Msafiri retweeted
Uzuri kwa mkali muumba wa mbingu na Ardhi hatutaulizwa ulikua na magari mangapi au nyumba ngapiii huko duniani so sina haraka kumiliki hizo properties 😂🙌.
Msafiri retweeted
Hali inavyoenda wacha nikajisajiri pale Ajira portal nione kama nitadaka chochote, biashara ngumu jamani🙌🙌
Msafiri retweeted
Ujue zamani bafuni ilikuwa kama jehanamu😂
Lazima ukute ukijani fulani hivi na utelezi mwingi sana sakafuni.
Rupee Plumbing Solution Co.Ltd wakaona fursa hapo hapo majamaa yanakupa mwonekano wa kituristi hadi bafuni.
Hii bathroom cabinet unaipata kwa bei kitonga ajabu.
Wapcheki kupitia 0621059547 & 0716018071
Fanya bafu lako liwe la kitaikuni mkali
Dodoma huwa nasikia kuna area A kuna area C kuna area D na kadri mji unavyozidi kukua usishangae kusikia kuna area G 😁😁📌
Msafiri retweeted
Apo korongwee uwambii kituu kuhusuu mimii
Wananikubaliii balaaa piga simuu 0752067371 nijee na kwanguu
Msafiri retweeted
Kuna moka moja nilinunua kwa tupesa twa madafu, nilivaa mara moja tu. mwaka sasa unaenda sijawahi ivaa tena.
Wastage of money🚮
Msafiri retweeted
Mwisho wa siku yote tisa, kumi hakuna ufahari wowote ule na wala siyo sifa kulala nao wengi. Jifunze kuwa smart📌
Msafiri retweeted
Jamani mwenye "connection" ya kazi ampatie Abdul ameongea kwa uchungu na hisia sana tuwe na huruma wakuu.🤣🤣

























