HP wa zamani (@odompopodo) header
HP wa zamani (@odompopodo) profile picture

Freedom fighter/Human Rights/Fight for Democracy

American Fork, UT
Joined March 2017
Photo by HP wa zamani (@odompopodo)Photo by HP wa zamani (@odompopodo)Photo by HP wa zamani (@odompopodo)Photo by HP wa zamani (@odompopodo)Photo by HP wa zamani (@odompopodo)Photo by HP wa zamani (@odompopodo)Photo by HP wa zamani (@odompopodo)Photo by HP wa zamani (@odompopodo)
Replying to @odompopodo
Udhalimu hata damu za watu zikamwagika Mungu anasema ole wenu,ole wenu,ole wenu Ole wenu mliowauwa ndugu zetu na kuwajeruhi kwa silaha za moto Ole wenu mliotoa amri ya watu kuuwawa kwa sababu ya vyeo namali Ole wenu wazeewanafiki mlioshauri haya yatokee ole wenu waliokaa kimya
2
3
5
438
HP wa zamani retweeted
A few moments later. Bwana Hakuna Mahali Watajificha
2
17
1
74
5,540
🗣️FATHER KITIMA AKIONGEA TU 🔥🔥🙌🏾🙌🏾 ngoja tumsuburi na BAGONZA 🙌🏾😎
5
111
470
15,478
5
7
154
HP wa zamani retweeted
Basi sasa na tufurahie utukufu wa Mungu kwa kuwa nuru inaenda kuangaza tena katika taifa letu Kile kipindi cha giza la pili kinaishia ishia Nao waliotaabika watafurahi Na walio furahi watalia na kusaga meno asiwepo wa kuwatuliz Furahi siku zote katima bwana kwa kuwa yeye ni kweli
1
1
20
Basi sasa na tufurahie utukufu wa Mungu kwa kuwa nuru inaenda kuangaza tena katika taifa letu Kile kipindi cha giza la pili kinaishia ishia Nao waliotaabika watafurahi Na walio furahi watalia na kusaga meno asiwepo wa kuwatuliz Furahi siku zote katima bwana kwa kuwa yeye ni kweli
1
1
20
Nyooka nyooka baba kitonga ipo karibu kuisha
20
Sasa si mngemwachia akose mshahara jamani? Nyie mnampenda sana lissu yani mmemfunga ili apate mshahara mkubwa Dollar 50000×12=dollar 1000000?
19
#Write4Rights Where is Humphrey Polepole? Humphrey Polepole disappeared after being abducted from his home.  Sign the petition and demand answers for his family from the Tanzanian authorities. amnesty.org/en/petition/wher…
3
34
2
51
2,189
HP wa zamani retweeted
#TANZANIA: NCHI HII WATU WANAANDIKA KWENYE FACEBOOK WANATAFUTWA POPOTE WALIPO WANAKAMATWA - HECHE Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akijibu maswali ya Wanahabari amesema ujumbe wao lazima utawafikia watawala huku akitolea mfano kuwa kuna watu wakiandika jumbe zao kwenye facebook wanatafutwa popote walipo na kukamatwa sembuse wao kama chama. Zaidi: youtu.be/Lbl_IBZvzRA
2
36
2
123
5,693
HP wa zamani retweeted
Kaka @frediejustine sikufundishi siasa lakini msikilize heche na umwelewe usifikirie kujibu.
1
105
2
470
22,959
HP wa zamani retweeted
Alivyokuwa hawaongelei walikuwa wanamsifia kweli kweli, kawasema kidogo tu hawamtaki tena nchini😁 Tumia dakika zako tisa kusikiliza nondo za shemeji yetu #BongoZozo
9
122
2
538
15,594
HP wa zamani retweeted
Kuna muda najiulizaga hivi hawa wakina MASAJU sijui majaji nao walisoma Darasa hili hili la sheria walilosoma wakina MWABUKUSI? Wajomba wakishafika kwenye TEUZI vichwa vinageuka kama PANGO LA MENO.
16
209
3
1,221
32,445
Kumbe machawa wengi mmeni unfollow duu Basi mnifollow wale wafia haki wenzangu kwa nguvu zote Retweet hii post Kama wewe ni chawa kaa mbali
1
1
55
Dunia inafika ukingoni? Ajabu sana kuona mahubiri mazuri kwa watu wanaotumika kweseka wengine sero
42
No matter how tough things are !!God works in Mysterious ways.TUSIOGOPE!TUTASHINDA ✌🏼🇹🇿nchi moja !!!KATIBA MPYA ILIYO BORA !!!
3
23
2
190
2,254
HP wa zamani retweeted
Tumerudi!!!!! Kama umeelewa Gonga Likes nyingi na kusambaza upendo!
3
11
48
712
HP wa zamani retweeted
Mtangazaji alikuwa anatikisa tuu kichwa. Repost 200
14
315
3
1,479
45,371
TAMKO LA USWISI KUHUSU HALI YA HAKI ZA BINADAMU NCHINI TANZANIA Tarehe 5 Novemba 2026, jijini Geneva, Uswisi iliwasilisha tamko lake mbele ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), katika kikao cha 53 cha Kundi Kazi la Mapitio ya Hali ya Haki za Binadamu kwa Mataifa (UPR). Katika tamko hilo, Uswisi imeipatia Tanzania mapendekezo matano muhimu: 1. Uwajibikaji kwa ukiukwaji wa haki za binadamu Kuhakikisha kuwa watu wanawajibishwa kwa ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanyika wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, kupitia uchunguzi wa haraka, huru, usio na upendeleo na ulio wazi. 2. Uhuru wa kujielezaKuhakikisha uhuru wa kuunda na kujiunga na vyama pamoja na kufanya mikutano, kwa kurekebisha Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ya mwaka 2002 na Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992 ili kuondoa vikwazo visivyo na uwiano. 4. Adhabu ya kifo Kufuta adhabu ya kifo na kubadilisha hukumu zote zilizopo za adhabu ya kifo kuwa vifungo vya muda maalumu vinavyostahili na vinavyoendana na uzito wa makosa. 5. Haki za ardhi za jamii za asili Kuimarisha ulinzi wa haki za ardhi za jamii za asili kwa kuhifadhi urithi wao wa kitamaduni na njia zao za jadi za kujipatia riziki. Ujumbe muhimu: Uswisi imesisitiza masuala ya uwajibikaji kwa ukiukwaji wa haki za binadamu, uhuru wa kujieleza, uhuru wa mikutano na vyama, kufutwa kwa adhabu ya kifo na kulindwa kwa haki za ardhi. Haya ni mapendekezo rasmi ya Uswisi kwa Tanzania katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa.
2
23
2
65
5,677