𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63) profile picture

𝐄𝐯𝐞𝐫𝐲𝐭𝐡𝐢𝐧𝐠 𝐢𝐬 𝐚𝐛𝐨𝐮𝐭 𝐌𝐚𝐧'𝐬 𝐥𝐢𝐟𝐞 ✌️

Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2023
Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)
Wewe Cheka Tu....SEMA naombeni mnifollow Baki wanangu! Hapa ni text tu sidhan kama ntarudia kushiriki dhambi alizofia Yesu!😭😭 @Brainpro36
😂😂😂kuna mwanangu account yake imeeenda kisa huu mzigo Nmecheka sana dah🤣🤣🤣🤣🙌
13
10
62
24,626
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Sawa unaweza kuwa na wanawake hata ws 3 ila kuna huyo mmoja yan akikuacha daaah 😂💔💔😭
15
23
4
125
4,225
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Replying to @Benji_Fernandes
Huu Mtandao Umenipa Marafiki na Connection Mamlaka ifanye Juhudi itungulie huu mtandao Vijana wengi imetupa fursa za kidijitali na kuweza kupata pesa za kujikwamua kiuchumi
4
30
1,409
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Ukiona umekasirisha halafu nikaongea au hata nikakujibu vibaya ujue bado nataka tuendelee na urafiki. Ukiona umeniudhi nikanyamaza na sikujibu hapo ujue tumeachana mazima.
14
250
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Katika siku hii ya wanaume duniani, mimi Kicheche kwa Jina la Mungu na kwa majina ya Mizimu ya kikwetu nawalaani wanaume wote masnitch, wanawasababishia matatizo wanaume wenzako kwenye utafutaji na wale ambao hawajali uanaume tena. Lolote liwakute hao maana wamesahau uanaume.
2
11
283
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Kijana ambaye anamaliza digrii yake ya kwanza kwa sasa namshauri asirudi kijijini kwao alipotokea kama hana sababu za msingi. Apambane ambapo hajulikani na asichague kazi.
2
4
16
277
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Mtoto akifanana na baba, sawa, akifanana na mama sawa, asipofanana na mama sawa ila shida inakuja asipofanana na baba.
3
7
20
285
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Oya wanangu wa Riverside mlisema mida ni saa ngap na upande upi ..!??
9
15
61
1,788
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Kati ya Mario na Ibrah nani anakipaji kikubwa cha mziki kushinda mwenzake?
14
19
1
58
1,175
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Tujadili kidogo hivi kuna madhara gani mengine ambayo mtu anae kunywa pombe anayapata tukiachana na kupepesuka baada ya kulewa>>>>>>>>
18
25
66
2,250
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Waheshimu sana wanaume wenye wapenzi Dar Es Salaam🙌🏾
29
34
1
173
4,190
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Huyu Mwanangu toka 2024 alipotea na hii gari alikua anaiendesha till now hatujui alipo alikua anapaki stendi ya pasiansi Mwanza jitihadi kila kituo kila hospital atukufanikiwa
7
25
54
1,191
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Bro to Bro Mwanamke anayekuweka kwenye maombi yake kila siku ni wa muhimu sana kuliko yule anaekuweka status kil siku". Staytoxiq🥷
2
7
94
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
MTAMISEMI: Moshi unatoka TUCTA. Rais kamtimua Katibu Mkuu, mwenyewe agoma....🤓
1
3
9
419
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Weekend hii kuna mambo hayo ✌. 1. Kiepe kikupe msamba wa nguvu au 2. Umeze FeFo
1
2
4
96
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Bro to Bro Jamaa anaenda kupata Trauma ya generation nzima.... Soma 👇
1
6
121
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
1.wanawake Hakuna kingine coz every problem unakuwa solved na kipato changu.
Adui yako mkubwa kwa sasa ni nani ??
3
6
133
Bro to Bro Mwanamke anayekuweka kwenye maombi yake kila siku ni wa muhimu sana kuliko yule anaekuweka status kil siku". Staytoxiq🥷
2
7
94
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Huko green app kuna mtu ananiambia enjoy na hasemi nienjoy nini.
9
11
22
382
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Biashara haramu zinalipa 97% ni kweli. Kuna mama hapa leo,kanipigia story kuwa ndoo moja ya Bangi ni 240K. She said akianza kufunga kila kete 500tsh,huwa hakosi 400K hapo kakosakosa. Yani anasema akitoa usafiri na gharama ya vifungashio hakosi 130K kila baada ya wiki. Story!
1
11
774
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Replying to @GeoConstructors
@GeoConstructors Kukaa offline kidogo watu wanasuffocate bila mimi😂 Hasa hilo la kwanza hapo ndo maana sijaliziba jina🙄🤣🚮 HUYU WA KAZI ANA POST YAKE SPECIAL Huyu wa gay my name is simon kaggwa njala UNLESS HE IS RICH HUYU WA WHATSAPP BILA KUNIPA HELA ASAHAUUUUU mi ni mtu kitu everybody knows🤣👋
2
4
11
737