ngoja nifosi kuomba japo ina mimba ikijifungua nipate utamu๐๐
Debrizy_Alex retweeted
Mwili wa Angel Wariael ukiwasili nyumbani kwao kwaajiri ya kusafirishwa kwenda Arusha
Kipindi mtu alipata matatizo hakuweza kupoteza maisha ila baada ya kupata msaada ndio kapoteza maisha hii inauma sana
Pole sana kwa familia ya binti huyu maumivu ni makali sana๐๐
Debrizy_Alex retweeted
Dodoma huwa nasikia kuna area A kuna area C kuna area D na kadri mji unavyozidi kukua usishangae kusikia kuna area G ๐๐๐
Debrizy_Alex retweeted
Hizi long distance relationship unampigia simu anasema yupo nyumbani afu mda huo huo unasikia kelele mara mhudumu leta bia mbili๐๐๐ฎ
Debrizy_Alex retweeted
Hutakiwi kukaa kijinga ukiona tangazo la nyumba kuuzwa chukua no piga cm bageni nae kabisa usikubali umasikini ukakufanya kuwa mzembe๐๐






















