Mtembezi🚶 retweeted
Prove me wrong,
Hakuna Culture Ina Taste Kwenye
House design kama Bara La Asia
Jamaa Wanajenga aisee
Interior 🙌🏾
Mtembezi🚶 retweeted
Huyu Seba Jambazi, ambaye kila mtu alikuwa anamuogopa ndani na nje ya Movie ya Misukosuko,
Saa hivi sio Jambazi tena na mbona kama Zege halina Nondo hivi 😄 🤣 😂
Mtembezi🚶 retweeted
Ufaransa
Toka maandamano ya wanafunzi yaanze sijasikia wameuwawa kwa sababu ya uharibifu wa mali
Sijasikia kesi za ugaidi au uhaini
Demokrasia ina gharama sana kwa pande mbili
Aliyeko madarakani na anayetaka kuingia
Mnafanamishaje mali na watu
Vitu na uhai
Readers added context they thought people might want to know
Context is needed:
This video shows riots from December 2022 following the fatal shooting of Kurdish community members in Paris, not current events. France's anti-disinformation unit confirmed this clip is from 2022 and is being recirculated out of context. euronews.com/2026/04/08/old…
Mtembezi🚶 retweeted
Ukimuangalia huyo mzee kwa jicho la nyuzi 360.
Utatambua mifumo ya ulinzi Tanzania imekaa kwa pattern ngumu mno.
Kwanza anaonakana chizi ila kavaa kaunda suti.
Hapo sidhani mmejidaka vyade wakali
Angalia confidence yake akimpa maelezo mzito wa kutuliza hadhara.
Oyaa mkali😂
Mtembezi🚶 retweeted
MUNGU NI MWEMA JANA HUKUMU IMETOKA NA TUMESHINDA.
Hii ni Baada ya SERIKALI HARAMU YA TANZANIA kutaka kibali cha MAHAKAMA nikakamatwe nchini "KENYA" na kurejeshwa Tanzania ili nipewe KESI YA UHAINI (NINYONGWE MPAKA KUFA).
Chawa waliambiwa WASAMBAZE Ujumbe huu wa kwamba "NAIROBI SIO MBALI" Ili niogope nikae kimya nisubiri KUKAMATWA NA KUNYONGWA ila moto unaendelea kuwaka bila Kuchoka.
Nawashukuru mawakili wangu kwa kupambana mahakamani kipindi chote hiki na huu ni ushindi wetu sote wapenda HAKI. @Advocate_Jebra @TitoMagoti
HUKUMU INA KURASA 12, NIMEWEKA HAPO MUHTASARI KWA LUGHA YA KINGREZA NA KISWAHILI. KAMA UTAHITAJI HUKUMU YOTE WASILIANA NA MAWAKILI WANGU.
WAKOLONI WEUSI MTANIONA SANA.
REPOST 500.
Sikutaka Kuliongelea hili ila acha niliongelee.
Siku Dada wa Taifa MANGE Anakuja kutuambia amefunguliwa Kesi na serikali ya Tanzania kwenye mahakama za Bongo kesho yake nilipata ujumbe ambao ukionyesha mimi pia KESI YANGU ipo Mahakama ya Kisutu.
Jana nimeona CHAWA wa serikali wamepewa Kesi hii waivujishe mitandaoni ili kunijengea HOFU mimi binafsi na watu wengine waogope kuendelea na mapambano ya HAKI.
Hii KESI mawakili wangu wa NDANI YA NCHI NA NJE YA NCHI wanaendelea kunipambania kwahiyo sikutaka kuliongelea kabisa. Ila kwasababu wanafosi UNYAMA wa kutrendi acha waende town.
Niwatoe hofu watanzania na WAPIGANIA HAKI kwa lolote litakalotokea kwenye maisha yangu SIJUTII na nitafurahi sana kushtakiwa KISHERIA NA SIO KUTEKWA TENA kama walivyojaribu kwa MIEZI 18 Nyuma.
Hili kwangu limenifanya nitembee kifua mbele na kuamini HAKIKA MUNGU alieniokoa MBUGA YA KATAVI kusudi lake nimelitimiza juu ya nchi yangu ya TANZANIA.
Kwenye KUMBU KUMBU ZENU ongezeni na hili kuwa “SATIVA alietekwa na kuponea kufariki kwenye Mbuga ya KATAVI baada ya kupona yote alifunguliwa KESI BADALA YA KUWAKAMATA ALIOWATAJA KAMA WATEKAJI (MAFWELE & JESHI LA POLISI)”
Huu uovu wote TUTAUSHINDA ni suala la MUDA.🙏🏿
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Mtembezi🚶 retweeted
Ingia Google tafuta websites za hiz kampuni (1) SES-Luxembourg) (2)POST- Luxembourg (3) Inter industries SA- Luxembourg (4)KAEMPFF-KOHLER-Luxembourg
Omba kazi hizo kampuni zote za Luxembourg na wana utaratibu mzuri tu utapata mchongo wanafunga soon
Mtembezi🚶 retweeted
Nina Swali kwa Vijana wanaotaka kuja
📍Dubai
1. Upewe ajira + Ticket ya ndege+accomodation+visa+mshahara wa kueleweka kisha ulipe 3 milioni mwaka mzima kwa kukatwa kwenye mshahara wako kidogo kidogo
2. Au utoe hela kwa Agency akutafutie ajira
3.Nikutumie kazi Utume maombi




































